100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

Mkuu, majority ya hao wanaomtukuza huwa hawamaanishi ila wanataka mzigo tu, maana short cut ya kuwatafuna ni kuwaambia kuwa ni wazuri hata kama sivyo!
 
Ndo mร ana sijawahi kumsifia dem kwenye mitandao japo kimoyo moyo nasema hii kweli chombo
 
Mkuu huu ujeuri ulio naoa ndo ujeuri wangu nikiona Dem anashobokewa sana mi nakaza naweka ngumu japo sipati faida yoyote Ila siwezi kukubali kuwa kondoo
 
Yah naeza kubali kua akiwa na view mingi hujiona matawii mie sikatai

Nilikuanasemea ile eti ndo huwaga hawana akili
Most of them wanaojipost kila dakika wana Tatizo linaitwa ASD(Attention seeking disorder)
 
Mkuu huu ujeuri ulio naoa ndo ujeuri wangu nikiona Dem anashobokewa sana mi nakaza naweka ngumu japo sipati faida yoyote Ila siwezi kukubali kuwa kondoo
Kweli mkuu Kadri unavyomsifia anakuona wa kawaida na kujiona high level Sana hata kama unajua si mzuri. Kama yupo mtaani anaweza akawa na dharau Kwa wanaume.Cha kufanya ni kumshusha ngazi akili zimrudi kwenye reality.
 
Katika ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii, ogopa sana mtu anaependa kujipost mara kwa mara ikiwezekana mkimbie akiwa ke ndo balaa akili hamna
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Huu ujumbe ukipita nao jukwaa flani utapopolewa dada
 
TANZANIA TUNAELEKEA KUWA NA WANAWAKE WA HOVYO DUNIA NZIMA.

Yani wanashinda kukatika, KUJIONYESHA MAUNGIO YAO, KUJIBENUA MAKALIO.

TUNAELEKEA KUWA na KIZAZi Cha hatari sana Mungu IOKOE TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ