+1305 ni country code ya Frolida na Miami huko USA. Jee Polepole alitudanganya yuko Tanzania akitumia code +1305?

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,313
Reaction score
4,751
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
 
Akili yako ndio imeishia hapo
 
Unaweza kutumia namba yako ya WhatsApp hata ukiwa nje ya TZ. Nadhani hujawahi kusafiri. (Alisisitiza apigiwe WhatsApp)
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Umemuelewa alichokizungumza lakin?
 
simu ilipigwa whatsapp - hii ni kweli ni namba ya kigeni ila huwezi sema specifically yupo nchi gani

hata sisi tushatumia namba za namna hii kwenye mitandao

kuhusu yupo wapi anajua yeye na wanaomtafuta
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Sasa Ponjoro, mbona unadanganywa vitu vingi tu huwa husemi, tuliyaaa!!
 
Hukuwahi kusikia neno roaming? Kama la, google!
 
Nimewahi kukuuliza kuhusu aina ya udaktari wako, lakini mpaka leo hujanijibu!
 
Zezeta la mama kwenye ubora wako.

Unataka mjue alipo ili mkavunje chumba alichofanyia press jana?

Gwajima mlipomsaka sana mkajua yuko kanisani kwake mmeenda kufanya uharibifu , wizi wa mali na mmepapiga utepe wa active crime scene.

Nendeni mkavamie alipokuwa anakaa Dodoma kama mlivyovamia 2021 huenda mkamkuta kule .
 
Back
Top Bottom