1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

Status
Not open for further replies.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
IMG-20220123-WA0046.jpg

Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile

Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.

Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.

NI UWONGO MTUPU.Hao ni black americans.
Naomba muupuzie huu uzi ni wa kichochezi.

 
View attachment 2093301

Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu...
Nikipokuwa mtoto nilikuwa nasikia chief akifariki alikuwa hazikwi peke yake; sasa mnataka kuturudisha huko jameni?mwee!
 
Ongeza nyama mkuu, Ni muhimu tukajua vema historian ya taifa letu.
 
Napenda kijua waliwezaje kusafiri hadi kwa mabeberu huko kudai uhuru?

Kuna waliowafadhili au walikuwa wana wenye kujiweza kifedha sana?
Walikuwa na uwezo, Chifu ana ng'ombe wengi, akiuza wachache tu pamoja na michango ya eneo lake, tosha kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom