1894 Loniel Walter Rothschild akivinjari London na punda milia

1894 Loniel Walter Rothschild akivinjari London na punda milia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1633287785821.png
 
Si kweli.
Zebra hafugiki mkuu. Ni ngumu kumfuga kwa sababu hana urafiki na mwanadamu na hatabiriki, tofauti na 'ndugu yake' farasi. Na hii ndio sababu kwa nini Afrika licha ya kuwa na mnyama huyu maelfu ya miaka iliyopita, hawakuweza kumtumia kwa faida kama Farasi walivyomtumia watu wa Middle East na ulaya.
 
95% ya utajiri wa dunia???----- are you serious or kidding!!?😱---- kwa maana hiyo 5% iliyobaki ndio inamilikiwa na almost 7bn people??!!
Hiyo 95 wanayomiliki inatoa ajira na wanapata faida.
 
Kugundua mfumo wa bank ndio kumiliki 95% ya utajiri wa dunia??-- huoni Kwamba hivyo ni vitu viwili tofauti??? ,, utajiri wa dunia ni kiasi gani interms of $ dollar??--- ili tujue 95% yake.
Wamewekeza kwenye madini na nishati dunia nzima
 
Back
Top Bottom