Akili yako ndio imeishia hapoJana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Kumbe na wewe fala ..ina maana hujui kwamba ukitoka na wasap hapa ukienda nje bado inasoma namba ya hapaJibuni hoja zake acheni kulalama
Unaweza kutumia namba yako ya WhatsApp hata ukiwa nje ya TZ. Nadhani hujawahi kusafiri. (Alisisitiza apigiwe WhatsApp)Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Umemuelewa alichokizungumza lakin?Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Ile mipango ya kuvuruga press yake ilibuma.Jibuni hoja zake acheni kulalama
Fala mwenyewe.. Hilo nalijua vizuri kikubwa jibuni hoja za PolepoleKumbe na wewe fala ..ina maana hujui kwamba ukitoka na wasap hapa ukienda nje bado inasoma namba ya hapa
simu ilipigwa whatsapp - hii ni kweli ni namba ya kigeni ila huwezi sema specifically yupo nchi ganiJana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Sasa Ponjoro, mbona unadanganywa vitu vingi tu huwa husemi, tuliyaaa!!Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Nimewahi kukuuliza kuhusu aina ya udaktari wako, lakini mpaka leo hujanijibu!Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.