Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
mkuu nitaipataje soft copy ya hiyo biblia ili na mimi niisome.Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...
..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
Tunaiamini kwa sababu iko sambamba na Quran ambacho ni kitabu kisichokuwa na kasoru. By nature crucifiction is a curse from God. Its logical hakuna mtume yoyote aliyeteswa na kidhalilishwa na watu wake na Mungu yupo anatazama tu wakati Mjumbe wake anamuoba amsaidie lakini yeye anamtazama tu. Hiyo makes no sense. Kwa hiyo by all means hicho kitabu ni authentic. No Doubt about it because it says the truth just like Quran. It is probable the true INJIL but you are denying it.Tunaenda huko baada ya kuijadili gredibility ya clip iliyoletwa hapa.
Liweke hilo kitabu pembeni kwanza. Turudi katika swali nililokuuliza. Usikimbie kujibu.Suala sio kupinga suala ni mkutadha gani wa andiko hilo.
Ila kweli maana sikuhizi wameanza kumuongelea hadi misikitini kwaoWanampenda ila ndo hivyo wanadiss kiaina....
watamelewa tuuu,,,,
Sauli alikuwa anawauwa mitume, kusema YESU alikufa , akafufuka.....
watakuwa hawa hadi nguruwe wanakula bhana, siku ikifika watamtangaza kama hiviii leo wanavyofanya....
Sitaki kuujua mapema.....Ila pepo niliyoahidiwa na Biblia majini hayatakuwepo maana yameesha andikiwa yao ni Moroni moja kwa mojaUsiseme hivyo kaka. Moto ni mbaya mno. Hauna maelezo. Unataka kujua baadhi ya mateso ya motoni?
Jotu, hata hivyo haibadilishi ujumbe. Ujumbe ni ule ule. Huwezi kumtolea fidia nduguyu hata kama tajiri. The concept is the same. You can not sacrifice for your brother.BigBros
Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.
Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
ROHO MTAKATIFU na YESU KRISTO ni vitu viwili Tofauti kaka......wewe nipe hiyo mistari najua ntaielewa tuKaka Bhachu, sipo hapa kushindana. Nipo katika kuwaelimisha. Najua Imani ni kitu kigumu kukiacha kwa umelelewa kwa kujazwa uongo maisha yako yote. Lakini lazima ufanye jitihada katika kujua ukweli. Usichukulie kila kitu ninachokuambia kuwa ni uongo. Ifanyie kazi information ninayo kupa.
Huyo Roho mtakatifu ni nani? Siyo Yesu mwenyewe? Mbona hiyo statement itakuwa haina maana kama ni yesu mwenyewe. Ilitakiwa hata isiwepo kwenye Biblia kama ndio hivyo because makes no sense.
Nitakutafutia hiyo ni hebrew lakini unaye mtu wavkukutafsiria??? Hao mapabdri wenu hawajui chochote. Hawana uwezo wa kukutafsiria. Mimi nitakupatia hiyo statement in Hebrew sasa ujaribu utafute maana ya kweli. Tazama usidanganywe tena.
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Hiyo bible yako ya wapi???hizo ni story tu watu wanaweka kuwa yesu alioa,na hata kama alioa na akazaa,still utukufu wake uko pale paleYesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...
..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
Hiyo bible yako ya wapi???hizo ni story tu watu wanaweka kuwa yesu alioa,na hata kama alioa na akazaa,still utukufu wake uko pale pale
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;BigBros
Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.
Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
umesema mwanahistiroa josephus hajawahi kumtaja Yesu wakati rekodi zinaonyesha josephus na mwanahistoria wa kirumi tacitus wamemwandika Yesu kwenye rekodi zaoupi mkuu ni vizuri ukawa specific.
utanimalizia bundle tu, maana unachouliza kiko nje na nilichojibu. umeelewa isivyo maana ume-focus kumtetea aliyekufa akafa kweli kweli hata kama ni kwa kujitoa ufahamu!!Ndugu kwa kweli umenifurahisha kweli. Unajua kupotea kwa kiasi hicho ulichonacho inaonyesha ni damage kiasi gani iliyokuwa kati imani na fikra zako.
Haya naomba nianze na maswali. Huenda ukanielewa.
Kwa hiyo ROHO mtakatifu ni Yesu kaja kuwaokoa Wakristo, au sio? Kama ndio hivyo inamaana hata wakristo wakifanya Dhambi kubwa kiasi gani wote wataenda peponi, au nimekuelewa sivyo??
Nijibu hiyo kwanza.
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;
Mathew 26: 38 - 39
38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.
“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]
Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.
Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;
A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).
B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).
C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).
D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).
E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).
F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.
G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).
No way would these verses be valid if Christ got crucified.
So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.

Mmmmmmmmh mkuuu biblia gani imetamka neno "christ" moja kwa moja kwenye Old testament....hebu nipe hiyo bibble........alafu pia nakukumbusha maswali yangu....naomba mistari ya bibble ya kiebrania iliyoandika jina "Ahmad".....alafu pia nmekujibu kuna YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFUYesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;
Mathew 26: 38 - 39
38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.
“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]
Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.
Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;
A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).
B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).
C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).
D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).
E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).
F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.
G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).
No way would these verses be valid if Christ got crucified.
So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
Unakimbia sana maswali we jamaa, au kila swali huwa unamshirikisha kwanza shehe wako hapo wa karibuYesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Ngonjera kibao Ila majibu hunaYesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;