Chief Erasto Mang'enya ni Marehemu. Huyu alikuwa Mbunge wa Muheza kabla ya Luka Kitandula
Mang'enya aliwahi kuwa Spika wa Bunge la JMT
JokaKuu Mag3[/USmbona tumefivhwa sana au ni mm nitu Adam sapi mkwawa Prius msekwa ana makinda had ndo gay
[/QUOTE]
Acheni unafik. Nyerere alivamia lini Zanzibar? Mtu pekee ambae baada ya Mapinduzi alikubali kuipa hifadhi meli ya Jamshed? Mtu ambae wakati giza lilitanda Zanzibar wakati wa utawala wa Karume aliwapokea wapemba, wahindi, wangazija ambao walikuwa wananyanyaswa Zanzibar. Wazanzibari mlichinjana kutokana na chuki kati wale ambao walionekana wana asili ya utwana na wale waliojihesabu kuwa ni waungwana. Dhambi ya biashara na tamaduni ya utumwa inawatafuna mpaka leo.Kaondoka madarakani nchi imefilisika , Kauwa maelfu ya wazanzibari katika uvamizi wake na wengi wa viongozi wa Zanzibar alishiriki katika mauwaji .
Mzimu wake unaendelea kuitesa Tanganyika mpaka leo. Kila uchaguzi wanauliwa watu Zanzibar na majeshi yake yaliyopiga kambi kila mtaa pamoja na usalama wake
Acheni unafik. Nyerere alivamia lini Zanzibar? Mtu pekee ambae baada ya Mapinduzi alikubali kuipa hifadhi meli ya Jamshed? Mtu ambae wakati giza lilitanda Zanzibar wakati wa utawala wa Karume aliwapokea wapemba, wahindi, wangazija ambao walikuwa wananyanyaswa Zanzibar. Wazanzibari mlichinjana kutokana na chuki kati wale ambao walionekana wana asili ya utwana na wale waliojihesabu kuwa ni waungwana. Dhambi ya biashara na tamaduni ya utumwa inawatafuna mpaka leo.
Amandla...
Kwenye kupigania Uhuru hutosikia majina ya machifu...hawa walikuwa beneti na wakoloni
Ajabu Nyerere alivyopewa nchi Tu..
Akaleta hawa machifu kwenye serikali..
Mang'enya
Fundikira na wengineo
Acheni unafik. Nyerere alivamia lini Zanzibar? Mtu pekee ambae baada ya Mapinduzi alikubali kuipa hifadhi meli ya Jamshed? Mtu ambae wakati giza lilitanda Zanzibar wakati wa utawala wa Karume aliwapokea wapemba, wahindi, wangazija ambao walikuwa wananyanyaswa Zanzibar. Wazanzibari mlichinjana kutokana na chuki kati wale ambao walionekana wana asili ya utwana na wale waliojihesabu kuwa ni waungwana. Dhambi ya biashara na tamaduni ya utumwa inawatafuna mpaka leo.
Amandla...
We kweli huna akili. Wamakonde, wanyasa n.k. walikuwepo Zanzibar hata kabla ya Mapinduzi. Wao kama wazanzibari weusi wengine walishiriki katika Mapinduzi. Karume mwenyewe alizaliwa Nyasaland. Karume alikuwa anawazungumzia wamakonde waliohamia baada ya Mapinduzi. Bila shaka hofu hii ndio iliyofanya watu wa wa bara kuzuiwa kuingia Zanzibar bila Pasi. Ila ungemsikiliza mwanzo ndio ungejua jinsi Mwalimu alivyowapendelea wazanzibari.Msikilize mwenyewe anasema, wamakonde walitoka wapi , wacha kutuletea propaganda Za kanisa hapa
We kweli huna akili. Wamakonde, wanyasa n.k. walikuwepo Zanzibar hata kabla ya Mapinduzi. Wao kama wazanzibari weusi wengine walishiriki katika Mapinduzi. Karume mwenyewe alizaliwa Nyasaland. Karume alikuwa anawazungumzia wamakonde waliohamia baada ya Mapinduzi. Bila shaka hofu hii ndio iliyofanya watu wa wa bara kuzuiwa kuingia Zanzibar bila Pasi. Ila ungemsikiliza mwanzo ndio ungejua jinsi Mwalimu alivyowapendelea wazanzibari.
Acha kuongozwa na hisia potofu za kidini. Nina shaka kama wewe ni muislamu kweli. Waislamu ninao wajua mimi sio wajinga jinga kama wewe.
Amandla...
Lissu amesema wapi kuwa wamakonde walivamia Zanzibar? Nilichokisikia mimi ni watanganyika kupoteza utaifa wao kwa kuingizwa kwenye utanzania kwa amri ya Mwalimu Nyerere. Pamoja na hiyo decree, Zanzibar iliendelea kuwa na Rais na serikali yake. Walioonewq hapa ni watanganyika, sio wazanzibari.
Kamsikilize vizuri. Mwalimu alisema kuwa alipata taarifa kuwa Karume anawafukuza wamakonde Zanzibar. Karume ndie aliyekiri kuwa wamakonde wa Zanzibar walisaidia sana katika Mapinduzi na ndio maana walipewa zawadi. Hali ya wamakonde wa Zanzibar ilikuwa duni kama ilivyokuwa weusi wengi waliokuwa wanaishi Zanzibar kabla ya Mapinduzi. Karume alikuwa anawalalamikia wamakonde waliokuwa wanatoka bara kuwafuata ndugu zao waliokuwa Zanzibar.Mimi sina akili Na huyo Baba yako Nyerere ni mwongo au vipi ? Yaani hukumsikia akisema walikuja Zanzibar kufanya nini?
Huwezi kuwakwepa machief kwenye tawala kipindi hicho, kwasababu walikuwa na nguvu kubwa za kijeshi na kiutawala.Kwenye kupigania Uhuru hutosikia majina ya machifu...hawa walikuwa beneti na wakoloni
Ajabu Nyerere alivyopewa nchi Tu..
Akaleta hawa machifu kwenye serikali..
Mang'enya
Fundikira na wengineo
Nimeandika nimefuta, nimeandika tena nikafuta, nikaandika tena nikafuta, mwishowe nikaona niache tu!..nadhani kwa kiasi fulani Machifu walipewa jina baya ili kuhalalisha maamuzi ya serikali ya Tanu kufuta uchifu.
..mfano mzuri ni propaganda dhidi ya Mangi Marealle kwamba alikwenda UN na kupinga petition ya Tanganyika kupata uhuru.
..USHAHIDI wa maelezo na maoni ya Mangi Marealle UN upo na alieleza mambo tofauti kabisa na ambavyo Watanganyika tumedanganywa kwa muda mrefu.
..Mangi Marealle alitetea Watanganyika kupewa uhuru na alisisitiza suala la Watanganyika kupatiwa nafasi nyingi zaidi za masomo kama maandalizi ya kujitawala.
..Mangi Marealle pia aliulizwa kuhusu nafasi ya Machifu ktk Tanganyika huru na jibu lake lilikuwa anapendekeza tuige mfumo wa Machifu wa Ghana.
..Hata Nyerere alipokuwa UN ali acknowledge mchango wa Mangi Marealle kabla yake kuwa unashabihiana na msimamo wake na wa Tanu.
..Hili suala anayetaka kujiridhisha aende kwenye ARCHIVE za UN atakuta mahojiano ya Mangi Marealle, na ya Mwalimu Nyerere, mbele ya kamati ya udhamini ya UN.
..Ukiacha hilo, kuna ushahidi wa Machifu wa Usukumani kuunga mkono Tanu. Kazi ya kuwashawishi Machifu wa Kisukuma ilifanywa na Paul Bomani.
..Nyerere alimheshimu Paul Bomani kutokana na ushawishi wake na kazi kubwa alivyofanya kuipenyeza Tanu kanda ya Ziwa.
..Jambo lingine ni mchango wa FEDHA toka Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kuendesha Tanu. Nimewahi kusoma kwamba kuna wakati kanda ya Ziwa ilikuwa inachangia 2/3 ya fedha za kuendesha chama. Kama sijakosea habari hii iko ktk kitabu cha John Illife kuhusu historia ya Tanganyika.
Cc Nguruvi3, Mamndenyi, Pascal Mayalla, Fundi Mchundo, MALCOM LUMUMBA
Kamsikilize vizuri. Mwalimu alisema kuwa alipata taarifa kuwa Karume anawafukuza wamakonde Zanzibar. Karume ndie aliyekiri kuwa wamakonde wa Zanzibar walisaidia sana katika Mapinduzi na ndio maana walipewa zawadi. Hali ya wamakonde wa Zanzibar ilikuwa duni kama ilivyokuwa weusi wengi waliokuwa wanaishi Zanzibar kabla ya Mapinduzi. Karume alikuwa anawalalamikia wamakonde waliokuwa wanatoka bara kuwafuata ndugu zao waliokuwa Zanzibar.
Nyerere alikuwa anasimulia maelezo ya Karume, lakini kwa upofu wa chuki zako unataka kumbebesha yeye mzigo huo.
Amandla...
Lissu amesema wapi kuwa wamakonde walivamia Zanzibar? Nilichokisikia mimi ni watanganyika kupoteza utaifa wao kwa kuingizwa kwenye utanzania kwa amri ya Mwalimu Nyerere. Pamoja na hiyo decree, Zanzibar iliendelea kuwa na Rais na serikali yake. Walioonewq hapa ni watanganyika, sio wazanzibari.
Amandla...
Lissu amesema wapi kuwa wamakonde walivamia Zanzibar? Nilichokisikia mimi ni watanganyika kupoteza utaifa wao kwa kuingizwa kwenye utanzania kwa amri ya Mwalimu Nyerere. Pamoja na hiyo decree, Zanzibar iliendelea kuwa na Rais na serikali yake. Walioonewq hapa ni watanganyika, sio wazanzibari.
Amandla...
Hamna aliyefukuzwa kwao. Karume alikuwa anafukuza wamakonde wageni kwa kuhofia kuwa watakijaza kisiwa chenu. Kwa maneno yake " wakiwa wengi kisiwa kitazama". Sasa wewe niambie sababu ulizosikia.Hujasikiliza kwa mihemko sababu ya kufukuzwa kwao ni ipi! Na walikuja Zanzibar kufanya nini
Sikiliza vizuri usitie maneno yako
Mjadala wote ulianza kwenye uongo wako kuwa watanganyika wamevamia Zanzibar. Ukasema uongo mwingine kuwa Nyerere amesema kuwa wamakonde wamevamia Zanzibar. Kwa mantik hiyo, posting yako ya Lissu ni kujenga hoja yako kuwa watanganyika/wamakonde wamevamia Zanzibar. Tatizo lako ni kuwa unajisemea tu.Wapi nilisema Lissu amesema wamakonde walivamia Zanzibar? Heeee umezidi unyerere
Hamna aliyefukuzwa kwao. Karume alikuwa anafukuza wamakonde wageni kwa kuhofia kuwa watakijaza kisiwa chenu. Kwa maneno yake " wakiwa wengi kisiwa kitazama". Sasa wewe niambie sababu ulizosikia.
Amandla...
Mjadala wote ulianza kwenye uongo wako kuwa watanganyika wamevamia Zanzibar. Ukasema uongo mwingine kuwa Nyerere amesema kuwa wamakonde wamevamia Zanzibar. Kwa mantik hiyo, posting yako ya Lissu ni kujenga hoja yako kuwa watanganyika/wamakonde wamevamia Zanzibar. Tatizo lako ni kuwa unajisemea tu.
Hivi unaona umenitukana kwa kuniambia kuwa nimejaa unyerere?!
Amandla....

Wamakonde wageni walikuja kufanya kitu gani? Akina Natepe ?
Kijana sisi ndio tumeyaona hayo mavamizi
Mbona umekaa kimya hapa