15 November ...snowhite alizaliwa!

15 November ...snowhite alizaliwa!

Happy Birthday Snoo......
PF_12_00000000R205_VA0741_ULT_BDAY_W1_PF
oh Preta zawadi nzuri na tamu ajabu!ahasante mwaya
love yu sana gal
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Snoo......
PF_12_00000000R205_VA0741_ULT_BDAY_W1_PF
Preta you are good! i love your gifts, and kuna mtu alikuwa aniambia gifts huwa zinamcharacterize mtoaji na mpokeaji na kwa kufuata kanuni alonipa naomba niakutangazie kwamba nakupenda sana.

"Preta will you please be my friend???
"
 
Last edited by a moderator:
Watu 8 mdogo wangu wa moyoni, hebu wtu wasikuharibie siku asubuhi njema kama hii tunaposherehekea siku ya kuzaliwa kwa ipenzi chetu snowhite.

sijui kwanza leo mmeandaa nn ningekuwepo mwenyewe leo mngenikoma ila dah! nakuaminia dogo utaoganize party nzuri ya dada mkubwa.
yaaah asituharibie siku!
enhe watu8 uhsakabidhiwa majukumu hivo,hebu lete mauhondo ya lijiparty
 
oh jamani kwa kweli wala si uongo!!hivi na kwenye ufriend kuna pete au tumpe kikuku ili upropose?
 
rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa

HAKIKA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE

Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa na kunilea toka nikiwa tumboni mpaka aliponiacha na kurudi kwa Muumba wake,natamani sana angepata heri ya kuniona nikiwa sasa mama, mke najua na naamini angejivunia sana mimi

HAKIKA NAKUPENDA NA KUKUMBUKA SANA MAMA YANGU

Namshukuru sana baba yangu kwa kunileta duniani na kunilea, yeye amekuwa nguzo yangu na amani yangu mpaka aliponiacha naye kumrudi kwa Muumba wake, naye natamani sana angenishuhudia leo nikiwa ni mwanamke jasiri na shupavu kama alivopenda niwe

HAKIKA I MISS YU daddy,(mwenyewe alikuwa ananiita mama yangu coz nilipewa jina la bibi yangu)

Namshukuru sana mume wangu, amekuwa ni rafiki mpenzi kwa maisha yangu miaka 17 pamoja naye haikuwahi kuwa majuto kwenye maisha yangu!

HAKIKA NAKUPENDA UPEO MAISHA YANGU!(mie humwita NAFSI YANGU MIMI)

Nawashukuru sana watoto wangu, wamekuwa furaha na faraja ya pekee sana kwa maisha yangu wamekuwa zaidi ya watoto wangu, infanct ni mashosti zangu, nawapenda sana na hawajanidissappoint as a mother! I'm very proud of them

HAKIKA NAMASHUKURU MUNGU KWA AJILI YAO

Nawashukuru sana dada zangu,kaka zangu
najua nilivyokuwa mtundu na wa kudeka enzi hizo

MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUNIFUNDISHA YOTE!tatizo tu hesabu ndo zilikataa kupanda!

JF friends!
You guys sijui niseme nini kuonyesha kuwa nawapenda sana kila mmoja kwa nafasi na upekee wake FP we unajua ni dada mkubwa, thank you very much for being one gfsonwin weye mwali hata sina maneno ya kukwambia, thank yu very much The Boss we ni big brother si unajua? Ahsante sana kwa kuwa hivyo Ciello wewe ni mamduchu enh? Yap i love you dogo BAK hujawahi kunidisappoint kwenye upande wa miburudiko ahsante brother Boflo ah we mtu sijui nisemeje, jua tu unanipa cheko na bashasha kwa post zako, af nakumbushia ile offer yangu ya massage treat! cacico mke mwenza we wajua vile u remind of those days! SnowBall mtoto wa kiume wa mama yangu thank yu pacha watu8 ahahahahhahhaha ahsante sana kwa mambo yetu yaleeee! Hujawahi kuniangusha si unajua? Kaizer na Asprin mimi proud being ur mwalimu bana lara 1 kino gal, hujawahi kunibore kwa uandishi wako, I like ur style girl!
@mj'r partner shukrani sana kwa kushare nami interest kwenye ushairi Kongosho bi harusi wangu, mimi love you kwa kweli, na ahid ya glambox lazima niitimize Zinduna Madame B , mwaJ na King'asti ndani ya chama letu kubwa nawapenda sana mashosti Mtambuzi mume ya mama ngina wewe lol!ahahahhahhhha love yu sana bana Dark City,@horse power na Mkusa hongera sana kwa mawazo yenu

Well idadi ni kubwa saaaan nashindwa kuimaliza. Wengine woote NAWAPENDA SANA SANA SANA SANA![/QUOTE]

happ bday 2u
 
Attachments

  • 300947xcitefun-happy-birthday-3.jpg
    300947xcitefun-happy-birthday-3.jpg
    27.4 KB · Views: 18
Watu 8 mdogo wangu wa moyoni, hebu wtu wasikuharibie siku asubuhi njema kama hii tunaposherehekea siku ya kuzaliwa kwa ipenzi chetu snowhite.

sijui kwanza leo mmeandaa nn ningekuwepo mwenyewe leo mngenikoma ila dah! nakuaminia dogo utaoganize party nzuri ya dada mkubwa.

usijali jamani...ila watu waliosoma wakashindwa kuelimika huwa wananikera sana ni bora angekuwa muuza MAPERA tu...
eenh ngoja nifanye mpango wa evening party...simple and elegant kwa dada yetu...
 
Last edited by a moderator:
usijali jamani...ila watu waliosoma wakashindwa kuelimika huwa wananikera sana ni bora angekuwa muuza MAPERA tu...
eenh ngoja nifanye mpango wa evening party...simple and elegant kwa dada yetu...

Hahahahaha. Apotezewe.. Anadandia gari kwa mbele.
 
yaaah asituharibie siku!
enhe watu8 uhsakabidhiwa majukumu hivo,hebu lete mauhondo ya lijiparty

najua leo waingia kazini...mie nishawasiliana na mtu wangu flani hivi atuandalie eneo la wazi ili jioni tujimwaye. Kutakua na cocktail party na waalikwa ni wana CC wote....baada ya muda nitawapa ramani
 
Last edited by a moderator:
najua leo waingia kazini...mie nishawasiliana na mtu wangu flani hivi atuandalie eneo la wazi ili jioni tujimwaye. Kutakua na cocktail party na waalikwa ni wana CC wote....baada ya muda nitawapa ramani
lol!ahasante mwaya!
 
usijali jamani...ila watu waliosoma wakashindwa kuelimika huwa wananikera sana ni bora angekuwa muuza MAPERA tu...
eenh ngoja nifanye mpango wa evening party...simple and elegant kwa dada yetu...
mpotezee
 
Ooh dear, hii imenitoa machozi. This far God has brought you, and He will take you higher than the clouds. Miaka 17? Ndo maana una mauzoefu eeh, ntakuja kwa ushauri nasaha manake nimewaza kumpiga chini Paw nihamie chimbo lingine, kumbe yanawezekana.

Love you gal, hongera na furahia one more year of wisdom
 
Back
Top Bottom