13 february 2010

13 february 2010

wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??

YOU HAVE EXACTLY ONE MONTH TO GO.


BY the way this is also a very important day for me.... thats a thred for another day! 2010 hii ina mambo makubwa!
 
Aisee hapo kwenye red mshkaji inabidi utumie nafasi hiyo VYEMA na matunda tuyaone. .............????

Duh wabongo bana yaani avimbishe siku hiyo hiyo?
Alafu na sisi ambao mbado kusimama na bi harusi altareni huku akiwa na kitambi sio vizuri. Hizi pretesting zimezidi mno bora mpime kwanza sio mpaka uumue kitambi kama hamira.
 
Mkulu peleka fasta fasta iyo haina neno! Senks to Sinkala! Nipo kikazi zaidi! LOL
THANKS!
tupo pamoja
spesho thenksi to kaizer.kaizer means every support to me
 
Mimi hapa
We experience ya kutunza fedha uliipatia wapi? Kama si ufisadi wa Kaizer, mi ndo ningekuwa mtunza fedha. Mchango wangu njoo uchukue. Nipo hapa Waungwana gesti hausi ruum namba saba.
 
Hey! Kiongozi! Can You Stop This? Wengine bila msaada wa valuu huwa hatuna uvumilivu, tunaweza kutoa michozi maofisini watu wakatushangaa! Unaonaje ukimwacha mzee apumzike kwa amani wakati unaendelea kutafakari harusi yako? Hii thread inazungumzia tukio la 13/02. Hebu tuweke fikra zetu hapo wakati tukiendelea kumwomba Mungu amweke mahali pema mzee wutu!
Kwa mara ya kwanza tangu 2010 ianze umetoa point. Nidai Value siku ya get together
 
Nyie mmefika huku?!!!
karibu sana mamii!
thanks for all the support
forgive me just incase i did'f match with your principles...!out of stresses nimepishana na watu ninaowapenda sana!
ONE LOVE
 
Back
Top Bottom