Kumbe jamaa ameokota picha akaja kutupiga nayo kamba...?!
Amechangamsha barza kwa stori zetu na pia tumepata elimu mtambuka endelevu kupitia uzi huu wa masapokyindi ambapo wanaJF wamechangia comments za kila aina .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe jamaa ameokota picha akaja kutupiga nayo kamba...?!
Baba yangu mzazi mimi mtoa post hii alifanya kazi migodini South Africa kipindi cha Gold Rush kati ya 1950-60Kumbe zamani miaka ya mwanzo kabisa ya karne ya ishirini (1900) watu walianza kwenda South Africa kitambo kabla ya zama za mabaharia wa enzi hizi miaka ya 1994 miaka ya South Africa chini ya Nelson Mandela ya wazamiaji na waruka senyenge.
Shukrani Jamiiforums na wanaJF kwa kutuelimisha kupitia uzi huu wa utani aliotupia mwana JF mwenzeti masopakyindi
Hahhahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wagogo enzi hizo wako porini wanashindana kujificha wasionekane, maana ndio walikuwa wakoma na wenye trachoma
NI UWONGO MTUPU.Hao ni black americans.walienda au walitaka kwenda? kama walienda waliambiwaje?
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Nini kimewashinda msiwe sasaSouthern Highlands ingekuwa tajiri sana. Tungekuwa tunashindana na Gabon
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Baada ya kudai ilikuwaje walifanikiwa?

Ni kweli kuwa kuna habari/historia kuwa machifu wa kinyakyusa waliwahi kwenda Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya kikoloni. Safari ile haikuwa kwa ajili ya kudai uhuru bali ilikuwa kama rushwa ya kuwaziba midomo wasiungane na watu wengine kudai uhuru. Kikubwa zaidi Machifu hao walikwenda kuonyeshwa jinsi wazungu walivyoendelea na kushawishiwa kuwa endapo wataendelea kubaki chini ya utawala wa kikoloni wataletewa maendeleo kama waliyoonyeshwa.
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
wewe ni mkongwe mwenzangu hapa jf, nakuheshimu sana. ila kwa hili hapana,umetoa boko.
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Hiyo southerhighlands ilikuwa inahusisha mikoa gani
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Macho kwenyeu ugali huyu maso pa kyindi lazima atuomabe radhi kwa kutuwekea story ya uwongowewe ni mkongwe mwenzangu hapa jf, nakuheshimu sana. ila kwa hili hapana.
nakushusha hadhi kwa dhamira yako ya kutaka kudanganya umma wa jf.
hii picha inapatikana kwenye website ya mtandao wa library of congress katika article inayozungumzia watu waliozaliwa katika biashara ya utumwa. haina uhusiano wowote na hao machifu wa kinyakyusa uliowataja kwenye bandiko lako.
link hii hapa:'Born in Slavery' (April 2001) - Library of Congress Information Bulletin
acha kujidhalilisha mkuu.
View attachment 2094869View attachment 2094870
sijui jamaa anatuchukuliaje. nimemshangaa sana.Macho kwenyeu ugali huyu maso pa kyindi lazima atuomabe radhi kwa kutuwekea story ya uwongo
Kwa hiyo yule mpambe wa chifu uchwara mpya ajiandae likitokea la kutokea?Nikipokuwa mtoto nilikuwa nasikia chief akifariki alikuwa hazikwi peke yake; sasa mnataka kuturudisha huko jameni?mwee!
KUNRADHI WANA JFMacho kwenyeu ugali huyu maso pa kyindi lazima atuomabe radhi kwa kutuwekea story ya uwongo
Babu yangu alikuwa Chief, safari yake ya kwanza UK ilikuwaa 1948. Safari ilianza na boti mpaka Egypt, halafu wakapanda ndege mpaka Italy, halafu akapanda gari mpaka English Channel, then akamaliza na ndege tena mpaka London....Napenda kijua waliwezaje kusafiri hadi kwa mabeberu huko kudai uhuru?
Kuna waliowafadhili au walikuwa wana wenye kujiweza kifedha sana?