BigBros
Nakuletea sasa ukweli wa mistari unayodhani wewe kuwa inapinga kifo cha Yesu. Mistari hiyo haisemi chochote kuhusu Yesu. Lazima usome context.
Context ya Zaburi 49:7-12 ni mistari ya 1-6. Mistari hii inazungumzia upubavu wa watu wanaotegemea mali kama kinga yao. Kila kitu katika mistari hii lazima kutafsitiwa kwa mktadha huu.
Yesu aliomba sana kabwa hajasulubiwa;
Mathew 26: 38 - 39
38 Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Luke 22: 44
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.
“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]
Luke 4: 10 - 11
10 kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde; 11 na ya kwamba, Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Yesu asema hapo Mungu ni muweza wa kila kitu. Na aliomba sana Dua Mungu amuokoe na Mungu naye alimpaisha.
Sasa pia tutazame Plsams 91. Pia yazungumzia Crucifiction. Na yaonyesha kuwa Mungu alimpaisha Yesu kabla ya kuguswa na yesu akashuhudia mtubmwengine badala yake kusulubiwa. Tazama mtiririko wa statements hapo chini;
A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).
B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).
C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).
D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).
E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).
F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.
G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13).
No way would these verses be valid if Christ got crucified.
So in Short according to your Bible Jesus was never Crucified. Crucifiction ni Uzushi tu. Ndio maana tunaiamini hiyo Ancient Bible.