steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hiyo Crucifiction ni uzishi mkubwa especially unaofanywa na wakatoloki kuwapoteza Wakristo. Ushahidi wa kutosha nimeumwaga kwenye thread hii. La pili mbona kuna Sects nyingi za wakristo wanakubali kuwa Crucifition sio kweli na hata hawavai misalaba. Pia wanakubali kuwa Yesu sio mtoto wa Mungu. Iweje leo ancient bible ipatikane na iseme Yesu sio mtoto wa Mungu na Crucifiction sio kweli ushindwe kuamini???
Kabla hata huyo kristo hajaja duniani warumi walikuwepo mkuu wakiwa na imani yao isiyo ya kikristo,iweje leo waje kuwa wafuasi wa huyo kristo waliyemsulubu wao wenyewe huku wakijua kabisa,huoni kuwa inawezekana baadae waliujua ukweli na ndio maana wakamfuata kwa kuwa mfuasi wa yesu?