Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
luv yu sanaaaa mamito!
toka enzi na enzi zilleeee za mtwagi!
unayakumbuka makwaru!?
Shoga usinikumbushe yale Makwarukwaru ya mama Mshana.
Nikikumbuka nalia.
Dah!
Tumetoka mbali sana Best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
luv yu sanaaaa mamito!
toka enzi na enzi zilleeee za mtwagi!
unayakumbuka makwaru!?
Halafu mtani unajua tumezaliwa mwezi mmoja...mie siku 10 baada yako
Preta you are good! i love your gifts, and kuna mtu alikuwa aniambia gifts huwa zinamcharacterize mtoaji na mpokeaji na kwa kufuata kanuni alonipa naomba niakutangazie kwamba nakupenda sana.
"Preta will you please be my friend???"
Dear snowhite,rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa
HAKIKA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE
Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa na kunilea toka nikiwa tumboni mpaka aliponiacha na kurudi kwa Muumba wake,natamani sana angepata heri ya kuniona nikiwa sasa mama, mke najua na naamini angejivunia sana mimi
HAKIKA NAKUPENDA NA KUKUMBUKA SANA MAMA YANGU
Namshukuru sana baba yangu kwa kunileta duniani na kunilea, yeye amekuwa nguzo yangu na amani yangu mpaka aliponiacha naye kumrudi kwa Muumba wake, naye natamani sana angenishuhudia leo nikiwa ni mwanamke jasiri na shupavu kama alivopenda niwe
HAKIKA I MISS YU daddy,(mwenyewe alikuwa ananiita mama yangu coz nilipewa jina la bibi yangu)
Namshukuru sana mume wangu, amekuwa ni rafiki mpenzi kwa maisha yangu miaka 17 pamoja naye haikuwahi kuwa majuto kwenye maisha yangu!
HAKIKA NAKUPENDA UPEO MAISHA YANGU!(mie humwita NAFSI YANGU MIMI)
Nawashukuru sana watoto wangu, wamekuwa furaha na faraja ya pekee sana kwa maisha yangu wamekuwa zaidi ya watoto wangu, infanct ni mashosti zangu, nawapenda sana na hawajanidissappoint as a mother! I'm very proud of them
HAKIKA NAMASHUKURU MUNGU KWA AJILI YAO
Nawashukuru sana dada zangu,kaka zangu
najua nilivyokuwa mtundu na wa kudeka enzi hizo
MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUNIFUNDISHA YOTE!tatizo tu hesabu ndo zilikataa kupanda!
JF friends!
You guys sijui niseme nini kuonyesha kuwa nawapenda sana kila mmoja kwa nafasi na upekee wake FP we unajua ni dada mkubwa, thank you very much for being one gfsonwin weye mwali hata sina maneno ya kukwambia, thank yu very much The Boss we ni big brother si unajua? Ahsante sana kwa kuwa hivyo Ciello wewe ni mamduchu enh? Yap i love you dogo BAK hujawahi kunidisappoint kwenye upande wa miburudiko ahsante brother Boflo ah we mtu sijui nisemeje, jua tu unanipa cheko na bashasha kwa post zako, af nakumbushia ile offer yangu ya massage treat! cacico mke mwenza we wajua vile u remind of those days! SnowBall mtoto wa kiume wa mama yangu thank yu pacha watu8 ahahahahhahhaha ahsante sana kwa mambo yetu yaleeee! Hujawahi kuniangusha si unajua? Kaizer na Asprin mimi proud being ur mwalimu bana lara 1 kino gal, hujawahi kunibore kwa uandishi wako, I like ur style girl!
MJ'r partner shukrani sana kwa kushare nami interest kwenye ushairi Kongosho bi harusi wangu, mimi love you kwa kweli, na ahid ya glambox lazima niitimize Zinduna Madame B , mwaJ na King'asti ndani ya chama letu kubwa nawapenda sana mashosti Mtambuzi mume ya mama ngina wewe lol!ahahahhahhhha love yu sana bana Dark City,HORSE POWER na Mkusa hongera sana kwa mawazo yenu
Well idadi ni kubwa saaaan nashindwa kuimaliza. Wengine woote NAWAPENDA SANA SANA SANA SANA!
happy birthday my dear mke mwenza! we share 15th!! MAY OUR ALMIGHTY GOD PROTECT YOU AND GRANT U MUCH BLESSINGS IN THIS WORLD, AND FINALY WE MEET IN HEAVEN! much luv my friend!