Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsate shem langu la ukweli ,japokuwa na we siku hizi hueleweki heleweki hivi nina mashaka sana jinsi unavyomtreat shosti wangu!Wooow!
Happy birthday shem!
Maisha mema na wanao bila kumsahau mumeo!
NB Itumie ndoa yako ipasavyo
Happy Birthday mkuu snowhite.
ahsate shem langu la ukweli ,japokuwa na we siku hizi hueleweki heleweki hivi nina mashaka sana jinsi unavyomtreat shosti wangu!
ila sasa nauliza,hapo kwenye red unamaanisha yani leo nikigandishe kwa hiari yangu!mpaka asubuhi?nauliza tu jamani!?
Mgaya D.W maneno yako yamenigusa kwa kweli!ahsante sanaMoja ya mambo ambayo najivunia toka kwako dada snowhite ni hekima yako,nadhani hii ndiyo imekuwa nguzo muhimu kukuvusha ktk kila ukinzani.pamoja na pongezi zako kwa wazazi wako,r.i.p wazazi wako,kaka na dada zako,mwenzi wako wa maisha,wanao pamoja na baadhi ya wanajukwaa napenda nami kutambua kuwa hekima uliyonayo pamoja na mwenyezi mungu kukutunuku lakini wahusika tajwa wamekuwa sehem ya kuifanya ionekane na uwe wewe tunaejivunia hapa jukwaani.umetimiza umri wa miaka kadhaa ukiwa still una strong-will kwa future yako,hongera sana kwa umri huo na mwenyezi mungu akujalie kuishi kwa upendo,mshikamano na amani na familia yako.kama mama simamia familia yako iwe imara kama ulivyo.umri mrefu nina kutakia na mwenyezi mungu akujalie sawa na haja ya moyo wako.happy birthday snowhite.we love you!