1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Hiyo Crucifiction ni uzishi mkubwa especially unaofanywa na wakatoloki kuwapoteza Wakristo. Ushahidi wa kutosha nimeumwaga kwenye thread hii. La pili mbona kuna Sects nyingi za wakristo wanakubali kuwa Crucifition sio kweli na hata hawavai misalaba. Pia wanakubali kuwa Yesu sio mtoto wa Mungu. Iweje leo ancient bible ipatikane na iseme Yesu sio mtoto wa Mungu na Crucifiction sio kweli ushindwe kuamini???

Kabla hata huyo kristo hajaja duniani warumi walikuwepo mkuu wakiwa na imani yao isiyo ya kikristo,iweje leo waje kuwa wafuasi wa huyo kristo waliyemsulubu wao wenyewe huku wakijua kabisa,huoni kuwa inawezekana baadae waliujua ukweli na ndio maana wakamfuata kwa kuwa mfuasi wa yesu?
 
Ujajibu maswali mkuu, umerudi kule kule achana na hizo lines

Halafu sijasema muslims they are terrorist kwa sababu ulivyojibu kama vile nimesema hivyo. Nimeuliza kwanini wanajaribu kutengeneza vita kati ya wakristo na waislam with the exception of the funded bible

Unajua bana this world is full of lines, usijiweke kwenye gereza la akili mwenyewe...follow them lines
Ukienda kwenye vita utapotea nje sana ya maada. Ndio maana sikutaka kwenda huko. Lakini wacha nikupe dondoo.

Muslims, Christians and other religions have coexisted together for centuries without problems. Especially Muslims have never persecuted other religions. Muslim have never killed Christian for control of faith. However, since world war II Zionist have formed underground movement to form a State of Israel. Hence using USA, UK and other Western countries to persecute Muslims and killing them so that they may dominate the middle east. Simply Christrians are used by Zionist to kill Muslims. There is a writer called Allison Weir ametoa kitabu kuhusu ninayo zungumza. For more information fuatilia hiyo link umsikiize;

 
Biblia yangu inasema YESU KRISTO aliteswa na kuwa crucified na kufufuka siku ya tatu na kisha baadae akapaa mbinguni, nadhani bila shaka wewe utakua unamuongelea Issa basi....
"mtu atakae kunifuata mimi ajikane,abebe msalaba wake anifuate"-said who?.
 
Nikitu gani kinacho kupa kiburi cha kukiamini icho kitabu na ni kwanini uwaamini hao unao waita ni wa taalam umewaamini ? Je ulisha fanya research juu ya Bible wanayotumia wakristo ?
Don't bliv every word u hear
Tumia maarifa yako kujiuliza y hio type of bible ipatekane nyakati hizi na kuna nini kinaendelea hapo maeneo ya nchi za kati ?
Kuna Oldest Quran imepatikana Uingereza. Kwani kuna tatizo gani? Hiyo Oldest Quran is exactly the same as the current one. Kwanini hiyo Bible iwe tofauti na ya hivi sasa?? Nafikiri hilo ni swali la kujiuiza. Sikiliza hiyo link ya BBC



Mbona hiyo Oldest bible inasema exactly kama Quran inavyosema kuhusu Jesus. Kwanini nisiamini ukweli?? Mbona kuna baadhi ya Sects za wakristo Hawaamini Crucifiction, Kufa kwa Yesu, wala kusulubiwa kwa Yesu?? Kwanini nisiamini ukweli ulioandikwa hata kwenye Biblia ya sasa?? Nakushauri ufuatilie haya mambo kwa kina na ufungue akili yako iwe tayari kuuliza maswali.
 
Biblia yangu inasema YESU KRISTO aliteswa na kuwa crucified na kufufuka siku ya tatu na kisha baadae akapaa mbinguni, nadhani bila shaka wewe utakua unamuongelea Issa basi....
Biblia yako ni hiyo niliyo inukuu. Soma thread vizuri. Nimetoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hayo. Soma kwanza kisha njoo na hoja. Lakini soma kuelewa sio kushindana.
 
Hahahaha Islam inamzungumzia mtu anaeitwa Issa na sio YESU KRISTO. Mbona hilo liko wazi
Kaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.

Hayo ni majina kuashiria mtu fulani. Issa na Yesu ni mtu yule yule.
 
Hahahaha Islam inamzungumzia mtu anaeitwa Issa na sio YESU KRISTO. Mbona hilo liko wazi
Kaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.

Hayo ni majina kuashiria mtu fulani. Issa na Yesu ni mtu yule yule.
 
Good!

Imani ya kikristo imejengwa hapo! Mateso, Kifo na Ufufuo wa Yesu.

Wapinzani wa injili wanapata taabu sana na hili!
Inamaana Sects zingine za kikristo zisizoamini Misalaba Crucifiction, kufa na kufufuka sio Wakristo??
 
asili ya Bilal kama kitabu cha mtume muhamad kinavyosema..!!but sure mkiachana na ujinga wote wakuwatukuza hao weupe mtajua kweli yenu nyie wakristo fake na waisilamu vifuata upepo
Kaka naona una issue ya ukabila. Dini haina ukabila. Na Dini yenye ukabila sio DINI. uelewe hivyo.
 
Inaonekana waliokuwa wanaandika injili kila mmoja alikuwa anaandika maoni yake.. Sasa yupi mkweli tumuamini
 
Wakristo kweli nimeamini shida yenu sio kuujua ukweli juu ya dini.nyinyi munataka kufata kile kinachowafurahisha nafsi zenu tu.haya final uzeeni
Watchout mkuu sisi wote ni binadamu anayejua nani yuko sahihi ni mungu pekee sisi tutapotezana.. Sasa iweje wewe binadamu kama binadamu wengine unathubutu kumnyooshea kidole binadamu mwenzako! Umejiangalia wewe umesimama wapi?
 
Sio mabikra 7, umekosea mabikra 70,000. Tazama jinsi unavyo mtaja Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa kejeli. Mtume huyo ndiyo aliyekuja kuzungumza na kukamilisha waliyoleta mitume iliyopita yakiwemo maagizo ya Yesu. Mtume huyo ndio aliyoongoa watu na kuwatoa kwenye ujinga na kuwaongoza katika mstari ulinyooka. Ni Mtume pekee aliyekuwa completely successful katika utumwa wake na amekamilisha kazi yake kikamilifu. Kwahiyo chunga lugha ya na ulimi wako juu yake. Hilo ni wazo tu la wewe kuzingatia.

Hiy uliyoitaja ni Pepo. Na pepo ina maelezo yake mazuri kwenye Islam. Kuna vitu vingi ambavyo unahitaji kujielimisha navyo. Na ni vitu vizuri mno kuvisoma na kuvisikiliza. Kuwa mpole.
Eeeeeeeh kwahiyo ni kungonoka mwanzo mwisho.....kama ni kweli basi mtafaidi sana waislamu
 
Kaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.

Hayo ni majina kuashiria mtu fulani. Issa na Yesu ni mtu yule yule.
YESU kiswahili alafu YASU kiarabu
 
Inamaana Sects zingine za kikristo zisizoamini Misalaba Crucifiction, kufa na kufufuka sio Wakristo??
Yeah hao sio wafuasi wa kristo.....na sidhani kama kuna wafuasi wa kweli wa kristo wanaopinga kusulubiwa kwake
 
Watu watajiunga na dini yako kwa kuona mafanikio yatokanayo na neema as Mungu wako katika maisha yako. Sii kwa kejeli wala kubeza imani za wengine.

Mafanikio yanayokufanya ujae kashfa na kusahau ulitokea wapi? Neema gani ya mungu inayo kutia kibri, kejeli na dharau. Huyo lazima awe ni mungu wa hapo mlingoti bagamoyo.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom