rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa
HAKIKA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE
Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa na kunilea toka nikiwa tumboni mpaka aliponiacha na kurudi kwa Muumba wake,natamani sana angepata heri ya kuniona nikiwa sasa mama, mke najua na naamini angejivunia sana mimi
HAKIKA NAKUPENDA NA KUKUMBUKA SANA MAMA YANGU
Namshukuru sana baba yangu kwa kunileta duniani na kunilea, yeye amekuwa nguzo yangu na amani yangu mpaka aliponiacha naye kumrudi kwa Muumba wake, naye natamani sana angenishuhudia leo nikiwa ni mwanamke jasiri na shupavu kama alivopenda niwe
HAKIKA I MISS YU daddy,(mwenyewe alikuwa ananiita mama yangu coz nilipewa jina la bibi yangu)
Namshukuru sana mume wangu, amekuwa ni rafiki mpenzi kwa maisha yangu miaka 17 pamoja naye haikuwahi kuwa majuto kwenye maisha yangu!
HAKIKA NAKUPENDA UPEO MAISHA YANGU!(mie humwita NAFSI YANGU MIMI)
Nawashukuru sana watoto wangu, wamekuwa furaha na faraja ya pekee sana kwa maisha yangu wamekuwa zaidi ya watoto wangu, infanct ni mashosti zangu, nawapenda sana na hawajanidissappoint as a mother! I'm very proud of them
HAKIKA NAMASHUKURU MUNGU KWA AJILI YAO
Nawashukuru sana dada zangu,kaka zangu
najua nilivyokuwa mtundu na wa kudeka enzi hizo
MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUNIFUNDISHA YOTE!tatizo tu hesabu ndo zilikataa kupanda!
JF friends!
You guys sijui niseme nini kuonyesha kuwa nawapenda sana kila mmoja kwa nafasi na upekee wake
FP we unajua ni dada mkubwa, thank you very much for being one
gfsonwin weye mwali hata sina maneno ya kukwambia, thank yu very much
The Boss we ni big brother si unajua? Ahsante sana kwa kuwa hivyo
Ciello wewe ni mamduchu enh? Yap i love you dogo
BAK hujawahi kunidisappoint kwenye upande wa miburudiko ahsante brother
Boflo ah we mtu sijui nisemeje, jua tu unanipa cheko na bashasha kwa post zako, af nakumbushia ile offer yangu ya massage treat!
cacico mke mwenza we wajua vile u remind of those days!
SnowBall mtoto wa kiume wa mama yangu thank yu pacha
watu8 ahahahahhahhaha ahsante sana kwa mambo yetu yaleeee! Hujawahi kuniangusha si unajua?
Kaizer na
Asprin mimi proud being ur mwalimu bana
lara 1 kino gal, hujawahi kunibore kwa uandishi wako, I like ur style girl!
@mj'r partner shukrani sana kwa kushare nami interest kwenye ushairi
Kongosho bi harusi wangu, mimi love you kwa kweli, na ahid ya glambox lazima niitimize
Zinduna Madame B ,
mwaJ na
King'asti ndani ya chama letu kubwa nawapenda sana mashosti
Mtambuzi mume ya mama ngina wewe lol!ahahahhahhhha love yu sana bana
Dark City,@horse power na
Mkusa hongera sana kwa mawazo yenu
Well idadi ni kubwa saaaan nashindwa kuimaliza. Wengine woote NAWAPENDA SANA SANA SANA SANA![/QUOTE]
happ bday 2u