1500 years Old Bible found in Turkey

The Bible hakuna sehemu iliyomtaja Muhammad, comforter does not mean Muhammad, kuwa ndiye atakaye kuwa mbadala wa Yesu, Yesu siku ziote yupo na hana mbadala kwa maana uifikiriayo. sisi wakristu tunaiamini Biblia iliyopo, ambayo haimtambui Muhammad,
Hii biblia mnayoileta ni namna na kutuaminisha kuwa Muhammad ndiye aliyekuwa anangojewa na hivyo tumfuate, kitu ambacho siyo cha kweli.
 
Kwanza ukirejea form one, biology ulidefine vipi? Sisi kwetu tulisema kuwa biology is a study of MAN and his enviroment. Sasa hapo unamaanisha kwamba biology ina jinsia ya kiume?
Kwenye history binadamu amekua referred as MAN, umiliki ulimzungumzia HE/HIS, sasa je jinsia ya KE haikuwepo?Hiyo inakuonyesha kuwa in biblical aspects hiyo He/His imeonesha possessive na hakuna jinsia iliyomaanishwa hapo.

Pia Yesu alisema atakuja msaidizi kwetu baada ya yeye kuondoka, na msaidizi huyo si mwingine ila ni ROHO MTAKATIFU ambaye hata sasa bado yupo nasi akitusaidia kuishi itupasavyo.
Alizungumziwa msaidizi ambaye atalast vizazi hata vizazi, je huyo unayemzungumzia si alikufa? Je na yeye aliacha msaidizi wa kukaa badala yake? MSAIDIZI ALIYEMAANISHWA KAMWE HAKUWA MWANADAMU.

Katika imani ya kikristo kwa ujumla wake(ingawa kuna mapokeo tofauti tofauti) nimeona na kuamini bayana kuwa ni ya kweli. Biblia haijipingi, na hata uchambuaji wake kama hujaongozwa na roho basi itakupoteza, ndivyo ilivyo. Mungu baba, Mwana na Roho mtakatifu wanafanya kazi ambayo inamuacha shetani na jeshi lake lote hoi. Linapotajwa jina la YESU mambo hayabaki kama yalivyo, jina lenye nguvu linalomtetemesha shetani na watu wake (mapepo na majini na viumbe vyote vya giza). Kama huamini wapo wanaoamini na kuona badiliko katika nafsi zao ndani ya Yesu Kristo.
 
Hujakosea, kwa kuwa tunaelimishana, lakini binafsi nataka niishi imani ya kweli, na siyo dini, binafsi Yesu ndiye kiongozi wangu katika imani, waislam wengi wanampinga Yesu kuwa si Mungu kwa kuwa hawaelewi tafsiri ya Yesu kuwa ni Mungu.
Ni kweli Imani ni kitu kizito. Na pia nakubaliana na wewe waislamu tunahitaji kuwa watu wa vitendo na mfano mzuri katika jamii. Kwa hilo kwa kweli kuna dosari kubwa. Lakini hizo ni dosari na mapungufu ya kinaadamu. Imani ya ISLAM na mafundisho yake yanajitoshekeza.

Lakini lama yesu mwenyewe anakwambia kwenye Biblia kuwa yeye sio Mungu bali yeye ni Mtu sasa kwanini uwalaumu Waislamu?

John 8:
40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
 
Haha nyakati za mwisho watajitokeza watu na kupotosha wengi... Wengi watawakataza watu kuoa na kuolewa so nimeshangaa hata hiyo finding hapo hajasoma mtu bali wametumia Program ya kusoma maandishi.

Hizi ni hekaya tu kama zile za Injili ya Barnaba!
 
Hapa panahitaji utulivu sana kupaelewa, Yesu alivyokuja duniani, alikuja kwa mwamvuli wa kibinaadam, ili aweze kuwaelimisha na kuwaokoa watu, kwa kuwa watu walikuwa ni wagumu kumuamini Mungu wasiyemuona, lakini Yesu alionesha utafauti wake na binaadam wa kawaida kuanzia kuzaliwa kwake, kuishi kwake, kufa na kufufuka kwake na kupaa Mbinguni.
Je wewe unaamini kwamba Yesu alifufuka?
 


"Nevertheless I tell you the truth; it is expedient for you that I go away: for if I go not away, the Comforter will not
come unto you; but if I depart, I will send him unto you".

"Ahmed" or "Muhammad" meaning "the one who praises" or "the praised one" is almost the translation of the Greek word Periclytos. In the Gospel of John 14:16, 15:26, and 16:7. The word 'Comforter' is used in the English translation for the Greek word Paracletos which means advocate or a kind friend rather than a comforter. Paracletos is the warped reading for Periclytos. Jesus (pbuh) actually prophesised Ahmed by name. Even the
Greek word Paraclete refers to the Prophet (pbuh) who is a mercy for all creatures.

You say that the Comforter mentioned in these prophecies refers to the Holy Sprit. You fail to realise that the prophecy clearly says that only if Jesus (pbuh) departs will the Comforter come. The Bible states that the
Holy Spirit was already present on earth before and during the time of Jesus (pbuh), in the womb of Elizabeth, and again when Jesus (pbuh) was being baptised, etc. Hence this prophecy refers to none other than Prophet
Muhammad (pbuh).

Soma Imani yako vizuri.
 
Interesting. It says Jesus was never Crucified!

Not true. Hao waliandika ni wapinzani wa Biblia. Hiyo sio uthibitisho. Ingekuwa kimetoka Israeli na maandiko y'all mitume ndio tungejadili. Huo ni upinga Kristo
 
Holy spirit was present on earth since the creation of universe, but his service was limited in supply. Holy spirit was upon special people like kings (Israelite king's) na Manabii. Lakini alipokuja baada ya yesu kuondoka alikuja kwa yeyote atakaye mpokea Yesu, ndio maana Yesu aliwaambia wasiondoke Yerusalem hata wakiisha kupokea nguvu (ndio msaidizi aliyemzungumzia)
 
Holy spirit was present on earth since the creation of universe, but his service was limited in supply. Holy spirit was upon special people like kings (Israelite king's) na Manabii. Lakini alipokuja baada ya yesu kuondoka alikuja kwa yeyote atakaye mpokea Yesu, ndio maana Yesu aliwaambia wasiondoke Yerusalem hata wakiisha kupokea nguvu (ndio msaidizi aliyemzungumzia)
 
Ewe ndugu yangu!!! Kumbe tunalishwa matango pori? Ama kweli kuutafuta ukweli ni sawa na kumenya kitunguu, kila ganda litakutoa machozi.
 
Ni ujinga na upuuzi kufatilia na kudharau imani ya mwenzako...miye ni mkristo lakin daima ntawaheshimu waislamu na imani yao na mtume wao ...ni vyema na waislamu wakaheshimu imani za wengne.
 
Tatizo wana viediti hivyo vitabu hivyo hatujui tena yapi ni ya kweli yapi wameongeza wao kujifurahisha nafsi na kuwapiga wengine.
 
Hapana siamini. Naamini kuwa Yesu hakusulubiwa, Hakufa na wala Hakufufuka. Naamini kuwa alipaishwa kwa Mungu kama yeye mwenyewe alivyo sema. Na Mungu atamsusha tena dunia kumdhibiti mumuitae Anti-Christ. Hapo ndipo tofauti ya beliefs kati ya Muislam na Mkiristo.
 
Sawa kama umeamua kufikiria hivyo. Lakini elewa kuwa maneno yako hayana ushahidi.
 
Ni ujinga na upuuzi kufatilia na kudharau imani ya mwenzako...miye ni mkristo lakin daima ntawaheshimu waislamu na imani yao na mtume wao ...ni vyema na waislamu wakaheshimu imani za wengne.
You are out of context. Hakuna mtu anayedharau imani ya mwenzake. Lakini umepewa uhuru wa kuijadili imani. Otherwise how can you call out people to Christianity if you dont want them to discuss had they feel contradiction within the Bible??

Usichanganye katika kujadili BIBLE na Kudharau IMANI.
 
marco nae alikuwa mwanafunzi wa yesu.?
Aliyaandika hayo akiwa wapi.
Je wajua kwamba hata majina ya wanafunzi wa yesu hayamatch kutoka kwa mwandishi mmoja hadi mwingine?,

kwanini injili ya marco ilikatizwa njiani,yaani iliishia sura ya 16,kabla baadae haijaongezwa aya miaka ya karibuni.

Kwanini unadhani kuna,"the hidden gospel of marco"?
 
Kama Mungu atamrudisha tena why shouldn't believe in Christianity
 
Kama Mungu atamrudisha tena why shouldn't believe in Christianity
In Islam we believe that. Christianity and Islam are similar in many things except we differ in Trinity, Crucifiction, Kufa na kufufuliwa kwa Yesu.
 
Comforter unaye muongelea yuko kaburi na ana msubiria Yesu aje amfufue sasa ana kufariji vipi?

Roho Mtakatifu tunaye muamini sisi Wakristo alikuja siku ya pentekosti. Mtume Muhamad S.A.W miaka 570 baadaye.

Yesu aliwambia wanafunzi wake wasitoke kwenda kuihubiri Injili yake mpaka atakapo waletea msaidizi na mfariji wao. Sasa niambie Injili haikuhubiriwa hadi miaka 570 BK? Je Mtume Muhamad S.A.W aliwakuta wale wanafunzi wa Yesu bado wanaishi?

Na washawasha!




 
biblia za miaka ijayo zitakuwa na nabii kakobe,nabii gwajima,nabii malisa na wengineo wengi kama mtume millionaire ole wao watakaokuja kubisha maana sisi tunawaona hawa mitume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…