Etebolo-meza iwindo-dirisha bujonde-beyond...Hahaha isopu ongezeni na mengine wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etebolo-meza iwindo-dirisha bujonde-beyond...Hahaha isopu ongezeni na mengine wakuu.
😕😕😕wakasimikwe tu waanze kudaiwa kodi uyu karl peter wa kike ana mbinu balaaChifu mkuu Hangaya alisema pelekeni majina yenu ili msimikwe uchifu, kazi kwenu ajira ndiyo hizo mlizokuwa mkizilalamikia kuzikosa.
Sikusema WENELA ni mji, ndege ya kampuni hiyo ilikuwa ikienda Mbeya kuwachukua na kuwarudisha wachimba migodi.WENELA siyo mji au mahali bali kilikuwa chama cha kuajiri cachimbaji dhahabu. "
The Witwatersrand Native Labour Association (WNLA), more popularly Wenela, was set up by the gold mines in South Africa as a recruiting agency for migrant workers.
Eventually, it comprised a large organisation with its own depots, buses and aeroplanes spread over the whole of Southern Africa: South Africa, Basutoland, Swaziland, South West Africa, Bechuanaland, Northern Rhodesia, Southern Rhodesia, Nyasaland, Angola, Mozambique, extending into the Belgian Congo and Tanganyika."
BABU YAKO NI YUPI SASA HAPO KATIKA PICHA MNATO?? 😳Mimi mwenyewe, mmoja kati ya hai machifu ni babu yangu.
Bujibuji, matusi na kudhalilisha makabila mengine haifai nkamu!Wagogo enzi hizo wako porini wanashindana kujificha wasionekane, maana ndio walikuwa wakoma na wenye trachoma
Ni kweli , babu yangu alikuwa chief, na mpaka anafariki alipewa heshima zote na wananchi.Mohamed Said akiwapa historia mnalia mdini mdini... akiwaambia historia imechezewa hamtaki kueleewa... haya pambaneni, na kwa taarifa tu watoto wengi wa machifu na familia zao wapo nchi za nje... walio baki sijui tuwaitaje... tafuta ndg wa chifu yoyote utapata majibu hata huyo maleale sijui...
Mwaka 1948 watemi wa Kisukuma walienda Uingereza kudai uhuru wao wa nchi yao iliyokuwa nchi ya NYANZA wakiongozwa na mtemi Masanja,Kidaha na Ihangilo, ni vizuri nam nikakumbusha make Chui dume asije akasahau nasi tulikuwa wapambaji sio mapoyoyo
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Unamtakia nini chifu?Nikipokuwa mtoto nilikuwa nasikia chief akifariki alikuwa hazikwi peke yake; sasa mnataka kuturudisha huko jameni?mwee!
Kumbe na Wanyakyusa walienda hadi UK?? Kweli kuna makabila yenye asiliya aggressiveness nasikia pia Cheif Marialle toka Kilimanjaro naye alienda UN. Swali langu tu la kijinga
Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile
Chief Hangaya ameanza mwaka na machifu. Si mbaya lakini tukumbusgane.
Mwaka 1950, Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru wao na kujitawala.
Hawa hawa kina matonya?Wagogo watan zangu walikuwa na uongoz imara sana Chini ya MAZENGO, na uongozi wao ulikuwa sio wa mapigano lakin walikuwa imara Sana hata Chief Mkwawa alikuwa anawaheshimu na kuwaogopa Sana hadi wakapeana Wanawake wa kuoa.
Mkuu historia wanasiasa huwa wanaifanya kuwa ni siasa ya kujitukuza wenyewe.Kumbe na Wanyakyusa walienda hadi UK?? Kweli kuna makabila yenye asiliya aggressiveness nasikia pia Cheif Marialle toka Kilimanjaro naye alienda UN. Swali langu tu la kijinga
1. Ni nani aliwagharamia safari hizi ukizingatia zilikuwa ni safari za kupingana na watawala wao
2. Education level yao ilikuwa ya kiwango gani kuwawezesha kuwasilisha mada yao in an understandable manner
3. Kwa nini hii safari ya hawa machifu wa Kinyakyusa haijazungumzwa sana kwenye vitabu vya historia ya nchi hii
Ni watani wangu wa jadi, Wasukuma na Wagogo tu watani.Bujibuji, matusi na kudhalilisha makabila mengine haifai nkamu!
Mkataniane Chato!Ni watani wangu wa jadi, Wasukuma na Wagogo tu watani.
Ni watani wangu wa jadi, Wasukuma na Wagogo tu watani.Bujibuji, matusi na kudhalilisha makabila mengine haifai nkamu!
Chato ni ardhi takatifu. Karibuni mje mtambikeMkataniane Chato!
Una uhakika walienda kudai uhuru au walienda kupiga dili na wazungu
Mwaka uliofuata watemi wa Kigogo nao wakaenda kudai wakiongozwa na chief Le Mutuz...Mwaka 1948 watemi wa Kisukuma walienda Uingereza kudai uhuru wao wa nchi yao iliyokuwa nchi ya NYANZA wakiongozwa na mtemi Masanja,Kidaha na Ihangilo, ni vizuri nam nikakumbusha make Chui dume asije akasahau nasi tulikuwa wapambaji sio mapoyoyo
Kumbe jamaa ameokota picha akaja kutupiga nayo kamba...?!Swali zuri toka kwa mwanaJF, hao ni weusi wa nchini Marekani : simulizi zao zilizorekodiwa kuhusu wakati wa utumwa : NCpedia | NCpedia
Fountain Hughes (1860–1957) a former slave born in Charlottesville, VA (Virginia) USA https://www.monticello.org/getting-word/people/fountain-hughes
![]()
View attachment 2094136
Search : amazon.com : Voices Days Slavery by Fountain Hughes
View attachment 2094120
View attachment 2094121
View attachment 2094122
View attachment 2094123
View attachment 2094124
View attachment 2094125
View attachment 2094126
View attachment 2094127
View attachment 2094128
View attachment 2094129
View attachment 2094130
View attachment 2094131
View attachment 2094132
View attachment 2094133
View attachment 2094134
View attachment 2094135
View attachment 2094119
WENELA siyo mji au mahali bali kilikuwa chama cha kuajiri cachimbaji dhahabu. "
The Witwatersrand Native Labour Association (WNLA), more popularly Wenela, was set up by the gold mines in South Africa as a recruiting agency for migrant workers.
Eventually, it comprised a large organisation with its own depots, buses and aeroplanes spread over the whole of Southern Africa: South Africa, Basutoland, Swaziland, South West Africa, Bechuanaland, Northern Rhodesia, Southern Rhodesia, Nyasaland, Angola, Mozambique, extending into the Belgian Congo and Tanganyika."
source : big light worldwide
Lakini jamaa ni mkali amechukua picha mtandaoni akawabatiza na majina kabisa akawapa majina ya Kinyakyusa...Kumbe zamani miaka ya mwanzo kabisa ya karne ya ishirini (1900) watu walianza kwenda South Africa kitambo kabla ya zama za mabaharia wa enzi hizi miaka ya 1994 miaka ya South Africa chini ya Nelson Mandela ya wazamiaji na waruka senyenge.
Shukrani Jamiiforums na wanaJF kwa kutuelimisha kupitia uzi huu wa utani aliotupia mwana JF mwenzeti masopakyindi