11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

R.I.P pia pole kwa majeruhi Mungu awape nguvu na tumaini jipya kwenye katika kupona
 
 
Ilikua natoka stand kuu, mbeya, kufika kawetere sio giza tena ni ukungu mzito plus vumbi, unafika kiwanja kidogo unapumua, nakumbuka unapeleka gari mwendo wa farasi hadi chunya mjini, unapiga makongorosi, matundas, lupa, biti manyanga, kambi katoto, manenda kula rungwa, mchemsho kuku mzima ilikua 4000 au 5000 wa kienyeji, hapo ushasalimiana na rafiki zangu akina lawena nsonda, unakanyaga moto hadi kitunda, sikonge, saa 11 au 12 mashine inapumulia stand tabora enzi hiyo hakuna lami njia yote, mmenikumbusha mbali sana
 
Matajiri wa siku hizi ni hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…