Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
marco nae alikuwa mwanafunzi wa yesu.?
Aliyaandika hayo akiwa wapi.
Je wajua kwamba hata majina ya wanafunzi wa yesu hayamatch kutoka kwa mwandishi mmoja hadi mwingine?,
kwanini injili ya marco ilikatizwa njiani,yaani iliishia sura ya 16,kabla baadae haijaongezwa aya miaka ya karibuni.
Kwanini unadhani kuna,"the hidden gospel of marco"?
hauko well informed ama unajitoa ufahamu ya nini nachomaanishaKumbe hii original bible mnayoipigia chapuo hapa Injili kama ilivyo andikwa na Mt Mark ina chapters zaidi ya 16. Achaweee!!! sikulijua hilo kweli hii ni original.
Na washawasha!
hauko well informed ama unajitoa ufahamu ya nini nachomaanisha
Mtume anapotoa ujumbe kwa watu wake haimaanishi kwa wanafunzi wake tu bali ni kwa wana israel wote kwani Yesu amekuja kwa ajili ya wana Israel.Comforter unaye muongelea yuko kaburi na ana msubiria Yesu aje amfufue sasa ana kufariji vipi?
Roho Mtakatifu tunaye muamini sisi Wakristo alikuja siku ya pentekosti. Mtume Muhamad S.A.W miaka 570 baadaye.
Yesu aliwambia wanafunzi wake wasitoke kwenda kuihubiri Injili yake mpaka atakapo waletea msaidizi na mfariji wao. Sasa niambie Injili haikuhubiriwa hadi miaka 570 BK? Je Mtume Muhamad S.A.W aliwakuta wale wanafunzi wa Yesu bado wanaishi?
Na washawasha!
hata paul na luka nao ni walewale,walikoibukia haijulikani,lakini ndo waandishi wenyewe wa bible hao,Wewe unamshanga Marko na kwa nini humshangii Paulo kuhusu kuwa au kutokuwa mwanafunzi wa Bwana Yesu? Kunatofauti gani ya hidden gosple of Mark na hii origi al bible? yote haya si mahangaiko ya shetani na mawakala wake katika kuhakikisha wanapata wanadamu wengi watakao ungana naye katika lile ziwa la moto wa milele.
Na washawasha!
hata paul na luka nao ni walewale,walikoibukia haijulikani,lakini ndo waandishi wenyewe wa bible hao,
logic ya point yangu ni kuwa kitabu cha marco katika injili ndo cha zamani kupita vyote,maana yake ni kuwa kina matayo,yohana,luka walikopy kwa marco,
wakati injili ya marco inaonekana kusitishwa kabla baadae hawajaongeza baadhi ya paragraph,kina matayo wanaeleza moja kwa moja mpaka tukio na kufufuka yesu,
hapo unajiuliza,kama marco ndo injili ya mwanzo kwanini baadhi ya matukio yaliyoko kwenye vitabu vingine kama matayo,luka etc hayapo katika marco?
Mtume anapotoa ujumbe kwa watu wake haimaanishi kwa wanafunzi wake tu bali ni kwa wana israel wote kwani Yesu amekuja kwa ajili ya wana Israel.
Kama unaamini kweli kuwa MSAIDIZI kuwa ni ROHO mtakatifu ni sawa tu. Endelea kuamini. Lakini mimi nimeshakupatia hints sio lazima ukubaliane na mimi.
Chakwanza kuandikwa katika vile vya injili.
Logic is for you as human beingTunaiamini kwa sababu iko sambamba na Quran ambacho ni kitabu kisichokuwa na kasoru. By nature crucifiction is a curse from God. Its logical hakuna mtume yoyote aliyeteswa na kidhalilishwa na watu wake na Mungu yupo anatazama tu wakati Mjumbe wake anamuoba amsaidie lakini yeye anamtazama tu. Hiyo makes no sense. Kwa hiyo by all means hicho kitabu ni authentic. No Doubt about it because it says the truth just like Quran. It is probable the true INJIL but you are denying it.
Sawa kaka. Hiyo ni mani yako na uhuru wa kuamini chochote utakacho. Kitu muhimu ni kuwa ujumbe nimekufikishia. Kama hujaridhika na ushahidi niliokupatia basi.Biblia ina tuambia Roho Mtakatiku atakuwa msaidizi na mfariji wetu. Sasa ni kuulize kama Mtume Muhamad S.A.W. tunakubalina kuwa alikufa na kuzikwa na haja fufuka hadi hii leo. Iweje awe msaidizi na mfariji? Hata yeye si anahita huu msaada wa Mungu wa kufarijiwa na kufufuka?
- Wewe usichotaka kukisema ni muujiza siku ya kushuka kwa Roho Mtakatifu yaani Pentekosti. Soma hapo katika Biblia
- ACTS 2:1-13 uone ukweli na hakuna uhusiano na Mtume Muhamad S.A.W.
- Siku hiyo ya pentikosti walikuwepo watu kutoka pande zote za duniani . Kwa nini unataka kudanganya kuwa Yesu ni wa Wayahudi tu. Kumbuka siku hiyo ndio kipyenga cha kuihubiri Injili duniani kote kilipo pulizwa. Ndio twaweza kusema hivyo. Maana wale waumini walipo jazwa Roho Mtakatifu wali nena kwa lugha mbalimbali. Hata wewe BigBros ungali bahatika kuwapo pale ungesikia wale waumini walio kusanyika wakinena kwa kilugha cha BigBros.
- Sasa labda utuambie Injili ya Qouran inavyo sema kuhusu Mtume S.A.W kuwa ndiye aliyetabiriwa na Bwana Yesu.
Na washawasha!
Labda kwa Mujibu wa hiyo Bible Feki ya Waturuki. Yesu na Baraba ni watu wawili tofauti kabisa.mkuu unakubali kuwa yesu na barabba ni mtu yuliyule mmoja kwa mjibu wa maandiko ya bibilia?
Kazindue wenzio wanao amini Mungu anaweza kumteua a pedophile kuwa nabii. Eti Mtume aligawanya Mwezi!! really! Nadhani jamaa alikua anadhani Mwezi ni kama sahani inayo ng'aa angani. Tokea Dunia ianze hakuna sehemu Mungu amewalazimisha watu wamuabudu kwa kutuma a mercyless killer.Muhimu kuwa habari hiyo imekufikia. Sasa kufuatilia au kuidharau ni uamuzi wa kwako. Kwani faida au hasara pia ni ya kwako. Sisi tunawazindua tu, na huo ndio wajib wetu. Lakini zaidi ya hapo ni wewe mwenyewe.
Kwanza ili kuthibitisha kua huyo msaidizi waliye letewa sio huyo Mtume wenu, Yesu alifundisha Upendo, msamaha na kuto kulipiza kisasi wala kuhukumu. Ila Mtume wenu kaja na kufundisha Kisasi, Utengano na chuki, Bila kusahau kuhukumu tena kuhukumu kwa kifo.huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,
hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka
Labda kwa Mujibu wa hiyo Bible Feki ya Waturuki. Yesu na Baraba ni watu wawili tofauti kabisa.
au basi watakuwa ndugu maana baraba anaitwa ,"jesus Barabba".Labda kwa Mujibu wa hiyo Bible Feki ya Waturuki. Yesu na Baraba ni watu wawili tofauti kabisa.
huu mchezo hautakangi hasira mkuu......Kwanza ili kuthibitisha kua huyo msaidizi waliye letewa sio huyo Mtume wenu, Yesu alifundisha Upendo, msamaha na kuto kulipiza kisasi wala kuhukumu. Ila Mtume wenu kaja na kufundisha Kisasi, Utengano na chuki, Bila kusahau kuhukumu tena kuhukumu kwa kifo.
Kwa kweli IGNORANCY ni adui mkubwa kushinda Shetani. Naomba niishie hapo.Kazindue wenzio wanao amini Mungu anaweza kumteua a pedophile kuwa nabii. Eti Mtume aligawanya Mwezi!! really! Nadhani jamaa alikua anadhani Mwezi ni kama sahani inayo ng'aa angani. Tokea Dunia ianze hakuna sehemu Mungu amewalazimisha watu wamuabudu kwa kutuma a mercyless killer.
haya na wewe nenda Nigeria ukachukue unabii na utume uje kujaza kanisa maana mungu wenu anaishi ABUJAaliye jaribu kuchakachua Biblia Takatifu ni muham'mad akashindwa..na kitabu chake hakikuwekwa maktaba sababu hakina Tbs..ref; Yesu anasema Ukifuzu utainda kuishi kama Malaika...muhammad anasema ukifuzu utaenda ngonoka mbele ya allah na mahulu.72 wenye makalio ft.40 kiuno kama nyigu na ku-update dhakar isisinyae [emoji15] [emoji38] [emoji38]
Sawa kaka. Hiyo ni mani yako na uhuru wa kuamini chochote utakacho. Kitu muhimu ni kuwa ujumbe nimekufikishia. Kama hujaridhika na ushahidi niliokupatia basi.