1894 Loniel Walter Rothschild akivinjari London na punda milia



Nakwambia hakuna mnyama asiyeweza kufugika kwa binadamu, ni hivi; kila mnyama anayo namna yake ya kufundishwa na kisha kufugwa (taming & domestication), tunachoshindwa kujua ni aina gani ya ufundishaji kila mnyama anahitaji, ni hicho tu, mfano huwezi kumfundisha punda mafunzo ya mbwa na kinyume chake na ndivyo kwa chui mtoto, huwezi kumfundisha jinsi utakavyomfundisha mbwa mtoto kwani uelewa na tabia zao ni tofauti na hivyo mafundisho yao lazima yawe tofauti.

Kila kitu na wanyama wote Mungu kawaumba ili tuwatawale na kuwatumia (subjugation and serving us)---tumeshindwa kupata njia sahihi ya kumfuga chui wala sio kwamba chui hafuguki.
 
Namkubali ana na wewe hata chui anafugika lakini haaminiki wakati wowote anaweza kubadilika.
 
Namkubali ana na wewe hata chui anafugika lakini haaminiki wakati wowote anaweza kubadilika.


Hata wanyama wafugwao sana kama; punda, Farasi, Simba, Ngamia, Mbwa nk, nao pia hawaamini katika nyakati fulani na wanaweza kujeruhi mtu na hata kusababisha vifo.
 
Kwahiyo hi picha ni ya uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…