Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Haya matukio mbona yapo hadi sasa!chief akifariki alikuwa hazikwi peke yake; sasa mnataka kuturudisha huko jameni?mwee!
Soma Hili tukio la 2019
Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili
Guys tulikua msibani.....huku kwetu Geita tunazika kivyetu...mila mila mila..ukihoji unayeyuka. Huyu alikua Mganga mkuu wetu☠💀 Maiti wetu anazikwa akiwa ameketi na anasindikizwa na watu wake wawili wakaribu wao wanafukiwa wakiwa hai wamemshikilia mkulu...kudadeck...yaan ukilogewa pande hizi...
Nukuu toka kwa Matope
Maiti wetu anazikwa akiwa ameketi na anasindikizwa na watu wake wawili wakaribu wao wanafukiwa wakiwa hai wamemshikilia mkulu.