Wewe ni mgeni hapa nchini?Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
We Unakichaa? Aliyeleta bandiko ni mimi? Ukapimwe akili mjinga mmoja weweMwenyewe ndio unaona umekuja na bonge la bandiko, Sasa kama ulikuwa unajua mbona unakuja kuuliza ilhali kumbe unajua, au ni mwezi mchanga nini dada, wasalimie Milembe Dom?
🤣🤣🤣🤣Dada yangu una hasira kweli utafikiri mshare wa kimasai wenye makamasi unakuingia kunako, yari yako utakuwa hauolewi.We Unakichaa? Aliyeleta bandiko ni mimi? Ukapimwe akili mjinga mmoja wewe
Hapa Nitakuwa najibizana na mtu Kumbe yupo kwenye siku zake.. Jibuni hoja zake acheni kupotosha madabandiko lako la kujibu hoja za slow-slow.
Arudi akaungane na lisu gerezaniMbona content ya alichoongea ni ya kawaida tu na ilieleweka vizuri tu. Ilikuwa ni ya kisiasa ya upinzani, aliitoa kwa kistaarabu na bila kuweka uwongo. Alikikosoa chama chake cha ccm na serikali yake kwa kuendesha baadhi ya mambo kihuni.
Kwa wenye akili hawakutakiwa kujadili hiyo content bali ktafakari dhamira ya hiyo content. Wenye akili waligundua kuwa dhamira yake ya kuacha kazi ya umma ghafla ni kwenda kusaka kazi ya ubunge kama wafanyavyo wakuu wa mikoa na watumishi wengine wa umma kipindi hiki. Wenye akili waligundua kwamba ombi lake la kuacha kazi kwenda kusaka ubunge kama ambavyo wakuu wa mikoa walivyokuwa wanafanya, lilikataliwa na mamlaka ya uteuzi. Hivyo akalazika kufanya alichokifanya akijua kuwa sasa hataweza kuusaka huo ubunge kupitia chama chake cha ccm. Hivyo kaanza siasa ya upinzani. Bila shaka atajiunga na moja wapo wa vyama hivyo vya upinzani kuusaka ubunge. Na bila shaka hivi karibuni ccm watamtimua kwenye chama chao.
Watanzania wanampenda na wanamkaribisha kuja kuwa mbunge wao. Hana haja ya kuogopa na kujificha huko Florida. Hajafanya kosa lo lote. Arudi aimarishe siasa za upinzani kwa faida ya taifa letu.
What's your point regarding to my comment? Kwamba HAUWEZI kutumia hiyo namba ukiwa Tanzania? That's my question.Cuba is +53. Yeye alikuwa anaishi Cuba na siyo USA. Jua pia roaming charges ate expensive na huwezi roam kwa siku nyingi bila TCRA kuingilia.
Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
kama ambavyo simba analindwa kila mahali ,kwa kuogopaaa ,ndivyo ilivyo kwa polepoleeeJana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Kwani yeye hawajui wale waitwao wasiojulikana?Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA.
Jee ni kweli yuko Tanzania aki roam na mtandao wa simu wa jimbo la Florida la huko America? Kama ni kweli, kwa nini afanye hivyo (kujificha) kipi anaogopa? Kwani kuna ubaya mtu kuacha kazi ya umma na kujiunga na siasa za upinzani hasa katika kipindi hiki cha kutafuta kuwa mbunge kwani masilahi ya mbunge ni mara kumi ya masilahi ya ubalozi? Tumeshudia maprofesa, wakuu wa mikoa na madaktari bingwa bobezi wakiacha kazi zao na kwenda kutafuta kuwa wabunge kwenye uchaguzi mkuu unaokuja kwa kupitia vyama mbali mbali vya siasa. Mzee Humphrey Polepole (ana umri wa miaka 55 hivyo ni mzee) kuusaka ubunge kuna mbaya gani?
Kwa hiyo sasa hivi naye anafuata muongozo kutoka kwa nabii Lema wa ni namna gani ile hadhi inapatikana?Waliwakimbiza WATU waende uhamishoni Leo HII wamekimbia WAO BADO MmOJA ni nani simjui
Kaka ACHA TU maisha haaayaaaKwa hiyo sasa hivi naye anafuata muongozo kutoka kwa nabii Lema wa ni namna gani ile hadhi inapatikana?
Huyu na Msukuma walisoma chuo kimoja na aina ya udakitari wa Msukuma ndio wa huyu pia.Nimewahi kukuuliza kuhusu aina ya udaktari wako, lakini mpaka leo hujanijibu!
Sasa labda kama ni kosa kumiliki namba ya huko fololida ndio useme lkn km siyo kosa hakuna sababu ya kulalamika.Yeye alikuwa akiishi Cuba kama balozi wetu. Country code ya Cuba ni +53. Hatungalishangaa kama hiyo namba yake ya whatsapp ingeanzia +53. Kwa nini sasa awe na namba ya USA jimbo la Florida? Kwa nini kakimbilia USA baada ya kuacha kazi ya umma kuusaka ubunge?
Ulitaka kumteka??+1305 ni country code ya Frolida na Miami huko USA. Jee Polepole alitudanganya yuko Tanzania akitumia code +1305?
Hapana beibi mimi sipo kwenye siku zangu, maana mimi huwa kilasiku uwa nashimiza tu warembo wa makalio kama weweHapa Nitakuwa najibizana na mtu Kumbe yupo kwenye siku zake.. Jibuni hoja zake acheni kupotosha mada