15 November ...snowhite alizaliwa!

15 November ...snowhite alizaliwa!

(Happy birthday 2U)x2 ...... happy birthday dear Sister......happy birthday 2U. LONG LIVE & STAY BLESSED ALWAYS Snowhite.
 
Wooow!
Happy birthday shem!
Maisha mema na wanao bila kumsahau mumeo!

NB Itumie ndoa yako ipasavyo
 
Happy-Birthday-Cards-002.gif


snowhite...... Love u mum!!!!!!
thank yu charminglady
mimi penda wewe sana dear!
 
Last edited by a moderator:
Hepi besdei to yuu Snoowaiti,, hau oldi aa yuu?

oh athante TANMO
babu Asprin ana jibu kutu la hili swali lako!,of coz ni baada ya kufanyiwa uchunguzi na uchukuzi kwa kina tu!
 
Last edited by a moderator:
Wooow!
Happy birthday shem!
Maisha mema na wanao bila kumsahau mumeo!

NB Itumie ndoa yako ipasavyo
ahsate shem langu la ukweli ,japokuwa na we siku hizi hueleweki heleweki hivi nina mashaka sana jinsi unavyomtreat shosti wangu!
ila sasa nauliza,hapo kwenye red unamaanisha yani leo nikigandishe kwa hiari yangu!mpaka asubuhi?nauliza tu jamani!?
 
(Happy birthday 2U)x2 ...... happy birthday dear Sister......happy birthday 2U. LONG LIVE & STAY BLESSED ALWAYS Snowhite.
ahsante sana Bayyo mimi love yu sana!thank yu!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mkuu snowhite.

ahsante MzunguMndali wenzio huku twataniana na kupunguza stress mkuu so ujiachie kwa cheko na bashasha i hope tumewekana sawa ,pole na makavu ya asubuhi!
kwa kunitumia wishes hizi means tayari umeielewa chit chat!
pamoja sana dear!karibu tucheke tujiachie nchi yenyewe ishauzwa hii !bora raha tujipe wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Nami pia nakutakia maisha mema we na jamaa zako wote
 
Na maanisha ndoa itumike wakati wote kama ulikuwa utumii ipasavyo inabidi uongeze! Unaweza usitumie chakula lakini usipotumia ndoa ipasavyo ni case!

ahsate shem langu la ukweli ,japokuwa na we siku hizi hueleweki heleweki hivi nina mashaka sana jinsi unavyomtreat shosti wangu!
ila sasa nauliza,hapo kwenye red unamaanisha yani leo nikigandishe kwa hiari yangu!mpaka asubuhi?nauliza tu jamani!?
 
Moja ya mambo ambayo najivunia toka kwako dada snowhite ni hekima yako,nadhani hii ndiyo imekuwa nguzo muhimu kukuvusha ktk kila ukinzani.pamoja na pongezi zako kwa wazazi wako,r.i.p wazazi wako,kaka na dada zako,mwenzi wako wa maisha,wanao pamoja na baadhi ya wanajukwaa napenda nami kutambua kuwa hekima uliyonayo pamoja na mwenyezi mungu kukutunuku lakini wahusika tajwa wamekuwa sehem ya kuifanya ionekane na uwe wewe tunaejivunia hapa jukwaani.umetimiza umri wa miaka kadhaa ukiwa still una strong-will kwa future yako,hongera sana kwa umri huo na mwenyezi mungu akujalie kuishi kwa upendo,mshikamano na amani na familia yako.kama mama simamia familia yako iwe imara kama ulivyo.umri mrefu nina kutakia na mwenyezi mungu akujalie sawa na haja ya moyo wako.happy birthday snowhite.we love you!
Mgaya D.W maneno yako yamenigusa kwa kweli!ahsante sana
nawapenda sana nyote nawapenda sana mmekuwa ni zaidi ya marafiki kwangu,kiasi kwamba mkiumia aumia nanyi,mkifurahi nafurahi pamoja nanyi!
Mungu akubariki sana wewe na familia yako,mibaraka ikafunike mahusiano yako,amani ikatawale ulipo na furaha ulete kwa wakuzngukukao!love yu sana mkuu!
ahsante sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom