Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Babu yangu alikuwa Chief, safari yake ya kwanza UK ilikuwaa 1948. Safari ilianza na boti mpaka Egypt, halafu wakapanda ndege mpaka Italy, halafu akapanda gari mpaka English Channel, then akamaliza na ndege tena mpaka London....
Alichukia kwenda Ulaya kweli kweli.... Anyways, machifu walikuwa na hela sana miaka hiyo. Kwenda Ulaya kwao haikuwa issue.
Mkuu nimependa namna ulivyobainisha namna alivyofika ughaibuni kwa kutaja njia za usafiri...nilikuwa nikihitaji mtu wa kunielezea kama ulivyofanya...kongole!