1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...

..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
mkuu nitaipataje soft copy ya hiyo biblia ili na mimi niisome.
 
BigBros

Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.

Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
 
Tunaenda huko baada ya kuijadili gredibility ya clip iliyoletwa hapa.
Tunaiamini kwa sababu iko sambamba na Quran ambacho ni kitabu kisichokuwa na kasoru. By nature crucifiction is a curse from God. Its logical hakuna mtume yoyote aliyeteswa na kidhalilishwa na watu wake na Mungu yupo anatazama tu wakati Mjumbe wake anamuoba amsaidie lakini yeye anamtazama tu. Hiyo makes no sense. Kwa hiyo by all means hicho kitabu ni authentic. No Doubt about it because it says the truth just like Quran. It is probable the true INJIL but you are denying it.
 
Wanampenda ila ndo hivyo wanadiss kiaina....
watamelewa tuuu,,,,
Sauli alikuwa anawauwa mitume, kusema YESU alikufa , akafufuka.....
watakuwa hawa hadi nguruwe wanakula bhana, siku ikifika watamtangaza kama hiviii leo wanavyofanya....
Ila kweli maana sikuhizi wameanza kumuongelea hadi misikitini kwao
 
Usiseme hivyo kaka. Moto ni mbaya mno. Hauna maelezo. Unataka kujua baadhi ya mateso ya motoni?
Sitaki kuujua mapema.....Ila pepo niliyoahidiwa na Biblia majini hayatakuwepo maana yameesha andikiwa yao ni Moroni moja kwa moja
 
BigBros

Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.

Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
Jotu, hata hivyo haibadilishi ujumbe. Ujumbe ni ule ule. Huwezi kumtolea fidia nduguyu hata kama tajiri. The concept is the same. You can not sacrifice for your brother.

What about Deuteronomy 24:16??
 
Kaka Bhachu, sipo hapa kushindana. Nipo katika kuwaelimisha. Najua Imani ni kitu kigumu kukiacha kwa umelelewa kwa kujazwa uongo maisha yako yote. Lakini lazima ufanye jitihada katika kujua ukweli. Usichukulie kila kitu ninachokuambia kuwa ni uongo. Ifanyie kazi information ninayo kupa.

Huyo Roho mtakatifu ni nani? Siyo Yesu mwenyewe? Mbona hiyo statement itakuwa haina maana kama ni yesu mwenyewe. Ilitakiwa hata isiwepo kwenye Biblia kama ndio hivyo because makes no sense.

Nitakutafutia hiyo ni hebrew lakini unaye mtu wavkukutafsiria??? Hao mapabdri wenu hawajui chochote. Hawana uwezo wa kukutafsiria. Mimi nitakupatia hiyo statement in Hebrew sasa ujaribu utafute maana ya kweli. Tazama usidanganywe tena.
ROHO MTAKATIFU na YESU KRISTO ni vitu viwili Tofauti kaka......wewe nipe hiyo mistari najua ntaielewa tu
 
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.

Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??

Vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa ndani ya miaka 100 ya mwanzo cha kwanza kinasadikiwa kuwa ni Marko Kati ya 40-50 AD na cha mwisho ni Ufunuo wa Yohana AD 95-100
 
Wakati umewadia kuomba uongozi wa jF wanzishe jukwaa la mihadhara mchanganyiko. Wahadhiri waweze kuruhusuwa kuhutu wakati members wengine wa kiwasikiliza. Kama hili la Yesu kuto sulubiwa ni uongo mpana sana unao hitaji muhadhara mrefu kuutetea.

Wakati mnaendeleza huu muhadhara msisahau kutueleze hii biblia yenu inasema Yesu alikuwa wapi wakati Yuda ana sulubiwa? Maana tunajua Yesu alimtaja mpaka atakaye msaliti.

Sasa kwenye muhadhara huu msisahau kutuambia na kutuonesha sababu za Yuda kusulubiwa maana hii ndio original bible lazima iwe na original story ya Yuda kusulubiwa.

Na sema hivi maana tayari kuna HILA hapa jambo kuu la hii original bible ni kuwa Yesu hakusulubisha na hakufufuka. Tulitegeme tupate maneno ya hii biblia yanayo tuhakishia hilo.

Matokeo yake tunaletewa mistari ya kutoka Zaburi,Isaya, Kumbukumbu la Tourati n.k

Na washawasha!
 
Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...

..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
Hiyo bible yako ya wapi???hizo ni story tu watu wanaweka kuwa yesu alioa,na hata kama alioa na akazaa,still utukufu wake uko pale pale
 
Wakati BigBros na wenzako mkiendelea kutuelezea jinsi mambo yalivyo kuwa ya yuda kusulubiwa na sababu zake tunaomba mutuwekee mistari ya hiyo biblia na mimi kwa upande wangu nitakuwa na weka mistari ya Biblia Takatifu kuonesha mambo yaliyotokea tangu Yesu aliposulubiwa mpaka ana fufuka. Ili wanajF wapate fursa ya kupima ukweli kati ya original bible na Biblia Takatifu.

Na washawasha!
 
BigBros

Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.

Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Mathew 26: 38 - 39

38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.

39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.

Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).

No way would these verses be valid if Christ got crucified.

So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
 
upi mkuu ni vizuri ukawa specific.
umesema mwanahistiroa josephus hajawahi kumtaja Yesu wakati rekodi zinaonyesha josephus na mwanahistoria wa kirumi tacitus wamemwandika Yesu kwenye rekodi zao
 
Ndugu kwa kweli umenifurahisha kweli. Unajua kupotea kwa kiasi hicho ulichonacho inaonyesha ni damage kiasi gani iliyokuwa kati imani na fikra zako.

Haya naomba nianze na maswali. Huenda ukanielewa.

Kwa hiyo ROHO mtakatifu ni Yesu kaja kuwaokoa Wakristo, au sio? Kama ndio hivyo inamaana hata wakristo wakifanya Dhambi kubwa kiasi gani wote wataenda peponi, au nimekuelewa sivyo??

Nijibu hiyo kwanza.
utanimalizia bundle tu, maana unachouliza kiko nje na nilichojibu. umeelewa isivyo maana ume-focus kumtetea aliyekufa akafa kweli kweli hata kama ni kwa kujitoa ufahamu!!
RUDIA KUSOMA BIBLIA MISTARI NILIYOANDIKA HAPO JUU, KWA UELEWA ZAIDI ila kama unamtetea aliyekufa akafa kweli kweli unapoteza na unanipotezea au tunapotezeana muda tu.
SIYO RAHISI SANA KUTETEA UUNGU WA HUYO MTU WAKO ILA KWAKUWA NI DINI UNAIAMINI HIVYO ENDELEA HIVYO ILA YESU KRISTO ANAPENDA HATA WEWE UOKOLEWE UACHE KUABUDU MASHETWAINI(Ndiyo majini sasa) njoo utakaswe kwa damu ya YESU na usamehewe dhambi zako.
RUDIA KUSOMA BIBLIA USISOME VIFUNGU VYA MWALIMU WA MADRASA TU ALIVYOANDAA KUKUDANGANYIA....
 
Ya nini kuhangaika na Biblia iliyo chakachuliwa wakati una mpaka video ya original komedi/sorry bible. Nukuu mistari ya hii biblia yako ya kweli. Au basi onesha mstari wa original bible ulikuwa huu hapa na ukachakachuliwa ukawa hivi. Hebu nitafasirie sababu za hawa waturuki kutokuwaruhusu Roma kuichunguza hiyo original bible? Si unajua sielewe mwenzako.

Na washawasha!

Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Mathew 26: 38 - 39

38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.

39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.

Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).

No way would these verses be valid if Christ got crucified.

So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Mathew 26: 38 - 39

38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.

39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.

Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).

No way would these verses be valid if Christ got crucified.

So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
 
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Mathew 26: 38 - 39

38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.

39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.

Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).

No way would these verses be valid if Christ got crucified.

So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
Mmmmmmmmh mkuuu biblia gani imetamka neno "christ" moja kwa moja kwenye Old testament....hebu nipe hiyo bibble........alafu pia nakukumbusha maswali yangu....naomba mistari ya bibble ya kiebrania iliyoandika jina "Ahmad".....alafu pia nmekujibu kuna YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU
 
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;

Mathew 26: 38 - 39

38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.

39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.

Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).

No way would these verses be valid if Christ got crucified.

So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.
Unakimbia sana maswali we jamaa, au kila swali huwa unamshirikisha kwanza shehe wako hapo wa karibu
 
Ngonjera kibao Ila majibu huna
 
Back
Top Bottom