15 wauawa kwa risasi Iran

15 wauawa kwa risasi Iran

Hapo kuna pandikizi. Watu wa magharibi wanafanya kila wanaloweza kudisturb maisha ya raia wa hilo taifa kama walivyoharibu mataifa mengine.

Ni muda sasa kupunguza influence ya US na Europe Africa na middle east ili stability ipatikane tuanze kujijenga kiuchumi na kuachana na mikaruzano.
 
Waarabu waone hivi hivi. Anaweza kutesa kiumbe Cha Mungu ili yeye apate kuingia mbinguni.
Anaweza kuua wanawake na watoto wasio na hatia Ila tu yeye aende mbinguni akazawadiwe mabikra wale wale aliowatesa Hadi kuwaua awatoe bikra.
Muislamu wa kiarabu haoni shida kumkata mkono mtoto aliyedokoa nyama jikoni.
Iran siyo waarabu...tafuta pengine pa kutolea povu lako la chuki dhidi ya waarabu ulilolifuga
 
Yapo kwenye kurani au la.... Maana huwa hainingii akilini kwanini mna uzombi wa kulipuka mabomu na kuua watu, lazima kuna muongozo kwenye kurani.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Wewe ni mpotoshaji na unaitimia vibaya Quran na jinsi unavyo endelea nitaanza kukuletea utopolo wa kwenye biblia soon ili ujione ulivyo juha kwa kuikata quran

Aya inataka kupigana na wale wanao tupiga

Yani kurudisha mashambilizi sasa wewe unaileta mahala sipo
 
Mimi nimekuuliza kweli hayo maagizo yapo? Maana nimekua najiuliza kwanini waislamu wengi hujilipua mabomu na kufanya mavituko ya mauaji yote kwa jila la allah na mohammed, haya maagizo yapo??

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Mimi nimekuuliza kweli hayo maagizo yapo? Maana nimekua najiuliza kwanini waislamu wengi hujilipua mabomu na kufanya mavituko ya mauaji yote kwa jila la allah na mohammed, haya maagizo yapo??

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Mwamba anarukaruka tu hataki kukubali ukweli
 
Hapo kuna pandikizi. Watu wa magharibi wanafanya kila wanaloweza kudisturb maisha ya raia wa hilo taifa kama walivyoharibu mataifa mengine.

Ni muda sasa kupunguza influence ya US na Europe Africa na middle east ili stability ipatikane tuanze kujijenga kiuchumi na kuachana na mikaruzano.
Hivi mpaka lini waislam tutaacha kuwasingizia wayahudi na US kwa kila tatizo letu?
Shia na Sunni wana mabifu na wanauana kila kukicha toka enzi na enzi, wala sio news hii.
Au wayahudi ndio walianzisha usunni?
 
Hivi mpaka lini waislam tutaacha kuwasingizia wayahudi na US kwa kila tatizo letu?
Shia na Sunni wana mabifu na wanauana kila kukicha wala sio news hii.
Au wayahudi ndio walianzisha usunni?
Wanacho paswa kujua watu kwanza ni kuifahamu kweli na kuto changanya matatizo tofauti kwa wakati mmoja

Unaweza kuta jambo la kisiasa lakini ina nasibishwa Dini

Au jambo la kitaifa fulani mwisho DINI ndio ina nasibishwa hilo ndio tatizo

Lau kama waislamu wakamua kwa kauli moja tu kusema kua hili si Dini bali ni la maslahi fulani tu.

Wanashindwa kufahamu na kutofautisha kati ya Dini na watu wa Dini kua inawezekana wakawa wako tofauti na hata hiyo Dini yenyewe

Sio kua sheria likitokea sehemu fulani basi. Watu wote watakua wafuataji wa sheria hiyo

Na hata ukiitazama

Saudia Arabia. Ni katika miji miwili tu ndio inaendeshwa kwa misingi ya Dini Makkah na Madini

Ukifika riadh na kwengineko tawala za kifalme za pale ndizo zenye mamlaka.

Sasa kuchanganya huku ndio husababisha watu kuhamak pasi na kufahamu mambo halisi

Au kwa kua na Elimu ndogo ya mambo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kujua kama aya inataka au haitaki, nimehoji kama kweli kuna hizi haya kwenye kurani, maana natafiti nini kinasababisha waislamu wajilipue mabomu huku wakimtaja allah akbar na mohammed

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Sasa kama utaki kujua hizo aya utabaki palepale na ujinga wako

Kujilipua kwa waislamu panatokea ikiwa hawapati hatimiliki ya kuishi kama binaadam wengine hivyo inakua katika sehemu ya ulipaji kisasi

Tazama kuna habari ilitandawaa sana kuhusu mwanafunzi kule Marekani kuzuiwa kuingia. Bungeni eti kwa sababu kavaa hijabu. Yani mtu ampangie cha kuvaa mwenzie na kuitazama alikua ni muislamu. Sasa hapo unatarajia nini kitatokea

Au mnaanzisha matatizo alafu yakigekia kwenu manaanza kulalama

Au visa vya uislamu kuchukiwa mfano Marekani na kwingineko havipo

Yani ukizingua hata wewe wanaruka nawe

Yani utake usitake ukiyaanzisha lazima yamalizwe

Na wala usikurupuke tu watu wamejiripua hapana zipo sababu na mnazijua ila mnajifanya hamnazo

Na vilevile wapo wenye visasi. Vyao hata wasio waislamu lakini humaliza visasi vyao kwa njia hiyo. Hivyo sio kila tukio la kujilipua lime tekelezwa na waislamu hapana

Najua una kichwa kigumu kuelewa lkn utaelewa tu

Kwa hivyo hao waislamu hujilipua masokoni na kufa na akina mama wanaouza mboga humo huwa wanasaka hati miliki ipi huko, mazombi aisei, ila bado haujanithibitishia kama hizi aya zipo kwenye kurani, nafanya utafiti....

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kwa hivyo hao waislamu hujilipua masokoni na kufa na akina mama wanaouza mboga humo huwa wanasaka hati miliki ipi huko, mazombi aisei, ila bado haujanithibitishia kama hizi aya zipo kwenye kurani, nafanya utafiti....

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Aya zilizo katwa hivyo kwenye quran tukufu hazipo

Unazidi kuonyesha ujuha manano
Yamekamilika na ukaambiwa si kila anaejilipua ni muislamu

Pili je hizo taabu wapatazo huko umagharibi wewe huzioni
Au ni haki zao kuzipata?

Kwa hivyo hizi hazipo, watu wamejitungia hazipo kabisa

Wanaojilipua wote waislamu, ndio maana nilitaka kujua ni uzombi upi unasababisha ujinga huo, ndio nikakumbana na hizi aya, naomba kujua kama kweli zipo kwenye kurani

Back
Top Bottom