1894 Loniel Walter Rothschild akivinjari London na punda milia

Wanadai mnyama pekee mgumu kumfunga ni chui. Wakati wowote anabadili yani haaminiki. Ndo maana akizaliwa akishakua anaishi kivyakevyake ni wakati tu wa kutafuta Mbususu ndo anamvizia chui mwengine. Kuwinda ni kivyakevyake tu.

Halafu wanadai ukikutana naye maporini huko usimuangalie machoni hapendi anamaindigi kichiz wewe mpite na upotezee. Pia a naelewa matusi. Tuseme umekutana naye umuite wee boya umekwisha.

Nakwambia hakuna mnyama asiyeweza kufugika kwa binadamu, ni hivi; kila mnyama anayo namna yake ya kufundishwa na kisha kufugwa (taming & domestication), tunachoshindwa kujua ni aina gani ya ufundishaji kila mnyama anahitaji, ni hicho tu, mfano huwezi kumfundisha punda mafunzo ya mbwa na kinyume chake na ndivyo kwa chui mtoto, huwezi kumfundisha jinsi utakavyomfundisha mbwa mtoto kwani uelewa na tabia zao ni tofauti na hivyo mafundisho yao lazima yawe tofauti.

Kila kitu na wanyama wote Mungu kawaumba ili tuwatawale na kuwatumia (subjugation and serving us)---tumeshindwa kupata njia sahihi ya kumfuga chui wala sio kwamba chui hafuguki.
 
Namkubali ana na wewe hata chui anafugika lakini haaminiki wakati wowote anaweza kubadilika.
 
Hata wanyama wafugwao sana kama; punda, Farasi, Simba, Ngamia, Mbwa nk, nao pia hawaamini katika nyakati fulani na wanaweza kujeruhi mtu na hata kusababisha vifo.
 
Zebra hafugiki mkuu. Ni ngumu kumfuga kwa sababu hana urafiki na mwanadamu na hatabiriki, tofauti na 'ndugu yake' farasi. Na hii ndio sababu kwa nini Afrika licha ya kuwa na mnyama huyu maelfu ya miaka iliyopita, hawakuweza kumtumia kwa faida kama Farasi walivyomtumia watu wa Middle East na ulaya.
Kwahiyo hi picha ni ya uongo?
 
Back
Top Bottom