Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa
Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua
Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar acting weird and bossy.
Ujumbe kwa wanaume mara tu unapowasiliana na wanawake wa aina hiyo, kanyaga.........
Wewe mwanaume ni mfalme
Ikiwa atakutenda jambo la ajabu au la kuchukiza
Ondoka jivunie uanaume wako........
:Copy
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kuanzisha hii mada.Kuna wanaume Wana wajaza hao wanawake upepo na kiburi kuwasifia Ili wajione wao wazuri.
Jifikirie Kila siku huyu mwanamke anafuatwa inbox yake na wanaume 100 au 100+ kutuma ujumbe au viemoji vya kumtukuza yeye ni mzuri.Kisha anajazwa bichwa na kuwaona wanaume wote kama takataka .
Cha kufanya unapokutana na Mwanamke kama huyu mtaani na anakufahamu na umekuta wanamshobokea hata usimshobokee Tena mpuuzie na kumwona wa kawaida Ili akili zake zirudi SAWA SAWA
Ikibidi mwoneshe dharau na kumrudisha kwenye kiwango chake . Atakuheshimu ila ukiungana na hao wanaume wanaomtukuza usiku kucha mchana Kutwa utakuta anakuweka kwenye levo zao.
Yaan 100%Katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, ogopa sana mtu anaependa kujipost mara kwa mara ikiwezekana mkimbie akiwa ke ndo balaa akili hamna
Kaka umeandika yaan ni shida viumbe wakifikisha 100views++Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kuanzisha hii mada.Kuna wanaume Wana wajaza hao wanawake upepo na kiburi kuwasifia Ili wajione wao wazuri.
Jifikirie Kila siku huyu mwanamke anafuatwa inbox yake na wanaume 100 au 100+ kutuma ujumbe au viemoji vya kumtukuza yeye ni mzuri.Kisha anajazwa bichwa na kuwaona wanaume wote kama takataka .
Cha kufanya unapokutana na Mwanamke kama huyu mtaani na anakufahamu na umekuta wanamshobokea hata usimshobokee Tena mpuuzie na kumwona wa kawaida Ili akili zake zirudi SAWA SAWA
Ikibidi mwoneshe dharau na kumrudisha kwenye kiwango chake . Atakuheshimu ila ukiungana na hao wanaume wanaomtukuza usiku kucha mchana Kutwa utakuta anakuweka kwenye levo zao.
🤓🤓🤓🔥🔥🔥Imeisha hiyooo
Mm mstaafu tusha tulizana🤓🤓🤓Mwanaume unatakiwa kuwa exceptional. While yeye anafurahia view , dont be mmoja wa hao her worshippers.
If you treat her like a star , she will treat you like a fan
Umeona eeeIna ukweli ndani yake
DumbMost of them are dumb
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kuanzisha hii mada.Kuna wanaume Wana wajaza hao wanawake upepo na kiburi kuwasifia Ili wajione wao wazuri.
Jifikirie Kila siku huyu mwanamke anafuatwa inbox yake na wanaume 100 au 100+ kutuma ujumbe au viemoji vya kumtukuza yeye ni mzuri.Kisha anajazwa bichwa na kuwaona wanaume wote kama takataka .
Cha kufanya unapokutana na Mwanamke kama huyu mtaani na anakufahamu na umekuta wanamshobokea hata usimshobokee Tena mpuuzie na kumwona wa kawaida Ili akili zake zirudi SAWA SAWA
Ikibidi mwoneshe dharau na kumrudisha kwenye kiwango chake . Atakuheshimu ila ukiungana na hao wanaume wanaomtukuza usiku kucha mchana Kutwa utakuta anakuweka kwenye levo zao.
Haaahaa...sabb hujiona wana options nyingi....Hiyo tabia Mara nyingi huwa inaendekezwa na wasichana wadogo wa kuanzia miaka 15 Hadi 25.
Kwanini umkimbie mtu anayeishi maisha anayopenda wewe nae ishi maisha unayopenda..Katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, ogopa sana mtu anaependa kujipost mara kwa mara ikiwezekana mkimbie akiwa ke ndo balaa akili hamna
Sifuri kabisa 🤣Katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, ogopa sana mtu anaependa kujipost mara kwa mara ikiwezekana mkimbie akiwa ke ndo balaa akili hamna