Moja ya mambo ambayo najivunia toka kwako dada
snowhite ni hekima yako,nadhani hii ndiyo imekuwa nguzo muhimu kukuvusha ktk kila ukinzani.pamoja na pongezi zako kwa wazazi wako,r.i.p wazazi wako,kaka na dada zako,mwenzi wako wa maisha,wanao pamoja na baadhi ya wanajukwaa napenda nami kutambua kuwa hekima uliyonayo pamoja na mwenyezi mungu kukutunuku lakini wahusika tajwa wamekuwa sehem ya kuifanya ionekane na uwe wewe tunaejivunia hapa jukwaani.umetimiza umri wa miaka kadhaa ukiwa still una strong-will kwa future yako,hongera sana kwa umri huo na mwenyezi mungu akujalie kuishi kwa upendo,mshikamano na amani na familia yako.kama mama simamia familia yako iwe imara kama ulivyo.umri mrefu nina kutakia na mwenyezi mungu akujalie sawa na haja ya moyo wako.happy birthday
snowhite.we love you!