1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

Mimi ndiyo mtafiti pekee ulimwenguni kote ukimtoa John Iliffe aliyesoma Nyaraka za Sykes.

Historia hii ninayo mimi peke yangu.
Mtafute hata mtu mmoja wa dawa aliyesoma nyaraka hizi upone maradhi yako.

Hutompata.
Utakufa.
Kwa wasomaji , ile hati miliki ya Historia si ndiyo hii?

Msijali hapo mwisho mzee kaghadhabika anasema '' utakufa'' sijui nani miongoni mwetu!!

Mohamed mnakasha umekuwa huu, na hayo ndiyo alikufundisha Sheikh Haruna !

''Hutompata. Utakufa'' eeeh jamani mi naona hapa ni pagumu, hadi kuapizana misiba '' utakufa'' !!
 
Ni kweli hatimiliki Nguruvi3 sijaona tatizo liko wapi? Ni kwasababu kakupa wasaa wa kukupa ilmu toka 2010 kama ulivyosema juzi, lakini kiukweli Ana hatimiliki na huyu ndie family ya sykes ilimpa ushirikiano kwa karibu kukamilisha tawasifu, ukiachana na Daisy sykes sidhani kama kuna anaemsogelea Mohamed Said kwenye hilo aliloeleza
 
Hebu tupitishe pande zote mbili kuhusu hichi kikao cha sykes na kenyatta, upande wa mpigania uhuru na huu wa ujasusi namna walivyokimulika kikao hiki na mfano wa hiki
Makala...
Mwaka 1950, Abdulwahid alisafiri kwenda Nairobi kukutana na Jomo Kenyatta ili kuanzisha uhusiano na Kenya African Union (KAU).

Abdulwahid alifunga safari hii wakati wa mashindano ya kandanda ya Kombe la Gossage.

Haya yalikuwa mashindano ya kila mwaka ambayo nchi tatu za Afrika ya Mashariki pamoja na Zanzibar zilikuwa zikishiriki.

Huenda Abdulwahid alichagua wakati huu mahsusi ili kuficha dhamiri ya safari yake.

Kama mtu labda angetaka kujua sababu ya safari yake ingewezekana kwa urahisi kabisa kuelezwa kuwa alisafiri kwenda Nairobi kutazama mashindano ya Gossage.

Abdulwahid alifikia Railway Hotel na alikwenda kuonana na Kenyatta usiku akifuatana na rafiki yake mpenzi kutoka Zanzibar, mmoja wa wacheza mpira katika timu ya Zanzibar, Ahmed Rashad Ali.

Abdulwahid na Ahmed Rashad walikwenda nje kidogo ya Nairobi kwenye nyumba moja iliyokuwa imegubikwa na giza na kuzungukwa na walinzi wa Mau Mau.

Abdulwahid alikuwa anatarajiwa.

Kenyatta alipofahamishwa kuwa Abdulwahid amefika na yupo nje, alitoka kumlaki.

Kenyatta alikuwa akimfahamu Ally Sykes tangu mwaka 1946 Ally alipokwenda Nairobi baada ya kutoka vitani Burma.

Inawezekana kuwa kazi ya Abdulwahid ilirahisishwa na uhusiano huu wa Kenyatta na mdogo wake.

Ahmed Rashad alipeana mikono na Kenyatta.

Baada ya kutambulishwa Kenyatta, Abdulwahid, Fred Kubai, Bildad Kaggia na Kungu Karumba waliingia kwenye chumba kingine ambako mkutano ulifanyika.

Ahmed Rashad anasema yeye alibakia nje na mlinzi.

Miaka mingi baadae Ahmed Rashad alikutana na Rais Kenyatta Ikulu ya Nairobi wakati wa sherehe za uhuru wa Kenya mwaka wa 1963.

Jambo lililomstaajabisha Ahmed Rashad ni kuwa Kenyatta alimkumbuka kuwa alifuatana na Abdulwahid kwenye ule mkutano pale Nairobi mwaka wa1950.

Kenyatta akizungumza Kiswahili chenye lafidhi ya Kikikuyu alimkubusha kuhusu ule mkutano na Abdul Sykes.

Kenyatta alimwita mpiga picha wake na wakapiga picha ya pamoja.

Picha hii ilipamba sebule ya Ahmed Rashad kwa miaka mingi sana.
Kenyatta vilevile alimtunukia Ahmed Rashad tai yenye rangi za taifa la Kenya.

Ajenda kuu ya mkutano ule ilikuwa namna ya kuunganisha harakati za wananchi wa Kenya na Tanganyika dhidi ya Waingereza.

Wakati huo Wakikuyu walikuwa tayari wamekwishaanza mapambano ya silaha na majeshi ya Waingereza na hali ya siasa nchini Kenya ilikuwa ya wasiwasi sana.

Inawezekana mkutano huu ulifanyika katika mtaa wa Eastleigh, sehemu ambayo mikutano mingi ya Mau Mau katika miaka ya 1950 kabla ya kutangzwa hali ya hatari ilikuwa ikifanyika.

1640883293442.png

Kushoto ni Ahmed Rashad Ali, Dr. Harith Ghassany na Mohamed Said nimemshika mjukuu wake Badru.
 
Kwa wasomaji , ile hati miliki ya Historia si ndiyo hii?

Msijali hapo mwisho mzee kaghadhabika anasema '' utakufa'' sijui nani miongoni mwetu!!

Mohamed mnakasha umekuwa huu, na hayo ndiyo alikufundisha Sheikh Haruna !

''Hutompata. Utakufa'' eeeh jamani mi naona hapa ni pagumu, hadi kuapizana misiba '' utakufa'' !!
Nguruvi,
Nisingekujibu ila kwa hayo maneno kuyageuza.

Ukimwambia mtu mathalan, ''Amin alipowafukuza Wahindi Uganda ukimtafuta mmoja wa dawa huwezi kumpata utakufa na maradhi yako.''

Haina maana unamwapiza yule unaemuhadithia.
 
Ni kweli hatimiliki Nguruvi3 sijaona tatizo liko wapi? Ni kwasababu kakupa wasaa wa kukupa ilmu toka 2010 kama ulivyosema juzi, lakini kiukweli Ana hatimiliki na huyu ndie family ya sykes ilimpa ushirikiano kwa karibu kukamilisha tawasifu, ukiachana na Daisy sykes sidhani kama kuna anaemsogelea Mohamed Said kwenye hilo aliloeleza
Makala...
Baada ya watafiti kujua kuwa kuna historia nyingine ya TANU pamoja na watu wa kawaida na vyombo vya habari kujua kuwa ipo historia ambayo kwa miaka ilikuwa haifahamiki walikuwa wananitafuta kwa mahojiano.

Watafiti wengi wakawa na hamu kubwa ya kuziona Nyaraka za Sykes na wakawa wananiomba mimi niwasaidie.

Bahati mbaya sana wenye nyaraka zao hawataki kuzionyesha.
Wakiendewa wanasema, ''Mbona Mohamed Said kaandika kitabu?''
 
Ni kweli hatimiliki Nguruvi3 sijaona tatizo liko wapi? Ni kwasababu kakupa wasaa wa kukupa ilmu toka 2010 kama ulivyosema juzi, lakini kiukweli Ana hatimiliki na huyu ndie family ya sykes ilimpa ushirikiano kwa karibu kukamilisha tawasifu, ukiachana na Daisy sykes sidhani kama kuna anaemsogelea Mohamed Said kwenye hilo aliloeleza
Hakuna shida ikiwa kuna familia zilimpa hati miliki zao! lakini hati miliki za historia hizo si hatimiliki za historia ya Tanganyika. Historia ya Tanganyika ni kubwa kuliko mtaa mmoja au kikundi cha watu.
Historia inaandikwa kama ilivyojidhihiri na si kubumba ! Hakuna hati miliki ya Historia ya nchi yetu, period.
 
Historia ya Tanganyika ni ipi?
 
Huyu ni mtanganyika mwingine aliyeandika historia ya Tanganyika kutokana na experience zake na za rafiki na ndugu zake lakini hajadai kuwa ndugu zake au wagalatia wenzake wanahitaji kuheshimiwa zaidi ya wengine kutokana na michango yao.

Kijana Fundi Mchundo

Amandla....

cc. Nguruvi3
Fundi...
Kitabu hiki wewe unakiona leo.

Mimi si tu nimekisoma miaka mingi iliyopita lakini kuna sura nzima ndani ya kitabu hicho isome kisha jiulize nani kaandika?

Nakuwekea hapo chini kipande kidogo:

Appendix I: Sykes of Tanzania Remembers the Fifties Peter Colmore: The Man With the Midas Touch A personal memoir of East Africa's first and most succesful impresario by his longtime friend and business associate, the equally illustrious ALLY SYKES of Tanzania.

''In 1958 I formed my first company, Sykes Sales Promotion Consultancy, and an old friend, Peter Colmore, who had by then built up a very successful sales promotion business in Nairobi, appointed me his agent in Tanganyika.

I first met Peter in Nairobi in 1942, during the Second World War. I was at Kabete waiting to be transported overseas for active service. We met at a record shop - East African Music Store.

Both of us were in the uniform of the King’s African Rifles (KAR), so we exchanged greetings and a few words.

Our meeting in this record shop was an omen, because later our relationship would evolve around music and the business enterprise we would build.

Colmore was at that time a lieutenant and aide de camp to General Sir William Platt, Commander in Chief of the East African Forces.

I was a lance corporal...''

Kama una swali niulize.

1640893791560.png

Peter Colmore na Mohamed Said Nairobi 1995

1640892962642.png

Ally Sykes na Peter Colmore Paris 1963
 
Kaka Mohamed Said nadhani kuna haja yakukisoma hichi Kitabu, huyu muandishi nadhani atawafunza hawa wenzetu wakaidi wa historia, nimefurahi sana kimeletwa na huyu Fundi Mchundo kuna mengi naimani yatambadilisha fikra zake akiwa "open minded na open hearted"
Makala...
Mohamed Ali katika kitabu chake, ''The Greatest My Own Story,'' anasema ilifika wakati katika ngumi akawa anawaonea huruma wapinzani wake katika ulingo kwa jinsi alivyokuwa anawaelemea na akawa anatamani muamuzi amalize pambano.

Wameniletea Eccles nimewaeleza kuwa huyu nimemsoma miaka 22 iliyopita na nikaeleza uwezo wake katika uandishi.

Wameniletea Paul Bjerk nikawaeleza kuwa tunafahamiana.

(Tena nitaongeza kitu alitaka nitoe msaada kwa Nyerere Foundation wakati huo ndiyo inaanzishwa. Haya si ya kusema hapa lakini nataka hawa ndugu zangu waamke).

Nikawaeleza kuwa kuna makosa katika hayo waliyoandika tena bahati mbaya sana kwa lugha ya kijeuri.

Mimi nimewapa majibu yangu kiungwana na nikaweka na picha ya babu yangu na viongozi wenzake wa TRAU.

Ndipo nikakuomba usubiri kidogo akili zao zitulie.

Mimi siandiki kwa lugha ile yao.

Ningeweza kuwafanya kichekesho lakini adabu ya ilm hitaki haya.

Nakijua kitu naeleza kwa utaratibu sina zile kejeli na kebehi, ''kaa kitako unywe maji...'' nk. nk.

Mimi kalamu yangu ina ''trade mark.''
Sasa wamekuja na kitabu cha Mwakikagile...

Mimi nimekisoma hiki kitabu miaka 10 iliyopita.

Wanasema kuwa mimi nimesema gazeti la kwanza ni Zuhra la Ramadhani Mashado Plantan.

Mimi siwezi kusema kitu kama hicho hasa kwa kutambua kuwa gazeti lake la kwanza ni Dunia na kabla ya Zuhra gazeti la kwanza kumilikiwa na Mwafrika lilikuwa Kwetu la Erika Fiah.

Nimemwadika Erika Fiah na Mashado Plantan kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.

Nataka wao waseme nini wamekutana ndani ya kitabu hicho cha au wewe kaka hebu waambie wewe umeona nini.

Hebu wasome Appendix I.

Huwa naingiwa na huruma.
Inahitaji kwa hakika subra ya hali ya juu.

1640896366254.png

Ramadhani Mashado Plantan

1640896253080.png

Erika Fiah
 
Fundi...
Kitabu hiki wewe unakiona leo.

Mimi si tu nimekisoma miaka mingi iliyopita lakini kuna sura nzima ndani ya kitabu hicho isome kisha jiulize nani kaandika?

Nakuwekea hapo chini kipande kidogo:

Appendix I: Sykes of Tanzania Remembers the Fifties Peter Colmore: The Man With the Midas Touch A personal memoir of East Africa's first and most succesful impresario by his longtime friend and business associate, the equally illustrious ALLY SYKES of Tanzania.

''In 1958 I formed my first company, Sykes Sales Promotion Consultancy, and an old friend, Peter Colmore, who had by then built up a very successful sales promotion business in Nairobi, appointed me his agent in Tanganyika.

I first met Peter in Nairobi in 1942, during the Second World War. I was at Kabete waiting to be transported overseas for active service. We met at a record shop - East African Music Store.

Both of us were in the uniform of the King’s African Rifles (KAR), so we exchanged greetings and a few words.

Our meeting in this record shop was an omen, because later our relationship would evolve around music and the business enterprise we would build.

Colmore was at that time a lieutenant and aide de camp to General Sir William Platt, Commander in Chief of the East African Forces.

I was a lance corporal...''

Kama una swali niulize.

View attachment 2063192
Peter Colmore na Mohamed Said Nairobi 1995

View attachment 2063175
Ally Sykes na Peter Colmore Paris 1963
You flatter yourself Mohammed. Kuwekwa kwenye appendix hakumaanishi kuwa ulishiriki kuandika kitabu. Hakuna mtu anapinga kuwa unajua historia ya wakina Sykes na ni mpambe wao mkubwa. Tunachokipinga ni wewe kutaka kuwapa wakina Sykes na ndugu zako wa Gerezani hati miliki ya madai ya uhuru wa Tanganyika. Mwandishi wa kitabu hiki amesema wazi kuwa hakuna kikundi katika jamii kinastahili sifa kuliko kingine katika mpambano mzima wa kudai ukombozi. Na ame ku criticize wewe kwa kuangalia kila kitu kwa darubini la udini. Na mimi nakubaliana nae. Urafiki wa Peter Colmore na Ally Sykes ni ushahidi wa dhahiri kabisa kuwa wakina Sykes hawakutangulizi udini au rangi katika maisha yao ya kisiasa na ya kibinafsi. Wewe ndio unawachafua kwa kuwafanya vinara wa udini. Bahati mbaya hilo hulioni.

Amandla...

Kijana Fundi Mchundo
 
Historia ya Tanganyika ni ipi?
Makala...
Mwakikagile ameandika maneno haya hapo chini kuhusu Julius Nyerere:

''It was when he was at Makerere that his leadership qualities came to be noticed when he formed the Tanganyika Welfare Association intended to help the small number of students from Tanganyika to work together as a collective entity for their own well-being.

It was not a political organization but had the potential to become one.

The welfare association soon forged ties and eventually merged with the Tanganyika African Association (TAA), an organization founded by African civil servants in Tanganyika in 1929, to address their problems.

But they had to operate within prescribed limits, as defined by the colonial authorities who said the association could only deal with welfare problems; nothing political.''

Anasema Tanganyika Welfare Association (TWA) ikaungana na TAA.
Mwaka gani TWA iliungana na TAA?

Nani walikuwa viongozi wa huo muungano?
Nani walikuwa vongozi wa TWA?

Lakini mimi huchukua haya kama makosa ya mwandishi ambae haijui historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hiki kitabu kama nilivyoletewa hivyo vingine ndiyo wananiletea mimi.
Ndipo husema naona huruma.
 
Makala...
Hapana haja ya kuvutana.
Ngoja nikueleze jambo.

Paul Bjerk tunafahamiana.
Hafiki nchini mtafiti yeyote ila atanitafuta kunihoji.

Inazungumzwa Railway African Association (RAA) 1945.
Mimi nazungumza Tanganyika Railways African Union (TRAU) 1955.

Hamaki ziko juu sana.
Inatakikana pawepo kwanza utulivu ili kejeli na kebehi ziondoke.

Nakushauri subiri kidogo patulie In Shaa Allah akili zirejee mahali pake.

View attachment 2062245

Kulia Kassanga Tumbo anaefuatia ni Salum Abdallah amevishwa mgolole kama ishara ya deraya ya vita katika kipindi kile TRAU iko katika migomo dhidi ya Waingereza.

Picha inazungumza maneno 1000 huwa najiambia ingekuwaje ingekuwa sina picha hizi za babu yangu na Kassanga Tumbo niwe na maneno matupu.

Katika hali kama hii nani angeniamini?

Wakati wa mgomo wa 1960 nyumbani kwa babu yangu ilikuwa mfano wa Command Post wakikutana pale wakifuatilia taarifa vipi magazeti yalivyokuwa yanauandika mgomo.

Mwaka 1935 kuna klabu ya mpira ya Kings of the Match ilizaliwa Kariakoo. Baada ya muda ikabadili jina ikajiita Eagles. Baada ya muda ikabadili jina ikajiita Sunderland. Na baada ya muda ikabadili jina ikajiita Simba Sports Club. Klabu ni ile ile lakini majina ni tofauti.
Railway African Associatio ya mwaka 1945 ndio chimbuko la Railway Workers Union iliyosajiliwa mwaka 1950 na baadae ikaitwa Tanganyika Railway African Union ambayo Katibu Mkuu wake mwaka 1957 alikuwa E.N.N. Kanyama na sio Kasanga Tumbo. Kilichoanzishwa mwaka 1955 ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi wa Tanganyika (TFL) kutokana na vyama vya wafanyakazi waliokuwepo.

Umeweka picha ya Kasanga Tumbo na babu yako bila kutuambia ilichukuliwa mwaka gani na nafasi ya babu yako katika TRAU wakati ule. Kuna uwezekano kabisa kuwa babu alikuwa kiongozi wa tawi la TRAU la Tabora na alipiga picha na Kasanga Tumbo ambae alitokea Tabora. Tofauti na unavyotaka kutuaminisha, picha peke yake haitoshi kuipa credibility simulizi yako. Unatuambia kuwa walikuwa wanakutana nyumbani kwa babu yako kufuatilia mgomo wa 1960 bila ushahidi wowote isipokuwa simulizi zako. Kama ni kweli hiyo basi bila shaka Christopher Kasanga Tumbo aliisimulia katika kitabu chake. Aidha, watu kunakuwa na sababu nyingi za watu kukutania mahali fulani na sio lazima mwenye hiyo nafasi awe ni kiongozi mkuu wa shughuli hiyo.

Unasema unafahamiana na Paul Bjerk na alikuhoji wakati anafanya utafiti wa kitabu chake. Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kuwa bila shaka ulimsimulia kuhusu mchango wa babu yako hakumtaja katika kitabu chake na sijaona mahali ambapo amekuweka kama reference ya kitabu chake. Watafiti wanahoji watu wengi katika utafiti wao lakini wanapokaribia ku publish matokeo ya tafiti zao wanachuja hizo taarifa na wanabakiza zile ambazo zinaweza kuwa substantiated. Taarifa kama zako zinabakia anecdotal.

Mpaka sasa hivi haujaweka uthibitisho wowote wa unayoyasema zaidi ya kutuwekea picha ulizopiga picha ulizopiga na uliowataja. Kijana Fundi Mchundo anaweza kuwa na picha alizopiga na viongozi wa serikali lakini haina maana kuwa ni msiri wao.

Amandla...
Kijana Fundi Mchundo

cc. Nguruvi3
 
Makala...
Mwakikagile ameandika maneno haya hapo chini kuhusu Julius Nyerere:

''It was when he was at Makerere that his leadership qualities came to be noticed when he formed the Tanganyika Welfare Association intended to help the small number of students from Tanganyika to work together as a collective entity for their own well-being.

It was not a political organization but had the potential to become one.

The welfare association soon forged ties and eventually merged with the Tanganyika African Association (TAA), an organization founded by African civil servants in Tanganyika in 1929, to address their problems.

But they had to operate within prescribed limits, as defined by the colonial authorities who said the association could only deal with welfare problems; nothing political.''

Anasema Tanganyika Welfare Association (TWA) ikaungana na TAA.
Mwaka gani TWA iliungana na TAA?

Nani walikuwa viongozi wa huo muungano?
Nani walikuwa vongozi wa TWA?

Lakini mimi huchukua haya kama makosa ya mwandishi ambae haijui historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hiki kitabu kama nilivyoletewa hivyo vingine ndiyo wananiletea mimi.
Ndipo husema naona huruma.

Si unasema mliandika wote hicho kitabu? Kwa nini haukumsahihisha wakati mnakiandika? Yote haya unayaleta baada ya kukuambia kuwa tofauti na ulivyotaka kutuaminisha, Mwakikagile alikuita mdini.

Sasa turudi kwenye hiyo taarifa ya Tanganyika Welfare Association unayoikosoa. Chama hiki kilianzishwa na Mwalimu, Andrew Tibaindebage na Hamza Mwapachu wakiwa wanafunzi Makerere ili kutetea maslahi ya wanafunzi waliokuwa wanasoma huko. Baadae walikigeuza kuwa tawi la TAA Makerere, Nyerere akiwa Rais wa tawi hilo. Shida yako unadhani Nyerere aliijua TAA kutokana na wakina Sykes na kwa sababu wakina Sykes hawakwenda Makerere basi hamna jinsi Nyerere angeweza kujiunga na TAA.

Huu ni ushahidi kuwa haujui historia kamili ya uhuru wa Tanganyika kwa sababu kwako wewe historia yote ilianzia na kuishia Gerezani.

Amandla...

Kijana Fundi Mchundo

cc. Nguruvi3
 
Mimi mahali nililoamini hakika kuwa J.K Nyerere ni kichwa na Mzalendo ni kwenye ile interview ya ''Prospects of Mankind'' na Anna Roosevelt
 
Si unasema mliandika wote hicho kitabu? Kwa nini haukumsahihisha wakati mnakiandika? Yote haya unayaleta baada ya kukuambia kuwa tofauti na ulivyotaka kutuaminisha, Mwakikagile alikuita mdini.
Inashangaza sana , anataka credit za ushiriki hataki kuwa sehemu ya ushiriki. Weird
Sasa turudi kwenye hiyo taarifa ya Tanganyika Welfare Association unayoikosoa. Chama hiki kilianzishwa na Mwalimu, Andrew Tibaindebage na Hamza Aziz wakiwa wanafunzi Makerere ili kutetea maslahi ya wanafunzi waliokuwa wanasoma huko. Baadae walikigeuza kuwa tawi la TAA Makerere, Nyerere akiwa Rais wa tawi hilo. Shida yako unadhani Nyerere aliijua TAA kutokana na wakina Sykes na kwa sababu wakina Sykes hawakwenda Makerere basi hamna jinsi Nyerere angeweza kujiunga na TAA.
Miaka iliyopita Mohamed alisema '' A. Sykes alimuungiza Nyerere katika siasa''.

Tulimtembeza Mo katika maandiko yake mwenye na ku-prove Nyerere alianza siasa Makerere. Akiwa Tabora alikuwa katibu wa tawi la TAA na mwaka 1948 alihudhuria mkutano Dar es Salaam. Kwamba, eti Abdul alimjua Mwl miaka ya 50! Hivi zama za 40 na 50 msomi kama Nyerere na katibu wa Tawi muhimu kama Tabora hakujulikana na HQ ya Sykes.
Huu ni ushahidi kuwa haujui historia kamili ya uhuru wa Tanganyika kwa sabbu kwako wewe historia yote ilianzia na kuishia Gerezani.
Ndio maana tukimuuliza atuoenyeshe sehemu moja tu, I mean moja nje ya Gerezani Abdul alipofanya mkutano wa siasa, Mohamed hana jibu. Kama atakaribia jibu atakueleza mikutano ya siri na Jomo Kenyatta huko Kenya. Mkutano wa faragha Kenya si Tanganyika ni nchi tofauti Mo!

Mohamed asiyetueleza wapi Abdul aliwashirikisha Watanganyika ndiye anataka umma uamini harakati za Familia zake ni harakati za Tanganyika. Tuna Video za Nyerere akiwa Lindi na kwingine akihutubia mikutano ya siasa, hatuna picha ya Abdulwahid Sykes

Mohamed anatuhumu wasomi wa misheni, asichokumbuka kuanzia 1929 Kleist akiwa Katibu mkuu wa AA hadi Abdul anashindwa uchaguzi wa Arnatouglo hakukuwepo katiba ya chama.

Aliyeandika katiba ya chama ni Nyerere katika transformation ya chama kutoka Familia kuwa mali ya nchi. Kwa nia ya kufifisha mchango huo Mohamed atakuambia Nyerere ali-copy katiba ya Nkrumah, well, hilo mbona halikufanyika miaka 20 ya utawala wa Familia ya Sykes?

Fundi hicho kitabu cha Mwakingile nilikisoma kitambo, nilikipoteza ahsante kwa kukileta nakirejea
 
Railway African Association ya mwaka 1945 ndio chimbuko la Railway Workers Union iliyosajiliwa mwaka 1950 na baadae ikaitwa Tanganyika Railway African Union ambayo Katibu Mkuu wake mwaka 1957 alikuwa E.N.N. Kanyama na sio Kasanga Tumbo. Kilichoanzishwa mwaka 1955 ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi wa Tanganyika (TFL) kutokana na vyama vya wafanyakazi waliokuwepo.
Aione hii !
Umeweka picha ya Kasanga Tumbo na babu yako bila kutuambia ilichukuliwa mwaka gani na nafasi ya babu yako katika TRAU wakati ule.
''Intriguing''. Eti Babu alikuwa na wadhifa gani?
Kuna uwezekano kabisa kuwa babu alikuwa kiongozi wa tawi la TRAU la Tabora na alipiga picha na Kasanga Tumbo ambae alitokea Tabora.
Au kwavile alikuwa wa Miraba minne ( Mohamed anavyosema) pengine ni maarufu tu hata bila wadhifa, vinginevyo tungeshaambiwa nafasi yake
Tofauti na unavyotaka kutuaminisha, picha peke yake haitoshi kuipa credibility simulizi yako.
Tumeshtukia picha siku nyingi watu wakadhani ni inda, picha zina kazi za kuziba nyufa au matundu pale panapokosekana maelezo kama vile '' Wadhifa wa Babu TRAU'
Unatuambia kuwa walikuwa wanakutana nyumbani kwa babu yako kufuatilia mgomo wa 1960 bila ushahidi wowote isipokuwa simulizi zako.
Kwanini walikutana kwa Babu? Ni eneo salama au ni kutokana na wadhifa tusiojua leo hii
Unasema unafahamiana na Paul Bjerk na alikuhoji wakati anafanya utafiti wa kitabu chake. Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kuwa bila shaka ulimsimulia kuhusu mchango wa babu yako hakumtaja katika kitabu chake na sijaona mahali ambapo amekuweka kama reference ya kitabu chake. Watafiti wanahoji watu wengi katika utafiti wao lakini wanapokaribia ku publish matokeo ya tafiti zao wanachuja hizo taarifa na wanabakiza zile ambazo zinaweza kuwa substantiated. Taarifa kama zako zinabakia anecdotal.
Labda Bjerk hakupata wadhifa wa Babu, ni ngumu kutumbukiza jina kienyeji katika maandishi
Mpaka sasa hivi haujaweka uthibitisho wowote wa unayoyasema zaidi ya kutuwekea picha ulizopiga picha ulizopiga na uliowataja. Kijana Fundi Mchundo anaweza kuwa na picha alizopiga na viongozi wa serikali lakini haina maana kuwa ni msiri wao.
Hizi picha tulisema mapema zinatumiwa kuziba mashimo kama kiswahili hicho ni sahihi, kwa lugha ya Buckingham wanasema ''Bamboozle'
 
Hizo ndizo ngano wanasomeshwa watoto wa sekondari kwamba Tanganyika halikuwa Koloni na muingereza, nimekuuliza nani aliwaita waingereza? Na kwanini waliwaandama wapigania uhuru
Makala...
Kama nilivyokuambia kiasi cha siku mbili zilizopita kuwa subiri.
Mimi nishahitimisha.

Kitabu kipo huu sasa tunaingia mwaka wa 23 na nimeandika vitabu vingine katika kipindi hiki lakini hiki kitabu cha Abdul Sykes bado kinajadiliwa sasa miongo miwili tumeingia wa tatu.

Bado kitabu kinafanyiwa ''mapitio.''
Kama vile yale yaliyomo katika Cambridge Journal of African History hayajatosheleza.

Naam bado kinapitiwa na haya mapitio ndiyo yanakipa uhai kitabu hiki na sasa In Shaa Allah tutakwenda toleo la tano.

Kila siku napokea salaam na watu hata siwajui wananieleza kuwa wamekinunua kitabu changu na wanakisoma.

Kila msomaji anasema wanayosoma hawakupatapo kuyasoma popote si shule ya msingi, sekondari wala chuo kikuu.

Huyu ndiye Allah ana njia zake za ajabu sana.

Sikutegemea haya hata kwa mbali kuwa kitabu hiki kitakuja kuwa maarufu kwa kiasi hiki na kitabadili historia yote ya uhuru wa Tanganyika.

Anaetaka ugomvi na agombane na hawa wasomaji wa kitabu hiki si mimi.

Huku kwetu kwa kawaida kitabu baada ya mwaka maisha yake yanakuwa yamekwisha.

Si kitabu hiki.

Kitabu hiki mimi nimekitoa wakfu sichukui mrabaha.

Chapa uza chukua fedha.

Kuna msemo wa Kiingereza unasema, ''Silence is golden because it can never be repeated.''

Nawakalia kimya na pembeni.

Nitakuwa nakupa yale niyajuayo ili wewe ndugu yangu unufaike na yale ambayo huyajui.

Narudia kukuambia kuwa nimeshahitimisha na wewe nakuomba usubiri patulie.

In Shaa Allah tutarejea.

Nimeweka picha ya Buckingham Palace, London nimekaa kitako kwenye uzio wake.
Naamini unaelewa kwa nini nimekuwekea hii picha.

Watu huniambia kuwa walivyonidhani sivyo hadi walipoona picha zangu.

Kuna uhusiano wa mbali na hili gumzo letu baina yangu na wewe.

Kuna msemaji alimwambia mchoraji wa picha yake, ''Paint me as I am if you miss a single wrinkle I wont pay you a penny.''

Tuingie katika darsa kidogo.

Kitabu hiki ''A History of Tanzania,'' (1969) nimekuwekea picha yake hapo chini kimehaririwa na IN Kimambo na AJ Temu.

Kitabu hiki chote karibu kurasa 300 hakuna popote alipotajwa Abdul Sykes ingawa TAA na TANU zimetajwa.

Vipi utakuwa na TAA na TANU na Nyerere ndani ya kitabu chako bila ya Abdul Sykes?
Hii ndiyo historia yetu iliyo rasmi.

Lakini kitabu hiki ndicho kilichokuwa kikisomeshwa na kufanyiwa rejea na walimu wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Mimi siwalaumu nawachukulia kuwa hawajui na kama hawajui wajibu na dhima iliyokuwa juu yangu ilikuwa kuwasomesha walimu wangu historia ya wazee wangu.

Mwalimu wangu akipenda sana majibu ya yangu katika ''essay,'' yaani insha.

Siku moja baada ya kuandika insha kuhusu vyama vya wafanyakazi na nikamtaja babu yangu na Kassanga Tumbo aliniita ofisini kwake.

Mwalimu wangu huyu alikuwa kijana na kutoka bara akaniuliza huku insha yangu iko mikononi mwake, ''Mohamed wewe unaandika maneno haya wewe huogopi?''

Naamini umenielewa.

Mwalimu huyu akinipa alama za juu sana katika somo lake.

Laiti nisingeandika kitabu hiki historia ya uhuru wa Tanganyika ingekuwa hii ya Kimambo na Temu.

1640922567224.png

Buckingham Palace London 1992
20211231_072849.jpg
 
Makala...
Kama nilivyokuambia kiasi cha siku mbili zilizopita kuwa subiri.
Mimi nishahitimisha.

Kitabu kipo huu sasa tunaingia mwaka wa 23 na nimeandika vitabu vingine katika kipindi hiki lakini hiki kitabu cha Abdul Sykes bado kinajadiliwa sasa miongo miwili tumeingia wa tatu.

Bado kitabu kinafanyiwa ''mapitio.''
Kama vile yale yaliyomo katika Cambridge Journal of African History hayajatosheleza.

Naam bado kinapitiwa na haya mapitio ndiyo yanakipa uhai kitabu hiki na sasa In Shaa Allah tutakwenda toleo la tano.

Kila siku napokea salaam na watu hata siwajui wananieleza kuwa wamekinunua kitabu changu na wanakisoma.

Kila msomaji anasema wanayosoma hawakupatapo kuyasoma popote si shule ya msingi, sekondari wala chuo kikuu.

Huyu ndiye Allah ana njia zake za ajabu sana.

Sikutegemea haya hata kwa mbali kuwa kitabu hiki kitakuja kuwa maarufu kwa kiasi hiki na kitabadili historia yote ya uhuru wa Tanganyika.

Anaetaka ugomvi na agombane na hawa wasomaji wa kitabu hiki si mimi.

Huku kwetu kwa kawaida kitabu baada ya mwaka maisha yake yanakuwa yamekwisha.
Si kitabu hiki.

Kitabu hiki mimi nimekitoa wakfu sichukui mrabaha.
Chapa uza chukua fedha.

Kuna msemo wa Kiingereza unasema, ''Silence is golden because it can never be repeated.''

Nawakalia kimya na pembeni.

Nitakuwa nakupa yale niyajuayo ili wewe ndugu yangu unufaike na yale ambayo huyajui.

Narudia kukuambia kuwa nimeshahitimisha na wewe nakuomba usubiri patulie.
In Shaa Allah tutarejea.

Nimeweka picha ya Buckingham Palace, London nimekaa kitako kwenye uzio wake.
Naamini unaelewa kwa nini nimekuwekea hii picha.

Watu huniambia kuwa walivyonidhani sivyo hadi walipoona picha zangu.
Kuna uhusiano wa mbali na hili gumzo letu baina yangu na wewe.

Kuna msemaji aimwambia mchoraji wa picha yake, ''Paint me as I am if you miss a single wrinkle I wont pay you a penny.''

Tuingie katika darsa kidogo.

Kitabu hiki ''A History of Tanzania,'' (1969) nimekuwekea picha yake hapo chini kimehaririwa na IN Kimambo na AJ Temu.

Kitabu hiki chote karibu kurasa 300 hakuna popote alipotajwa Abdul Sykes ingawa TAA na TANU zimetajwa.

Vipi utakuwa na TAA na TANU na Nyerere ndani ya kitabu chako bila ya Abdul Sykes?
Hii ndiyo historia yetu iliyo rasmi.

Lakini kitabu hiki ndicho kilichokuwa kikisomeshwa na kufanyiwa rejea na walimu wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Mimi siwalaumu nawachukulia kuwa hawajui na kama hawajui wajibu na dhima iliyokuwa juu yangu ilikuwa kuwasomesha walimu wangu historia ya wazee wangu.

Mwalimu wangu akipenda sana majibu ya yangu katika ''essay,''yaani insha.

Siku moja baada ya kuandika insha kuhusu vyama vya wafanyakazi na nikamtaja babu yangu na Kassanga Tumbo aliniita ofisini kwake.

Mwalimu wangu huyu alikuwa kijana na kutoka bara akaniuliza huku insha yangu iko mikononi mwake, ''Mohamed wewe unaandika maneno haya wewe huogopi?''

Naamini umenielewa.
Mwalimu huyu akinipa alama za juu sana katika somo lake.

Laiti nisingeandika kitabu hiki historia ya uhuru wa Tanganyika ingekuwa hii ya Kimambo na Temu.

View attachment 2063431
Buckingham Palace London 1992
View attachment 2063449
Hakika, nimejiuliza huyu anaejiita Nguruvi3 anajitapa kwamba amefanya mijadala nawewe tangu 2010(jambo ambalo ni kama kukubali nafasi yako) lakini tena unamkuta analeta utovu wa nidhamu kwa maneno ya kifedhuli na yale adhaniayo yatakukela (japo sijui itamsaidia nini zaidi ya kumuumiza kisaikolojia), wamechagua upande mbaya sana.

Lakini hapa nazidi kuuona umuhimu wa wewe kuandika tawasifu yako hawa iko siko siku watadanganya Uma kwamba Moh alikuwa mcheza draft aliekimbia shule
 
Siyo mimi ni sisi wanaJF . Tumechambua vitabu vya Mohamed na kujadiliana naye. Je, huo si ukweli? Pili, utovu upi wa nidhamu nilioonyesha? Tatu, maneno ya kifedhuli ni yapi hayo?

Hakika, nimejiuliza huyu anaejiita Nguruvi3 anajitapa kwamba amefanya mijadala nawewe tangu 2010(jambo ambalo ni kama kukubali nafasi yako) lakini tena unamkuta analeta utovu wa nidhamu kwa maneno ya kifedhuli na yale adhaniayo yatakukela (japo sijui itamsaidia nini zaidi ya kumuumiza kisaikolojia), wamechagua upande mbaya sana.

Lakini hapa nazidi kuuona umuhimu wa wewe kuandika tawasifu yako hawa iko siko siku watadanganya Uma kwamba Moh alikuwa mcheza draft aliekimbia shule
Makala...
Mcheza draft aliyekimbia shule.

Umetia simanzi moyo wangu lau nimecheka kwa maneno hayo ya "mcheza draft."

Umenikumbusha marehemu mdogo wangu yeye alikuwa bingwa wa draft.

Alikuwa best student Chemistry Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam miaka 3 mfululizo.

Nikitulia nitakupa kisa In Shaa Allah kuhusu usomeshaji wa historia Chuo Kikuu.
 
Back
Top Bottom