+1305 ni country code ya Frolida na Miami huko USA. Jee Polepole alitudanganya yuko Tanzania akitumia code +1305?

Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Ulafi wa madaraka ni balaa—unakalia kiti kama mtoto anavyong’ang’ania chupa ya maziwa, bila maarifa wala kipaji. Mbaya zaidi, unaziba masikio kama aliyemeza pamba. Watu wanakuambia, ‘Bwana, mambo haya yamekuzidi,’ lakini wewe bado unajifanya kiongozi. Embu sepa.

GwEqWZ_XQAAXxWV.jpg
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Unaishi karne ya ngapi!?
 
Hata mimi nishaitumia sana laini ya nchi nyengine wakati niko Tanzania kupiga na kupigiwa na kufanya kila kitu isipokuwa miamala tu kwasababu hakukua na agente wa mtandao huo wa kuweza kufanya muamala na kunipa hela. Kiufupi uko nje ya mda.
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
zile line zake alitaja ukiangalia, ni nchi za carrebeans, cuba ni moja ya hizo.
 
Unaweza kutumia namba yako ya WhatsApp hata ukiwa nje ya TZ. Nadhani hujawahi kusafiri. (Alisisitiza apigiwe WhatsApp)
Yeye alikuwa akiishi Cuba kama balozi wetu. Country code ya Cuba ni +53. Hatungalishangaa kama hiyo namba yake ya whatsapp ingeanzia +53. Kwa nini sasa awe na namba ya USA jimbo la Florida? Kwa nini kakimbilia USA baada ya kuacha kazi ya umma kuusaka ubunge?
 
🤣🤣🤣unashangaa wewe na nani?? Nje ya ubalozi unajua shughuli zake nyingine?? Halafu Polepole ameshakuwa kiongozi mkubwa anajua namna ya kucheza na watu
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani

Ushawahi kutumia VPN?
Kama hujawahi kutumia VPN ndio maana utakuwa huelewi.
Kwa kifupi ni kwamba ukitumia VPN ina chofanya ni kubadili location yako kama hivyo.
 
Yeye alikuwa akiishi Cuba kama balozi wetu. Country code ya Cuba ni +53. Hatungalishangaa kama hiyo namba yake ya whatsapp ingeanzia +53. Kwa nini sasa awe na namba ya USA jimbo la Florida? Kwa nini kakimbilia USA baada ya kuacha kazi ya umma kuusaka ubunge?
Unatakiwa ujue namna VPN inavyofaya kazi ndio uelewe
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Kwanza kabisa.. next time ukitaka kuanzisha mjadala sensitive kama huu alafu unajua huna details na hujatumia akili change ID kwanza tujue unakuja kufuka Moshi.
Namba ukiisajili Whatsapp unaweza kuitumia nchi yoyote but una ubongo mdogo sana kulijua Hilo. Pia pole pole alipigiwa simu na mtu akiomba kwenda kumchukua maelezo mama ake (probably polisi) and it's less likely kuwa walitumia namba ya abroad kumpigia kumpa taarifa kama hiyo..
Lastly... Usiwe unaanzisha Uzi Kwa idea as if umekatwa kichwa
 
Haijalishi yupo wapi!
Cha kujadili ni content ya alichokiongea.
Tukianza kujadili nani anaongea akiwa kwenye MIMBAR GANI haitawezekana
Mbona content ya alichoongea ni ya kawaida tu na ilieleweka vizuri tu. Ilikuwa ni ya kisiasa ya upinzani, aliitoa kwa kistaarabu na bila kuweka uwongo. Alikikosoa chama chake cha ccm na serikali yake kwa kuendesha baadhi ya mambo kihuni.

Kwa wenye akili hawakutakiwa kujadili hiyo content bali ktafakari dhamira ya hiyo content. Wenye akili waligundua kuwa dhamira yake ya kuacha kazi ya umma ghafla ni kwenda kusaka kazi ya ubunge kama wafanyavyo wakuu wa mikoa na watumishi wengine wa umma kipindi hiki. Wenye akili waligundua kwamba ombi lake la kuacha kazi kwenda kusaka ubunge kama ambavyo wakuu wa mikoa walivyokuwa wanafanya, lilikataliwa na mamlaka ya uteuzi. Hivyo akalazika kufanya alichokifanya akijua kuwa sasa hataweza kuusaka huo ubunge kupitia chama chake cha ccm. Hivyo kaanza siasa ya upinzani. Bila shaka atajiunga na moja wapo wa vyama hivyo vya upinzani kuusaka ubunge. Na bila shaka hivi karibuni ccm watamtimua kwenye chama chao.

Watanzania wanampenda na wanamkaribisha kuja kuwa mbunge wao. Hana haja ya kuogopa na kujificha huko Florida. Hajafanya kosa lo lote. Arudi aimarishe siasa za upinzani kwa faida ya taifa letu.
 
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.

Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Una ndugu anaishi nje ya nchi? Je, akiwa hapa hawezi kutumia namba ya nchi aliyotoka?
 
Cuba is +53. Yeye alikuwa anaishi Cuba na siyo USA. Jua pia roaming charges ate expensive na huwezi roam kwa siku nyingi bila TCRA kuingilia.
 
Fala mwenyewe.. Hilo nalijua vizuri kikubwa jibuni hoja za Polepole
Mwenyewe ndio unaona umekuja na bonge la bandiko, Sasa kama ulikuwa unajua mbona unakuja kuuliza ilhali kumbe unajua, au ni mwezi mchanga nini dada, wasalimie Milembe Dom?
 
Back
Top Bottom