11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

Mwenye takwimu za idadi ya ajali before na after initiative za usalama barabarani zilioanzishwa na polisi na serikali kwa ujumla atupie humu
 
Napendekeza madereva wa magari ya abiria wawe na elimu angalau ya kidato cha nne na ufaulu mzuri
 
Walishaweka wazi humu kuwa wao ni wapenda mbio na basi zao ni chapa Scania tu ndiyo wanapenda.
Kanda ya kusini na kaskazini ni nadra sana kusikia ajali kulinganisha na nyanda za juu kusini.
 
Hizi barabara za milimani zinatakiwa kutungiwa sheria zake.
 
Napendekeza madereva wa magari ya abiria wawe na elimu angalau ya kidato cha nne na ufaulu mzuri
Ni ajali tu na mda wao ulikuwa umefika lakini kama ni elimu dereva aliefariki anaelimu za zaid, kama ntakuwa sijasajau alisomea Malaysia na alikuwa mbobevu katika ufundi pia na uendeshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…