Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa
Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua
Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar acting weird and bossy.
Ujumbe kwa wanaume mara tu unapowasiliana na wanawake wa aina hiyo, kanyaga.........
Wewe mwanaume ni mfalme
Ikiwa atakutenda jambo la ajabu au la kuchukiza
Ondoka jivunie uanaume wako........
:Copy