100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

TANZANIA TUNAELEKEA KUWA NA WANAWAKE WA HOVYO DUNIA NZIMA.

Yani wanashinda kukatika, KUJIONYESHA MAUNGIO YAO, KUJIBENUA MAKALIO.

TUNAELEKEA KUWA na KIZAZi Cha hatari sana Mungu IOKOE TANZANIA.
Kama Kule mbagala wanakodi gari daladala Costa wanaanza kusebenuka na vigomaa kuzunguka Jiji na madela Yao SARE...
 
Kweli mkuu Kadri unavyomsifia anakuona wa kawaida na kujiona high level Sana hata kama unajua si mzuri. Kama yupo mtaani anaweza akawa na dharau Kwa wanaume.Cha kufanya ni kumshusha ngazi akili zimrudi kwenye reality.
😂😂😂Huu msimamo upo kwa wanaume wachache sana, sema wengi watajifanya kumpamba ili wamshushe bendera(chupi) then wampotezee hapo hasara kwa muhusika,
 
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa

Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua
Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar acting weird and bossy.

Ujumbe kwa wanaume mara tu unapowasiliana na wanawake wa aina hiyo, kanyaga.........

Wewe mwanaume ni mfalme
Ikiwa atakutenda jambo la ajabu au la kuchukiza
Ondoka jivunie uanaume wako........

:Copy
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee tupunguze malalamiko, hapa tumezidisha. Chaa[emoji1787][emoji1787]! Tutaanza kuwaogopa kwakila kitu sasa. Tujiamini sasa, duh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee tupunguze malalamiko, hapa tumezidisha. Chaa[emoji1787][emoji1787]! Tutaanza kuwaogopa kwakila kitu sasa. Tujiamini sasa, duh
🔥🔥🔥🔥🔥
 
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa

Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua
Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar acting weird and bossy.

Ujumbe kwa wanaume mara tu unapowasiliana na wanawake wa aina hiyo, kanyaga.........

Wewe mwanaume ni mfalme
Ikiwa atakutenda jambo la ajabu au la kuchukiza
Ondoka jivunie uanaume wako........

:Copy
Ni kweli I had experience with this kind of a chick and hadi leo ndio wako hivyo, inabaki sisi wewe tu wapo wengi tu wananitaka kila siku.
 
Back
Top Bottom