totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Hiyo tabia Mara nyingi huwa inaendekezwa na wasichana wadogo wa kuanzia miaka 15 Hadi 25.
Mmmh nipo na manzi ya miaka 33 na huiambii kitu kuhusu kujipost, nimeongea nimechoka....!!!! Sasa kuna siku nikavizia simu kalala aisee ilibidi nimuamshe...!!! Yani masela kama wote na wengine anawabamiza mizinga na wanatuma yani miamala kibao...... nilipouliza anasema wanajileta wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inachekesha lakini ni huzuni sana na ukikuta sasa kananiibia na tumachozi kwamba ananipenda ni balaa unaweza kuhisi upo peke ako duniani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nikafoleni kakufa mtu mwanawane