15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

Atakumbikwa kwa kuongeza tiba ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu
 
Nani anafahamu mama anakotupeleka?
 
Sawa vyeti feki ulitegemea utadumu kwa nguvu za ndumba ofisini😂???
Bila shaka unaongeleaa elimu feki ya UPhD ya dhalimu mwendakuzimu shenzi type...kijana Ben Saanane alipohoji elimu yake akapotezwwa hadi leo hajulikani yuko wapi.
 

Kama shule nimesoma Sana tena inawezekana nimekuzidi .
Katika shule zangu zote nilizopita sijawahi kukutana na numerical za namna hii.
Any way asante kwa kunielimisha kwani hiyo k nilidhani inamaainisha kilo kwa maana ya laki
 
Watu wengi wanashindwa kujua kwa nini kodi zimepanda. Fuatana nami katika hili;
Kipindi cha magufuli alijidhatiti katika ukusanyaji wa kodi, wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wanalipa kodi isiyo sahihi walilazimishwa kulipa kodi sahihi na hii ikapelekea malalamiko haswaa kwa hao wakubwa kwamba wanaonewa na kudhulumiwa lakin jpm hakuwasikiliza walilipa kodi kwa lazima na wengine waliokuwa jeur walilazimishwaa kufungiwa biashara zao. Jambo la pili, magu kwa kiasi kikubwa sana alidhibiti wizi serikalini japo kwa wateule wachache waliendelea kuzipiga kwa akil ila kwa kiwango kikubwa sana alidhibiti mana zaman wakat wa jk hata mkuu wa idara tu alikuwa anaweza kukwapua billions of money. Sasa bas kwa kuwa hela zilikuwa nyingi kipind cha jpm ilipelekea kuanzishwa kwa miradi mikubwa ya serikal kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia kubwa na kias kwa mikopo japo hilo hakulisemea sana. Baada ya jpm kuondoka huku miradi mikubwa ikiwa ndo kwanza inachipua pesa nazo zilihitajika kuiendeleza. Sasa mama alipoingia akaanza na mkwara kwa wakusanya kodi kuhusu kubambikia watu au kuwalazimisha watu walipe kodi stahik huku akiwataka wasiwatishie wafanya biashara wakubwa. Hapo ndo akaharibu mana makusanyo yalishuka kama mwewee, miradi inamwangalia mikopo ni michungu sasa anafanyaje. Option alizonazo mkononi zikawa mbili, either abuni vyanzo vya mapato vingine kufidia gap la kodi kushuka au afuate ushauri wa zungu anaekaa posta ilala kuhusu kugandamiza walala hoi..kubuni vyanzo vingine it will take time and the mega projects will fade away, thus the only option she had was to abide with Zung's deadly and disgusted recommendation.
Hivyo ndo ilivyo tusimlaumu mama hakuwa na jinsi tukomae tu ili miradi mikubwa ikamilike..
Asanteni vijana.
 
Kama shule nimesoma Sana tena inawezekana nimekuzidi .
Katika shule zangu zote nilizopita sijawahi kukutana na numerical za namna hii.
Ndio umepata shule ya mtaa sasa acha kujitia umesoma sana wakati una zero ya Form 4 ww!
Aliyesoma hawezi acha kujua hili jambo dogo sana la darasa la 3! Hujaelimika
 
Ndio umepata shule ya mtaa sasa acha kujitia umesoma sana wakati una zero ya Form 4 ww!
Aliyesoma hawezi acha kujua hili jambo dogo sana la darasa la 3! Hujaelimika
Kwa taarifa yako o level nimesoma maua seminary ambapo mtu wa mwisho alipata division 2.
Acheni kuharibu lugha .
Katika shule zangu zote nilizosoma sijakutana na nambari za namna hiyo nadhani wewe ni mmoja wapo wa wale wanaotumia x badala ya s
 
Mazee mbona mnalalamika sana kwani nchi inaongozwa na CUF?? Hiyo bajeti imepitishwa na kuungwa mkono na wabunge waliopita bila kupingwa. Lipeni kodi acheni malalamiko.
 
Kwa taarifa yako o level nimesoma maua seminary ambapo mtu wa mwisho alipata division 2.
Acheni kuharibu lugha .
Katika shule zangu zote nilizosoma sijakutana na nambari za namna hiyo nadhani wewe ni mmoja wapo wa wale wanaotumia x badala ya s
Utaaibika we fala! Nyamaza ufiche ujinga wako fungua topic ya units of measurement ujifunze kitu mzee mnasoma shule za kupewa majibu ya Necta ili shule ipate wateja mtaelewaje vitu! Kupata div 1 ya majibu ya mezani sio kuelimika, siwezi kuulaumu mfumo uliowalea! BRN fella
 
Kufufuka ni ngumu ila misimamo yake itaendelea kuishi! Walioingia kwenye 18 zake ndio mnalia lia
Hakuna aliyeingia kwenye 18 zake ila alikuwa na roho mbaya, wivu, chuki, kinyongo, katili n.k

Jiwe alikuwa jitu katili la hovyo hadi leo siamini kama kweli tayari ni mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…