1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

Status
Not open for further replies.

Mkuu nimependa namna ulivyobainisha namna alivyofika ughaibuni kwa kutaja njia za usafiri...nilikuwa nikihitaji mtu wa kunielezea kama ulivyofanya...kongole!
 
Sema hawa wenzetu walikuwa wajanja tangu zamani. Tangu miaka ya 1914 walikuwa na maingiliano makubwa sana na Afrika Kusini "kujoni". Walikuwa wakichimba madini huko na kurudi kwao wakiwa na baiskeli. wengine walipotelea mpaka ulaya na marekani. zambia, malawi, zimbabwe, namibia, botswana n.k, wako wa kutosha tu. Wenyewe walikuwa wanaielewa vizuri lusaka na Jo'berg kuliko dar au dodoma. hata nyerere aliwasitukia, baada ya kuona wana exposure tofauti ukilinganisha na watanganyika wengine.
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Sasa kwani wale afrikan amerikan wametokea wapi?? si ni wa kutoka afrika??
Hapo Umechanganya madesa.Hao African Americans 7
Sasa kwani wale afrikan amerikan wametokea wapi?? si ni wa kutoka afrika??
Ni hivi waafrika walianza kuchukuliwa utumwa kupelekwa Marekani mwaka 1600.Hao ndoo black americans.
Hapa wanazungumzia wanyakyusa ambao hawakuwahi kuwa watumwa watoke Kyela kwenda kudai uhuru mwa 1950 kitu ambacho ni urongo
 
Chifu ni jina la kikoloni. Cheo chao kwa lugha yao waliitwa nani?
 
Sukulu - shule
koroti - mahakama
kyarik - kanisa
pamande - juma3
ikoti - koti
talabhus - suluari
supun - kijiko
kyamen - mwenyekiti
Nsikali-askari
Ifilato- viatu
Isyati- shati
Fulupi- envelope
Ibhangili- bible
Petro- Peteli
Daudi-Ndabhiti
Martha-Malita
Mwizi-unhiji
Mwizi wa kishirikina- Mwamikubha
 
Wahenga walipokutana na waganga walisema
Mchelea mwana kulia,,, hulia mwenyewe...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…