1500 years Old Bible found in Turkey

Sasa hapo ndipo munavyojichanganya. Kwahiyo hiyo Kusulubiwa kwa Yesu munayoilazimisha Sio ADHABU??? Ilikuwa nini kama Sio Adhabu?? Watu gani walikuwa wakiadhibishwa kwa Crucifiction?? Watu ambayo wanelaaniwa na Mungu. Hiyo Kusulubiwa ni ADHABU.

Nini maana ya Mitihani. Mungu anawapa challenge(Mitihani) binaadamu wote. Hata kama ni Mtume lakini kwa kuwa ni Binaadamu basi hatakuwa exception juu ya challenges atakazo pewa na Mungu.

Hata wewe na Mimi tuna challenges nyingi ambazo Mungu anatupa in our everyday life. Kwa kuwa huna imani ya kweli ni vigumu kuelewa hivi vitu. Huko kanisani hamufundishwi chochote kuhusu imani. Munafundishwa kumuomba Mungu kwa mambo ya Dunia tu.
 
ROHO MTAKATIFU ni ROHO na sio nyama ya mwili yaani ipo kwenye Ulimwengu wa kiroho
Inamaana Yesu aliposema Bila ya Yeye kuondoka huyo ROHO mtakatifu hatokuja alikuwa anamaanisha nini??
 
Hahahahahahaha wewe utanipa habari za Issa wenu wa Quran ambae hata simtambui
Sema tu sijui. Issa ni Mtume wetu mpendwa. Nyinyi munamdhalilisha kwa kutokuwa na uwezo wa kuelewa. Unajua kuwa Yesu akizungumza akiwa mtoto Mchanga?? Hiyo Bible haikuandikwa.
 
Very Interesting. It Could be Barabbas who was Crucified instead of Jesus son of Mary. The Christians are made to believe vice versa.
 
Sio mimi sielewi, ni wewe mwenyewe huelewi kwa hiyo hujui uielezee vipi.

Ni kweli kuna ndugu yangu mmoja sliuliza hapa, hebu twambie kwanza mna roho watakatifu wa aina ngapi,maana roho mtakatifu alikuwa akishuka mara kwa mara kwa mjibu wa bible,hata siku yesu wanambatiza alishuka.

sasa huyu ROHO wa kweli asingeweza kuja wakati yesu yupo,yesu mwenyewe alisema "yanipasa niondoke maana nisipoondoka huyo roho wa kweli hawezi kuja"

so tunapata kumbe roho wa kweli hangeweza kuja wakati bado yesu akiwepo duniani,sasa huyo roho mtakatifu akishuka kila mara kipindi cha yesu ni yupi na huyu ROHO wa kweli ni yupi?,

pili,huyo roho ATAWAFUNDISHA NA KUWAMBIA YOTE,ambayo yesu hakuwambia,

sasa hebu tuonyeshe huyo ROHO mtakatifu aliyeshuka kwa wanafunzi wa yesu siku ya pentacoste aliwafundisha yote yapi na kuwaeleza yote yapi hayo?,
ina maana hapa alikuwa anaongelewa mtu na si viginevyo. Tafakari ukweli.
 
Duh!!! Agano la kale ni sehemu ya Biblia na ni maandiko ya kabla ya kuja Kristo (BC). Je, unatuambiaje katika hili?

Nauona mkanganyiko katika hili jambo.
Waislamu hatupingi agano la kale. Kwani mafundisho yake yako sambamba kabisa na Uislamu. Shida ni agano jipya. Ambayo ndiyo tunaiita INJIL, kitabu cha Yesu. Mkorogano wote upo hapo.
 
Jesus Son of Mary ni Mtume wetu mpendwa tena Saaana. Na tunamuamini 100%. Tusipomuamini Jesus sisi Uislamu wetu haupo. Ndio maana tunatetea haki zake na maneno yake ya Kweli ni sawa na mitume yote iliyopita.

Hivi hamujawahi kujiuliza iweje Mtume Muhammed(Rehma na amani zimfikie) kuwa mtu ambaye alikuwa kabla ya utume wake hakusoma na hajui hata kuandika, itokee aje na Quran ambayo inaelezea history ya Dunia pamoja na mitume yake maarufu akiwemo Yesu na pia kuzungumzia Akhera kwa kina kirefu. Na mtiririko wa Quran umeandikwa kwa ufundi wa Hali ya juu ambapo binaadamu yoyote hakuna aliyetokea kuichallenge Quran au kuandika hata ukurasa mmoja unaofanana na Quran. Na amekamilisha hiyo mission aliyotumwa ni 23yrs Only. Na alipotoa hutuba yake ya mwisho kusema kuwa nimewakamilishia Dini ya Mwenyezi Mungu, swahaba wake wa karibu alilia sana na wenzake walimuuliza ni kwanini unalia? Akasema kama mtume amekamilisha kazi aliyotumwa na Mola basi hatokuwa na sababu ya kuishi duniani. Na ni kweli haikuchukua muda mrefu Mtume amefariki. Muhammed(rehma na amani zimfikie) ni mtume pekee aliyekamilisha kazi yake kikamilifu and Successfully. He is currently ranked as the most influencial person in the history of the world. And now ISLAM is the fastest growing religion in the world regardless na vita vikubwa inavyopigwa na mayahudi.

Huoni kama huyu mtu alikuwa anapokea Devine inspiration from God otherwise asingeweza kuyajua haya yote kwa sababu alikuwa hana elimu yoyote.
 
Inamaana Yesu aliposema Bila ya Yeye kuondoka huyo ROHO mtakatifu hatokuja alikuwa anamaanisha nini??
Alikua anamaanisha ni lazima yeye akiondoka atuachie msaidizi wa kutongoza kiroho kwenye ulimwengu wa kiroho ambaye ndo ROHO MTAKATIFU
 
Sema tu sijui. Issa ni Mtume wetu mpendwa. Nyinyi munamdhalilisha kwa kutokuwa na uwezo wa kuelewa. Unajua kuwa Yesu akizungumza akiwa mtoto Mchanga?? Hiyo Bible haikuandikwa.
Na ni kweli hujui bora umekili.....yeah issa ni mtume wenu ingawaje mnakomaa kulazimisha afanane na YESU KRISTO.........YESU alizungumza akiwa mchanga??? Hebu nipe hiyo reference ya bibble maana nakuona ni muislamu mzuri sana unaeisoma biblia
 
Na ni kweli hujui bora umekili.....yeah issa ni mtume wenu ingawaje mnakomaa kulazimisha afanane na YESU KRISTO.........YESU alizungumza akiwa mchanga??? Hebu nipe hiyo reference ya bibble maana nakuona ni muislamu mzuri sana unaeisoma biblia
Inabidi usoma statement yangu vizuri. Nimekwambia kuwa Biblia yenu haikuzungumzia hilo. Sasa unaniambia niku reference kwenye Biblia kivipi?? Sema Nikupe reference kwenye Quran.
 
Alikua anamaanisha ni lazima yeye akiondoka atuachie msaidizi wa kutongoza kiroho kwenye ulimwengu wa kiroho ambaye ndo ROHO MTAKATIFU
Sasa hebu twambie kwanza mna roho watakatifu wa aina ngapi,maana roho mtakatifu alikuwa akishuka mara kwa mara kwa mjibu wa bible,hata siku yesu wanambatiza alishuka.

sasa huyu ROHO wa kweli asingeweza kuja wakati yesu yupo,yesu mwenyewe alisema "yanipasa niondoke maana nisipoondoka huyo roho wa kweli hawezi kuja"

so tunapata kumbe roho wa kweli hangeweza kuja wakati bado yesu akiwepo duniani,sasa huyo roho mtakatifu akishuka kila mara kipindi cha yesu ni yupi na huyu ROHO wa kweli ni yupi?,

Unaona Biblia na nyinyi wenye munavyo jikoroga hapo. Nipe jibu la hilo.
 
Inabidi usoma statement yangu vizuri. Nimekwambia kuwa Biblia yenu haikuzungumzia hilo. Sasa unaniambia niku reference kwenye Biblia kivipi?? Sema Nikupe reference kwenye Quran.
Kwenye Quran si mmetohoa kutoka kwenye biblia alafu mkamvisha huyo jamaa yenu Issa uhusika wa YESU KRISTO.......sasa skia mkuu YESU atakuja siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu na kila jicho litamwona
 
Nani asiyejua kuwa JKN ndie aliyepigania uhuru? Na kama wakiibuka na kusema kuwa vinara wa ukombozi ni akina Abdulwahid Sykes, John Rupia, Chief Abdallah fundikila nawengineo pamoja na wale wazee wa Tabora na si JKN pekee kama ilivyoandikwa....... JE WATAKUWA HAWAPO SIHIHI?
 
Anhaaa kumbe shida ni hapo tu, ROHO MTAKATIFU ni moja na ni kweli alishuka kipindi YESU yupo ili kuudhihirishia ulimwengu kua ni yule alotumwa duniani kuokoa ulimwengu.....sasa kipindi YESU anapaa ROHO MTAKATIFU akashuka ili atuongoze tulio wafuasi wa YESU katika ulimwengu wa kiroho.
 
Sasa tuingie katika Maoni yako.
Kwenye page 31 ref [HASHTAG]#309[/HASHTAG] nimekuelezea maswali yako yote na its CLEAR without doubt Hakuna Contradiction yoyote kwenye Quran. Kwahivyo maoni yako sio VALID kulinganisha Quran na Bible katika contradiction.

Jambo la Pili ukizingatia Sisi waislamu hatupinga Agano la kale. Mbona tunakubaliana nalo? Iweje tupige agano Jipya tu? Hilo ni swali la wewe kujiuliza.

Agano Jipya ndio foundation ya Christianity. Ipo kinyume kabisa na mafundisho ya Agano la kale na mafundisho ya Islam.
Agano Jipya inazungumzia TRINITY, na hapo hapo inajipinga. Inazungumzia kusulubiwa kwa Yesu na hapo hapo inajipinga. Katika thread hii tumezungumzia vipengele vingi vya contradiction katika the very basic foundation of Christian FAITH. Hiyo ni DOUBT kubwa katika Imani ya Christian.

On the other Hand Quran is pure and authentic. Hakuna msomi au mtu wa aina yoyote anaweza kuja na dosari ndani ya Quran. Mungu amekuruhusu uichallenge Quran na utafute ukweli.
 
Nakupa siri sasa, wakristo hatujichanganyi kwasababu tunatumia kitabu kimoja tu ambacho ni Biblia......nyie waislamu ndo mnajichanganya maana mnaichukua mistari ya biblia alafu mnaforce ilingane na Quran, mkiona hailingani mnakuja na kauli zisizo eleweka.......Mimi nakushauri mkuu Just stick to either Quran au BIble full stop
 
Kwenye Quran si mmetohoa kutoka kwenye biblia alafu mkamvisha huyo jamaa yenu Issa uhusika wa YESU KRISTO.......sasa skia mkuu YESU atakuja siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu na kila jicho litamwona
Kaka Yesu hatahukumu mtu yeyote yule. Hiyo sio kazi yake na wala sio sababu wa ujio wake. Ndio maana nimekwambia hujui sababu ya ujio wa Yesu.

Quran ina information zaidi kuhusu Bible yenu, Quran imekuja na mfumo wa Mungu Mmoja na HANA Mshirika wake, HANA mtoto wa kuzaa na Wala HAJAZALIWA. Mbona Biblia yenu iko completely opposite na hayo. Sasa Quran imeiga nini kutoka Biblia wakati ziko tofauti kabisa kiimani?

Mbona unazungumza vitu usivyo vielewa??
 
Enzi za miaka ya 1990s kulikuwa kuna mtoto anaitwa Sharifu hapa Tz nadhani alikuwa 5yrs or below alikuwa amehifadhi Msahafu wote. Na akipelekwa kwenye mihadhara. Naomba uchukue tahadhari unapozungumzia suala la devine power.

Au hujasikia manabii wa x-pel, na miujiza yao ya nguvu kweli kweli. Uzuri wa Biblia Yesu katufundisha njia rahisi ya kuwa ngamua. Njia hii ni matendo yao. Wewe ukiona Nabii/Mtume jua matendo yake na kuyatafakari.

Mfano Ibrahim ni maarufu kuwa Baba wa Iman sasa soma mambo yake kwenye hivi vitabu vitakatifu. Biblia inatufundisha jinsi alivyo kutana na Mungu, wakati mwingine na malaika. Sijawahi sikia au kusoma kuwa aliletewa ujumbe kutoka kwa Mungu kupitia jini/majini.

Ni hilo tu basi.


Na washawasha!

 
Hebu elewa swali vizuri kabla hujakimbilia kujibu. Kwa Mujibu wa Biblia ROHO mtakatifu alishuka mara kwa mara,hata siku yesu wanambatiza nae alishuka.

Sasa kama unasema alishuka wakati YESU yupo nae basi kulikuwa na maana gani YESU kusema "YANIPASA NIONDOKE MAANA NISIPOONDOKA HUYO ROHO WA KWELI HAWEZI KUJA". Huoni kuwa kauli zinagongana hapa???

Kumbe roho wa kweli hangeweza kuja wakati bado yesu akiwepo duniani,sasa huyo roho mtakatifu akishuka kila mara kipindi cha yesu ni yupi na huyu ROHO wa kweli ni yupi????

Hujajibu SWALI.

pili,huyo roho ATAWAFUNDISHA NA KUWAMBIA YOTE,ambayo yesu hakuwambia,

sasa hebu tuonyeshe huyo ROHO mtakatifu aliyeshuka kwa wanafunzi wa yesu siku ya pentacoste aliwafundisha yote yapi na kuwaeleza yote yapi hayo?

Kaka, huna majibu hapo. Haya maswali Wameshindwa kujibu Mapadri wa kubwa matokeo wameukubali ukweli na Kusilimu tu. Au nikutumie video Links za Ahmed Deedat ujionee mwenyewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…