Hebu elewa swali vizuri kabla hujakimbilia kujibu. Kwa Mujibu wa Biblia ROHO mtakatifu alishuka mara kwa mara,hata siku yesu wanambatiza nae alishuka.
Sasa kama unasema alishuka wakati YESU yupo nae basi kulikuwa na maana gani YESU kusema "YANIPASA NIONDOKE MAANA NISIPOONDOKA HUYO ROHO WA KWELI HAWEZI KUJA". Huoni kuwa kauli zinagongana hapa???
Kumbe roho wa kweli hangeweza kuja wakati bado yesu akiwepo duniani,sasa huyo roho mtakatifu akishuka kila mara kipindi cha yesu ni yupi na huyu ROHO wa kweli ni yupi????
Hujajibu SWALI.
pili,huyo roho ATAWAFUNDISHA NA KUWAMBIA YOTE,ambayo yesu hakuwambia,
sasa hebu tuonyeshe huyo ROHO mtakatifu aliyeshuka kwa wanafunzi wa yesu siku ya pentacoste aliwafundisha yote yapi na kuwaeleza yote yapi hayo?
Kaka, huna majibu hapo. Haya maswali Wameshindwa kujibu Mapadri wa kubwa matokeo wameukubali ukweli na Kusilimu tu. Au nikutumie video Links za Ahmed Deedat ujionee mwenyewe??