Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sawa mghushi vyetiMm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mghushi vyetiMm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
Hao wapuuzi tu wanaodissMisiba ipi ndg? Kafilisi nini??
Au pesa za ngada zilivyozibwa ikawa issue,
Kufufuka ni ngumu ila misimamo yake itaendelea kuishi! Walioingia kwenye 18 zake ndio mnalia liaKila siku mnamtaja Hayati Hayati Hayati, mnataka afufuke?
Huwez ona jema sababu hukuwa mwema kwahio endelea kulia lia tu na vyeti vyako fekiAtakumbukwa kwa kufilisi nchi na kufisidi watu. Jema lipi alilo lifanya ila kutia watu misibani.
Nani anafahamu mama anakotupeleka?Mwaka huu niliona watu wanashangilia kodi kutoka 9 to 8 wakati jamaa alipunguza toka 11 to 9%, last year, ukweli jamaa alibalance mambo, sasa kwa hali hii ndg unaona kawaida tu?
Gharama kuongezeka kiasi hiki ni jambo la kawaida?
Petroleum wameongeza kodi wakati ndio source ya kila kitu tutegemee nini hapo.
Wamekuja na eneo la miamala ya simu, najiuliza sana, hii burden itabebekaje kwenye jamii???
Ukweli walipaswa kufikiri vinginevyo, Magufuli kwa mambo yaliyokuwa yanagusa jamii namna hii hakuwa akiyaridhia kbs....
Tunamkumbuka mpaka kesho
Bila shaka unaongeleaa elimu feki ya UPhD ya dhalimu mwendakuzimu shenzi type...kijana Ben Saanane alipohoji elimu yake akapotezwwa hadi leo hajulikani yuko wapi.Sawa vyeti feki ulitegemea utadumu kwa nguvu za ndumba ofisini😂???
Mkuu hujasoma shule nini? Hilo neno ni common sana sikuhizi! K ni kiwakilishi cha kiwango cha elfu 1 ama 1000! Utakapoona namba yeyote ikifuatiwa na neno k basi zidisha hio namba mara 1000 ndipo utapata jibu halisi!
Kwa minajili hio 50k ni sawa na 50x1000=50,000
1k ni sawa na 1x1000=1,000
Watu wengi wanashindwa kujua kwa nini kodi zimepanda. Fuatana nami katika hili;Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda.
Kilichonifanya nisimpende Magufuli baadae ni hali ya mgawanyiko uliokuwa unaendelea nchini.
Haya ni Rais wetu JPM katangulia wapo waliofurahi na wapo waliosikitika pia.
Baada ya serikali ya awamu ya sita kuchukua hatamu na kuanza kufungulia mambo mengi yalifungwa na kurekebisha uhusiano na majirani, wapinzani, wafanyabishara na wafanyakazi kuongezewa mishahara,nchi ilikuwa kama umepata uhuru toka kwa mkoloni mweusi. Mama akapendwa na watu wote bila kuangalia itikadi yao.
Mara baada ya siku 100 kufika kauli yake kuhusu wapinzani na katiba mpya ikawatisha baadhi ya wananchi. Lakini bado hakupoteza mvuto.
BAJETI MPYA YA 2021-2022 YAMWARIBIA
Hapa ni lazima Hayati Magufuli akumbukwe na wote sababu alidaiwa kuwajali wanyonge zaidi kuliko matajiri. Bajeti iliyopitishwa na waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba ndio mtihani wa pili kwa Rais SSH baada ya dai la katiba mpya.
Huenda akaponzwa na waziri wa fedha lakini atabeba lawama yeye sababu yeye ndie alimteua na anaweza pia kumuwajibisha.
Je, kwa mabadiliko haya 2025 atatoboa?
USHAURI WANGU KWAKE
Pamoja na miradi mikubwa aliyokuwa amefanya mtangulizi wake haya maisha hayakuepo? Je kweli serikali imekosa chanzo kingine cha kuongeza mapata badala ya huduma zinazotumiwa zaidi na wananchi wa kawaida? Kwanini wasingebana kwenye vitu vya anasa kama alivyofanya Magufuli?
Je, ni Serikali kukamua wananchi kama njia ya kujiongezea mapato? Hakuna rasilimali zinazoweza kutumiwa kuiongezea serikali mapato?
Nenda katoe pesa kwa wakala..hapo ndo utamkumbuka JPM.Mm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
Ndio umepata shule ya mtaa sasa acha kujitia umesoma sana wakati una zero ya Form 4 ww!Kama shule nimesoma Sana tena inawezekana nimekuzidi .
Katika shule zangu zote nilizopita sijawahi kukutana na numerical za namna hii.
Mental case ni wewe ambaye hueleweki ni manzi au choko!Mm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
50k=50 000Hapo kwenye 50k na 1k. Unamaanisha nini au shilingi ngapi?
Kwa taarifa yako o level nimesoma maua seminary ambapo mtu wa mwisho alipata division 2.Ndio umepata shule ya mtaa sasa acha kujitia umesoma sana wakati una zero ya Form 4 ww!
Aliyesoma hawezi acha kujua hili jambo dogo sana la darasa la 3! Hujaelimika
Mazee mbona mnalalamika sana kwani nchi inaongozwa na CUF?? Hiyo bajeti imepitishwa na kuungwa mkono na wabunge waliopita bila kupingwa. Lipeni kodi acheni malalamiko.Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda.
Kilichonifanya nisimpende Magufuli baadae ni hali ya mgawanyiko uliokuwa unaendelea nchini.
Haya ni Rais wetu JPM katangulia wapo waliofurahi na wapo waliosikitika pia.
Baada ya serikali ya awamu ya sita kuchukua hatamu na kuanza kufungulia mambo mengi yalifungwa na kurekebisha uhusiano na majirani, wapinzani, wafanyabishara na wafanyakazi kuongezewa mishahara,nchi ilikuwa kama umepata uhuru toka kwa mkoloni mweusi. Mama akapendwa na watu wote bila kuangalia itikadi yao.
Mara baada ya siku 100 kufika kauli yake kuhusu wapinzani na katiba mpya ikawatisha baadhi ya wananchi. Lakini bado hakupoteza mvuto.
BAJETI MPYA YA 2021-2022 YAMWARIBIA
Hapa ni lazima Hayati Magufuli akumbukwe na wote sababu alidaiwa kuwajali wanyonge zaidi kuliko matajiri. Bajeti iliyopitishwa na waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba ndio mtihani wa pili kwa Rais SSH baada ya dai la katiba mpya.
Huenda akaponzwa na waziri wa fedha lakini atabeba lawama yeye sababu yeye ndie alimteua na anaweza pia kumuwajibisha.
Je, kwa mabadiliko haya 2025 atatoboa?
USHAURI WANGU KWAKE
Pamoja na miradi mikubwa aliyokuwa amefanya mtangulizi wake haya maisha hayakuepo? Je kweli serikali imekosa chanzo kingine cha kuongeza mapata badala ya huduma zinazotumiwa zaidi na wananchi wa kawaida? Kwanini wasingebana kwenye vitu vya anasa kama alivyofanya Magufuli?
Je, ni Serikali kukamua wananchi kama njia ya kujiongezea mapato? Hakuna rasilimali zinazoweza kutumiwa kuiongezea serikali mapato?
Utaaibika we fala! Nyamaza ufiche ujinga wako fungua topic ya units of measurement ujifunze kitu mzee mnasoma shule za kupewa majibu ya Necta ili shule ipate wateja mtaelewaje vitu! Kupata div 1 ya majibu ya mezani sio kuelimika, siwezi kuulaumu mfumo uliowalea! BRN fellaKwa taarifa yako o level nimesoma maua seminary ambapo mtu wa mwisho alipata division 2.
Acheni kuharibu lugha .
Katika shule zangu zote nilizosoma sijakutana na nambari za namna hiyo nadhani wewe ni mmoja wapo wa wale wanaotumia x badala ya s
Hakuna aliyeingia kwenye 18 zake ila alikuwa na roho mbaya, wivu, chuki, kinyongo, katili n.kKufufuka ni ngumu ila misimamo yake itaendelea kuishi! Walioingia kwenye 18 zake ndio mnalia lia