1500 years Old Bible found in Turkey

Ushawahi sikia mtoto wa miaka 5, 10 au mtu Mzima ambaye ni Mkiristo amehifadhi Biblia?? Kama umewahi sikia nitumie reference na kama hujawahi sikia basi tafakari vizuri. Iweje ni Waislamu tu watokee na Vipaji vya kuhifadhi Quran yote na hata Bible??
 
Reference zote ninazo kupatia ni BIBLE to BIBLE. hakuna hata reference moja ya BIBLE to QURAN. Mbona hauna Logic?
 
Kama huna jibu. Sema sina jibu. Hapana kubabaisha.
 
Ushawahi sikia mtoto wa miaka 5, 10 au mtu Mzima ambaye ni Mkiristo amehifadhi Biblia?? Kama umewahi sikia nitumie reference na kama hujawahi sikia basi tafakari vizuri. Iweje ni Waislamu tu watokee na Vipaji vya kuhifadhi Quran yote na hata Bible??

Kwa kweli Mkristo aliye hifadhi Biblia kwa uweza wa Majini sijamsikia labda wewe mwenzangu umeshawahi msikia pahala? Maana sifa mojawapo ya huyu Sharifu nilie muelezea hapa ni kuwa na majini 1000 kama sijakosea. Na watu enzi hizo wakisema kwamba pengine ni mtoto wa jini.

Vilevile kama hutojali hebu tupe darsa kuhusu hawa viumbe wa Mola majini wana nafasi gani katika Uislamu?

Na washawasha!
 
Nilijua tu, hapo umeongea mawazo ya quran yako.....alafu waislamu nawashangaa sana YESU kuwa mwana wa Mungu haimaanishi alizaliwa na MUNGU kama nyie mnavyofikilia, kuwa MWANA WA MUNGU hiko ni cheo alichopewa tu.....alafu mbona hata nyinyi allah wenu mnamwita mola mlezi??? Hii imekaaje
 
Ukisoma matendo ya mitume utaiona kazi ya huyu ROHO MTAKATIFU......Wewe jamaa mbona huelewi nmesema ROHO MTAKATIFU alishushwa kutuongoza kwenye ulimwengu wa kiroho.....YESU alivyokua duniani alikua anatufundisha kutokana uwepo wake kimwili duniani, sasa alipoondoka ndo akashuka rasmi ROHO MTAKATIFU ambae mpaka leo ndo anatuongoza wakristo katika ulimwengu wa kiroho, maombi nk.......alafu hao wanaosilimu mm sishangai maana YESU alishatuambia njia ya Uzimani inaonekana kwa wachache lakini ya upotevuni ni wengi.....hata mm nilikua muislamu Ila nikabadili dini baada ya kuujua ukweli wa YESU KRISTO
 
Reference zote ninazo kupatia ni BIBLE to BIBLE. hakuna hata reference moja ya BIBLE to QURAN. Mbona hauna Logic?
Logic is simple unasoma biblia sio kwa kulijua Neno bali kwa kuangalia kitu unacho kiita udhaifu kwenye biblia, ambapo siwezi kushangaa maana wewe ni MTU wa Imani tofauti......hata mm nikianza kuisoma Quran ntakuletea hapa mikanganyiko kibao tu
 
Kama huna jibu. Sema sina jibu. Hapana kubabaisha.
Siwezi babaika kwenye vitu navyovielewa.....Ila mm nashukuru waislamu mnaisoma na biblia maana mtatusaidia kutangaza injili kwa waumini wenu...........kuna kitu nilikua najiuliza, Yesu alisema mwisho hautakuja hadi injili ienee ulimwenguni Ila nlikua napata ugumu kwa nchi za kiislamu injili itaenea vipi, kumbe mmeanza kuhubiriana wenyewe kwa wenyewe huko misikitini
 
Quran ni ile ile tokea wakati wa Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) hadi hivi leo. Neno kwa neno. Kitabu ni hicho hicho kimoja. Sikiliza hiyo link ya BBC


Maneno ya Mungu hayabadiliki. Lazima mutafakari na muulize maswali wahubiri wenu.
Porojo tu
 
Hahahaha hahahahahahaha alafu huo mstari mmeukomalia kweli waislamu, mkaamua mtoe neno ROHO MTAKATIFU kisha mkapachika neno ahmad, hivi kwanini mna force vitu yaani mnalazimisha Imani yenu ya majini iwe pamoja na Imani isiyoamini hivyo vitu........hivi huyo muhammad ana roho gani ya ukweli aya kabaka katoto kadogo masikini daaaah, alikua anagonga wafungwa wake daaaah yani sema tu imani imekutia upofu we jamaa
 
Tumeona shetani akijaribu kuhujumu kila mpango wa Mungu kwa mwanadamu. Kule eden tuliona alivyo waingiza mkenge Adam na mkewe Hawa.

Sasa tujiulize huu mpango wa Mungu kumuokoa mwanadamu kupitia yeye Mungu kuja duniani kama Yesu ili amuokoe mwanadamu kwa kuzichukua dhambi zake kwa kutundikwa na kufa pale msalabani. Ili kila mwanadamu atakaye muamini na kuokoka asipotee, bali aokolewe na kuupata uzima wa milele.

Sasa tujiulize upi ni mpango wa shetani kuhusu kumzuia mwanadamu asiweze kuipata neema ya wokovu?. Hebu jaribu kutafakari, nini MPANGO WA SHETANi??? Definitely hii original bible ni moja wapo kati ya mipango mingi ya shetani.

Lakini tuendelee kujiuliza wakina nani wametoka na kuitangaza hii original bible? Je umezingatia sababu zao walizotoa kukataa kuitoa pale walipotakiwa kuitoa ichunguzwe uhalali wake?

Na washawasha!
 
Quran ni ile ile tokea wakati wa Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) hadi hivi leo. Neno kwa neno. Kitabu ni hicho hicho kimoja. Sikiliza hiyo link ya BBC


Maneno ya Mungu hayabadiliki. Lazima mutafakari na muulize maswali wahubiri wenu.
Uislamu au ukristo hauna msaada wowote kwa mwanadamu. Kujitambua hasa upo hapa duniani ili iweje?
Mungu ni mwema. Mwenye uweza na nguvu, haonekani lakini yupo.
 
Hiyo kauli ni ya mtu mwenye uchache wa Elimu. Baada ya kukosa majibu anakimbilia kutafuta kashfa za kitoto. Hao majini basi ni wazuri, manake mamilioni ya waislamu wamehifadhi Quran na Biblia kwa pamoja. Hao majini wanaotupa Elimu ya Mungu wetu wa kweli ni Majini wazuri.

Nyinyi ndio munao hao Mashetani wa kweli munaowapandisha kwa pesa huko kanisani kwenu wanapokuwa hao waokozi wenu Feki.
 
Ili wema uwepo uovu hauna budi kuwepo mkuu. Usingeujua mchana kama usiku usingekuwako.
All things came from nothing, and finally they will return into nothing.
But don't try to make that nothing into something, you will miss it all.
 
Naona kampa kampa tena kama kawa.

Na washawasha!
Ni vizuri uwe kimya kama walivyokuwa Mapabdri wenu. Nyinyi Biblia munaibeba kama mzigo tu lakini hamuisomi wala hamuijui. Tafakari kaka, Dooms day is approaching. Jesus won't save you and no one can.
 
Hicho ndicho nilichotaka kujua kuhusu majini.
Asante.

Na washawasha!


 
Mungu anekulea wewe na babu zako toka uzaliwe mpaka kufa kwako. Sasa unataka asipewe sifa yake??
 
Bibilia zipo nyingi mno. Biblia ya kikatoliki ni tofauti kabisa na bibilia za kilokole, hata idadi ya vitabu ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…