1500 years Old Bible found in Turkey

Mkuu yaani mimi Niko radhi niishie motoni lakini sio kua mbele ya allah wenu, muhammad wenu, majini yenu na issa wenu, yaaani hilo naomba ni kili mbele yako na hata mwisho wa dunia uwe shahidi
 
Wanaujua ukweli.. It doesn't take a rocket scientist to figure it out..
 
Hiyo Bible waturuki wamekataa kuiweka hadharani ili wachunguzi huru waifanyie utafiti. Infact hiyo Bible ni uongo wa Waturuki ili kubust dhana iliyoko kwenye Quran kua Yesu hakusulubiwa. Na mimi hainishangazi kwakua Uongo kwao wasio katika Kristo umeruhusiwa iwapo unalengola kubeba imani yao. Wanacho kifanya Uturuki ni Al taqiya.
 
Malizia kabisa kwa kusema kua Muhamady ndie mtume pekee aliye tumia upanga kulazimisha wtu wamuamini na ndie mtume pekee aliyekana na kusema vitabu vyoote vilivyo mtangulia vime chakachuliwa. Kabla ya hapo hakuna Nabii yeyote aliye tumia hiyo mbinu ya kijinga. Na pia ndie Nabii pekee aliye halalisha uongo iwapo utasaidia kueneza dini yake (Al taqiya) Na ndio Mtume pekee aliye oa katoto ka miaka 6 na kukibaka kikiwa na miaka 9. Bila kusahau kua ndio mtume pekee aliyekua akifanya miujiza akiwa pekeyake, he was so private. Alienda Mbinguni kwa punda wa upepo shahidi ni yeye na Punda, aligawanya Mwezi shahidi ni yeye na Mwezi. Qwi Qwi Qwi you need to be a total fool to trust a Terrorist and take him as a prophet.
 
Mkuu yaani mimi Niko radhi niishie motoni lakini sio kua mbele ya allah wenu, muhammad wenu, majini yenu na issa wenu, yaaani hilo naomba ni kili mbele yako na hata mwisho wa dunia uwe shahidi
Na mimi pia nipo tayari Kwenda Motoni kuliko kumuamini jamaa ambae ni Mbakaji na addict wa Ngono aliye ahidi Mbingu iliyojaa Ngono na Pombe. Can you imagine kwamba mbingu itakua na mito ya Pombe kwa hiyo kuna mito ya bia, mito ya whisky, Vodka, grapes wine, mbege, Chimpum, Gongo nk.
 
Maliza kuandika aya nzima mkuu then tuje tuangalie muktadha wake. huwezi toa hukumu kwa mistari mitatu kwenye aya moja yenye mistari zaidi ya 100.
 
Ni wazi kuwa wanaogopa kuuliza maswali IMANI yao. Hawatakiwi kuogopa, kwani ni bora wajue ukweli wakati bado wapo hai kushinda kufa na itikadi potofu kwani hasara ni kubwa mno.
hasara itaibeba nani mkuu, usiwaonee huruma wasio jihurumia.
 
Condition ni kutubu dhambi zako na kusamehewa, kama wewe tayari ni mkristo.
Ila kaka unanishangaza wewe mwenye ilimu kubwa na nyinyi ya nini kuhangaika na mimi mwenye elimu chache na ya hapa na pale?
kwa nini upotenze muda wako bure kwa mtu wa aina yangu? Hii ni ajabu unajibu posts za mtu wa elimu chache!!!

Na washawasha!



Kaka kwa kweli umenichekesha. Sasa kabla hatujaenda kwa huyo shetani unayemsema wewe. Hivi kwa maelezo uliyoyatoa, nyinyi Wakristo wote hata kama mukifanya madhambi munaenda peponi na hamuna madhambi??? Au Sivyo ulivyosema??
 
Kwa uposema hivyo unamaanisha kuna Mtume aliyeletewa ujumbe wa Mungu kwa kupitia Jini au shetani??
 
Kwa uposema hivyo unamaanisha kuna Mtume aliyeletewa ujumbe wa Mungu kwa kupitia Jini au shetani??

Wewe wa sema. Mimi nilitaka kukutahadharisha tu kuwa kuna hata wakati watumia majini wana huo uwezo. Ndipo nikatoa mfano wa sharifu niolopata kuusikia. Tafadhali usiniwekee maneno sijataja mtume yeyote hapa! Narudia tafadhali sana. Wala sipo hapa kwa ajili ya kukashifu imani ya mtu yeyote maana na jua Mungu katupa akili sisi si hayawani tuna akili na hiyari ya kuchagua tuna chotaka/penda kukiamini? Na usinge leta hii topic hapa yenye huu upotoshaji wa Biblia usinge ni sikia nikiandika haya uliyo nilazimisha niya andike.

Ni wewe kujipia hasara na faida ulizo zipata wewe binafsi na kwa dini yako kwa kuleta hii topic.


Na washawasha!
 
Mzazi wetu ni Adam.
 
Anatufundisha vitu vingi sana kwa mtu mwenye Imani thabiti, tunapewa maono, anatuongoza kuitafsiri biblia maana kuna mistari mingine Yesu aliongea bila ya kuitafsiri, yaani in short ni vitu vingi sana mkuu tunaongozwa kwenye ulimwengu wa kiroho
Kaka, huna jibu. Its as simple as that.
 
Kaka Biblia sio kitabu cha Mungu. Nakufahamisha Muda wote huelewi.

TORAH kimeletwa na Moses
ZABUR imeketwa na David
INJIL imeletwa na Jesus
QURAN imeletwa na Muhammed.

BIBLE imeletwa na NANI??????

Sasa huyo aliyeleta BIBLE ndiyo Mungu wenu.
 
Hahahahahahaha we jamaa una matatizo sana, unakurupuka kabla ya kuhoji Hapo ninaongelea Injili ya biblia....hiyo injili yenu ya kuitungia mapangoni na issa wenu mimi siitambui
Hakuna kitu kama INJIL ya Biblia. INJIL ni INJIL tu. Ni kitabu kinachojitegemea.

Ulichokisema ni upuuzi kabisa. Chukua Engine ya 1Hz inafungwa kwenye Toyota Landcruiser, Prado, Hardtop etc. Sasa unapoenda kununua spare dukani za Engine hawakuulizi gari gani, wanakuuliza Engine gani. Ukisema 1Hz basi unapewa spare haijalishi ni gari gani. Kwahiyo Engine ya 1Hz ni moja tu. Ukizungumza unaeleweka. Hivyo nayo INJIL ni moja tu. Hakuna cha INJIL ya Biblia.
 
Mkuu yaani mimi Niko radhi niishie motoni lakini sio kua mbele ya allah wenu, muhammad wenu, majini yenu na issa wenu, yaaani hilo naomba ni kili mbele yako na hata mwisho wa dunia uwe shahidi
Sawa tu. 'We are are just warners', maamuzi ni ya kwako. Ujumbe umekufikia lakini umeukana.
 
huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,

hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka
 
Muhimu kuwa habari hiyo imekufikia. Sasa kufuatilia au kuidharau ni uamuzi wa kwako. Kwani faida au hasara pia ni ya kwako. Sisi tunawazindua tu, na huo ndio wajib wetu. Lakini zaidi ya hapo ni wewe mwenyewe.
 
kwahiyo mkuu unataka kutuambia huyo roho mtakatifu alishahama mbinguni na kaweka makao duniani baada ya pentecoste?,

mimi nijuavyo roho mtakatifu alikuwa akishuka mda wowote kwa mjibu wa bible na hakupaswa kuitwa MSAIDIZI AMA ROHO WA KWELI,

Kkila logic hapa inaonyesha msaidizi na roho wa kweli hawezi kuwa roho mtakatifu yule wa kwenye utatu.unless labda muwe mmefikisha miungu 4.
Roho wa kweli anaesemwa sio roho mtakatifu.
 
mkuu unakubali kuwa yesu na barabba ni mtu yuliyule mmoja kwa mjibu wa maandiko ya bibilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…