11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

Wimbi la ajali lomeendelea kutisa Mkoa wa Mbeya ambapo mapema Leo Alfajiri kumetokea ajali eneo la Lwanjilo Wilayani Chunya Mkoani Mbeya ambapo watu 14 wamepoteza maisha na wengine 44 kujeruhiwa kufuatia ajali ya bus la AN Classic kutoka Mbeya kwenda Tabora.

View: https://www.instagram.com/p/C_kgPlwNdxo/?igsh=MWl3MTNtaHA3MjYwZg==

My Take
Je Serikali na Polis Wameshindwa kuja na Sheria ya kuwafilosi na kuwanyonga madereva Wazembe?

R.I.P ndugu wote,majeruhi mpone haraka.

Pia soma Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

R.I.P pia pole kwa majeruhi Mungu awape nguvu na tumaini jipya kwenye katika kupona
 
Ilikua natoka stand kuu, mbeya, kufika kawetere sio giza tena ni ukungu mzito plus vumbi, unafika kiwanja kidogo unapumua, nakumbuka unapeleka gari mwendo wa farasi hadi chunya mjini, unapiga makongorosi, matundas, lupa, biti manyanga, kambi katoto, manenda kula rungwa, mchemsho kuku mzima ilikua 4000 au 5000 wa kienyeji, hapo ushasalimiana na rafiki zangu akina lawena nsonda, unakanyaga moto hadi kitunda, sikonge, saa 11 au 12 mashine inapumulia stand tabora enzi hiyo hakuna lami njia yote, mmenikumbusha mbali sana
 
Wimbi la ajali lomeendelea kutisa Mkoa wa Mbeya ambapo mapema Leo Alfajiri kumetokea ajali eneo la Lwanjilo Wilayani Chunya Mkoani Mbeya ambapo watu 14 wamepoteza maisha na wengine 44 kujeruhiwa kufuatia ajali ya bus la AN Classic kutoka Mbeya kwenda Tabora.

View: https://www.instagram.com/p/C_kgPlwNdxo/?igsh=MWl3MTNtaHA3MjYwZg==

My Take
Je Serikali na Polis Wameshindwa kuja na Sheria ya kuwafilosi na kuwanyonga madereva Wazembe?

R.I.P ndugu wote,majeruhi mpone haraka.

View: https://x.com/tanroas/status/1831987363943198805?t=hDdgDeof1XaKBqLZsmszog&s=19

Pia soma Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

Matajiri wa siku hizi ni hatari sana!
 
Back
Top Bottom