1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

Fundi Mchundo

Mohamed Said tumejadiliana naye sana, kitu kimoja nakuhakikishia mbali ya tuhuma kwa Nyerere, Mohamed hawezi kukutamka ikiwa '' Mapinduzi ni halali au ni Haramu''
Atazungusha zungusha na picha akiwa na wazungu baasi!
Huyu ndiye tunaambiwa ameandika mapinduzi lakini hana conclusion.

JokaKuu
Sidhani kama anaweza hata kusema kama kulikuwa na utumwa Zanzibar. Kwake yeye kila kitu anakiangalia kwa darubini la dini.
Tulijadiliana nae sana kuhusu imani yake kuwa ni waislamu wa Gerezani peke yake ndio wanaostahili kuenziwa kama waasisi wa madai ya Uhuru. Ukimsikiliza utadhani ni wakina Sykes peke yao ndio waliominywa na Nyerere ( kitu ambacho si kweli kwa sababu kwa muda mrefu ni wakina Sykes, Munanka na wachache wengine ndio walioruhusiwa kuwa mabepari wakubwa Tanzania) akisahau wakina Oscar Kambona, Christopher Kassanga Tumbo na wengine.

Amandla...
 
Nilijua kimbilio lako ni mdini mwenzako Mohammed Said. Utamuamini vipi mtu anayedai kuwa waarabu hawakuua waafrika wala kuwatesa!

Ili upate balance, nakushauri usome kitabu cha Ali Sultan Issa, kinachoitwa Walk on Two Legs, aliyezaliwa Wete, Pemba mwaka 1932, mwanachama wa ZNP ambae alihamia chama cha Umma. Anazungumzia waafrika waliojiita washirazi ili kujitofautisha na wale walioletwa kama watumwa au wafanyakazi. Anazungumzia watumwa walioletwa kutoka Congo. Anazungumzia mjomba wake aliyerithi mtumwa kutoka kwa babu yake. Aliwajua watu waliokuwa watumwa. Anazungumzia jinsi waarabu wa Pemba walivyozaa na waafrika. Yeye mwenyewe upande wa mama yake asili yao ilikuwa Yemen, upande wa baba Oman. Hata hivyo mama wa bibi yake mzaa mama, ( aliitwa Bibi Ruzuna Binti Tamim, aliyewahi kuwa mke wa Sultan Ali bin Hamoud) alikuwa mzaramo na bibi huyo huyo alikuwa na damu ya wanandi kutoka Kenya. Huyu bwana alikuwa rafiki mkubwa wa Babu na anaelezea kuhusu ushirikiano kati ya chama cha Umma na ASP kuandaa mapinduzi ya Zanzibar. Anaelezea jinsi wao wakommunisti waliwaachia shughuli nzima ASP Youth League kwa sababu wao hawakuwa wengi na serikali iliwahofia zaidi UMMA kuliko ASP. Anaelezea jinsi Yusuf Himidi, Said wa Shoto, Abdullah Said Natepe, Khamis Darweshi, Ramadhan Haji, Pili Khamis, Seif Bakari na Saidi Iddi walivyoongoza uvamizi wa armoury iliyokuwa Ziwani. Hawa walivamia pia Police Barracks zilizokuwa Mtoni. Ukitaka kujua zaidi kuhusu Mapinduzi soma dissertation ya Ph. D ya Ann Lee Grimstad aliyoitetea mwaka 2018 katika Chuo Kikuu cha Florida. Kama nilivyokuambia hapo awali, udini unakupa ujinga. Usiwasikilize wakina Mohammed Said peke yao. Fanya utafiti wako mwenyewe ndio utajua ukweli.

Kwangu mimi sina zaidi ya kuchangia kuliko haya. Una uhuru wa kuamini utakacho.

Amandla....

Wewe umemsoma Ali Sultan , Mimi ni jamaa yangu Na ukoo Wake wote nauelewa . Hiyo nyumba yso akiishi Baba yake Bwana Sultan bin Issa nilikuwa siondoki pale Utaani , Wete. Na yule mama yake Ni Badria. Hicho kitabu Chake kaandika mwenyewe kuwa akivuta bangi kabla kufanya kazi. Halafu nikuambie mtu aliyemweka kizuizini Baba yake mzazi zaidi ya mara 3 utamwamini?
 
Sidhani kama anaweza hata kusema kama kulikuwa na utumwa Zanzibar. Kwake yeye kila kitu anakiangalia kwa darubini la dini.
Tulijadiliana nae sana kuhusu imani yake kuwa ni waislamu wa Gerezani peke yake ndio wanaostahili kuenziwa kama waasisi wa madai ya Uhuru. Ukimsikiliza utadhani ni wakina Sykes peke yao ndio waliominywa na Nyerere ( kitu ambacho si kweli kwa sababu kwa muda mrefu ni wakina Sykes, Munanka na wachache wengine ndio walioruhusiwa kuwa mabepari wakubwa Tanzania) akisahau wakina Oscar Kambona, Christopher Kassanga Tumbo na wengine.

Amandla...

Wewe amini haya aliyokuambia Kardinali Pengo kuwa , Yesu kawapa kazi ya kuulinda muungano Kwa hali yoyote. Na Muungano kauleta Mungu wenu Yesu

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu
-
May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Fundi Mchundo

Mohamed Said tumejadiliana naye sana, kitu kimoja nakuhakikishia mbali ya tuhuma kwa Nyerere, Mohamed hawezi kukutamka ikiwa '' Mapinduzi ni halali au ni Haramu''
Atazungusha zungusha na picha akiwa na wazungu baasi!
Huyu ndiye tunaambiwa ameandika mapinduzi lakini hana conclusion.

JokaKuu
Sidhani kama anaweza hata kusema kama kulikuwa na utumwa Zanzibar. Kwake yeye kila kitu anakiangalia kwa darubini la dini.
Tulijadiliana nae sana kuhusu imani yake kuwa ni waislamu wa Gerezani peke yake ndio wanaostahili kuenziwa kama waasisi wa madai ya Uhuru. Ukimsikiliza utadhani ni wakina Sykes peke yao ndio waliominywa na Nyerere ( kitu ambacho si kweli kwa sababu kwa muda mrefu ni wakina Sykes, Munanka na wachache wengine ndio walioruhusiwa kuwa mabepari wakubwa Tanzania) akisahau wakina Oscar Kambona, Christopher Kassanga Tumbo na wengine.

Amandla...

Hayo unayoyaandika ni Pumba tupu

Mimi nimeshuhudia hayo Mapinduzi Na Pia tukiwaona watu hata kiswahili hawajui wakipita mitaani Na wengine kiswahili Chao cha Tanganyika

Msikilize John Okello Na kitabu Chake halafu

Nitakuwekea Hao watu wa Umma Party wanaongea kitu gani
Sidhani kama anaweza hata kusema kama kulikuwa na utumwa Zanzibar. Kwake yeye kila kitu anakiangalia kwa darubini la dini.
Tulijadiliana nae sana kuhusu imani yake kuwa ni waislamu wa Gerezani peke yake ndio wanaostahili kuenziwa kama waasisi wa madai ya Uhuru. Ukimsikiliza utadhani ni wakina Sykes peke yao ndio waliominywa na Nyerere ( kitu ambacho si kweli kwa sababu kwa muda mrefu ni wakina Sykes, Munanka na wachache wengine ndio walioruhusiwa kuwa mabepari wakubwa Tanzania) akisahau wakina Oscar Kambona, Christopher Kassanga Tumbo na wengine.

Amandla...

Sorry unaleta mambo ya vitabu vya sykes wakati tunamzungumza Laanatullahi Nyerere Na uvamizi wa Zanzibar

Huyu Okello Mkatoliki alimleta nani Zanzibar ,
Kila mmoja anasema lake msikilize

Sidhani kama anaweza hata kusema kama kulikuwa na utumwa Zanzibar. Kwake yeye kila kitu anakiangalia kwa darubini la dini.
Tulijadiliana nae sana kuhusu imani yake kuwa ni waislamu wa Gerezani peke yake ndio wanaostahili kuenziwa kama waasisi wa madai ya Uhuru. Ukimsikiliza utadhani ni wakina Sykes peke yao ndio waliominywa na Nyerere ( kitu ambacho si kweli kwa sababu kwa muda mrefu ni wakina Sykes, Munanka na wachache wengine ndio walioruhusiwa kuwa mabepari wakubwa Tanzania) akisahau wakina Oscar Kambona, Christopher Kassanga Tumbo na wengine.

Amandla...

Hayo unayoyaandika ni Pumba tupu
Matusi ni silaha nyepesi kwa asiye na hoja, sijui kama unataka kuitumia !! au ilikuwa bahati mbaya
Mimi nimeshuhudia hayo Mapinduzi Na Pia tukiwaona watu hata kiswahili hawajui wakipita mitaani Na wengine kiswahili Chao cha Tanganyika
Swali langu kwako, kwavile mapinduzi yanakuwa ''implicated' kwa Nyerere, je, unaweza kutuambia ikiwa ni '' Halali au ni Haramu'?
 
Nimeandika nimefuta, nimeandika tena nikafuta, nikaandika tena nikafuta, mwishowe nikaona niache tu!
Ningeandika nilichokusudia ningeonekana mzandiki na mtu mwenye chuki dhidi ya Baba wa taifa...

Andika please..
Hata ukionekana mzandiki leo..
20 years from now Ukweli unaweza thibitika ..
Vizazi vijavyo vikaona kumbe walikuwepo waliojua ukweli
 
Collectiveness au Ujamaa unahitaji nidhamu ya hali ya juu. Kuwaamini wachache watunze pesa za wengi inahitaji kuweka kanuni madhubuti za adhabu itakayowapata wabadhirifu. Bila hivyo yanatokea yaliyotokea Urusi na hata hapa kwetu.

Ujamaa haujawahi kufanikiwa na kamwe hautafanikiwa, ujamaa kimsingi unataka kuwafanya watu wawe kama Machines/Robots kitu ambacho hakiwezekani kutokana na Sifa, hulka, mienendo, vipaji nk vya watu havilingani. Ujamaa unaweza kufanikiwa kwa muda mfupi tu lakini as time goes lazima ushindwe tu, ujamaa kimsingi ni against human nature, kwa upande mwingine Ubepari unafuata human nature isipokuwa tu inatakiwa serikali iweke mikakati thabiti kulinda maslahi na haki za watumishi chini ya ubebari.
 
Mabepari walipata faida kubwa enzi za utumwa na tangu pale mshahara wa kima cha chini sikuzote ni wa kumtosha mtu wa hali ya chini kununua chakula tu na kesho aende kazini.

Nchi zilizoendelea wasomi na wanaharakati ndiyo wana lobby kuweka hali za watu wa kima cha chini katika mazingira bora kwani vifo vyao kwa wingi vinaathiri hata uchumi wa nchi.

Ujamaa wa China angalau waliweza kujenga nyumba kwa wanavijiji, ujamaa wetu hatukujiandaa vyema kuweka mazingira ya vijiji yawe yakukalika.
 
Nimeandika nimefuta, nimeandika tena nikafuta, nikaandika tena nikafuta, mwishowe nikaona niache tu!
Ningeandika nilichokusudia ningeonekana mzandiki na mtu mwenye chuki dhidi ya Baba wa taifa...

Unaogopa kuitwa mzandiki na mwenye chuki kwa kueleza kitu unachodhani kina ukweli??!!----- au unataka kumfanya huyo Baba wa taifa Mungu--mtu asiyekosea??!, kuna mambo mengine alikosea katika uongozi wake na haitakuwa ni vibaya kuya adress bila kuweka chumvi.
 
Matusi ni silaha nyepesi kwa asiye na hoja, sijui kama unataka kuitumia !! au ilikuwa bahati mbaya

Swali langu kwako, kwavile mapinduzi yanakuwa ''implicated' kwa Nyerere, je, unaweza kutuambia ikiwa ni '' Halali au ni Haramu'?
Kwani kuuwa watu kwa maelfu, kunajisi mpaka maiti, kupora mali ni halali kwa mujibu wa dini gani?

Hivi lipi umeliona ni tusi hapo ?
 
Unaogopa kuitwa mzandiki na mwenye chuki kwa kueleza kitu unachodhani kina ukweli??!!----- au unataka kumfanya huyo Baba wa taifa Mungu--mtu asiyekosea??!, kuna mambo mengine alikosea katika uongozi wake na haitakuwa ni vibaya kuya adress bila kuweka chumvi.
Kuzungumza ukweli ndani ya jamii iliyozea kuishi kwa wongo na ulaghai ni sawa na kutupa lulu kwa nguruwe.
Suala siyo tu kuzungumza, bali kufanya mjadala ambao unaweza kujenga na kulibadilisha vema taifa letu.
Kama watanzania tungekuwa ni watu wa kupenda ukweli basi tungekuwa tumeshabadilika zamani sana.
 
Andika please..
Hata ukionekana mzandiki leo..
20 years from now Ukweli unaweza thibitika ..
Vizazi vijavyo vikaona kumbe walikuwepo waliojua ukweli
Mkuu, kwaleo nanyamaza lakini Mungu akinipa kibali nitasema!
 
Sky Eclat ,

..Operation vijiji vya Ujamaa ilisababisha kilimo cha zao la korosho kuanguka ktk mikoa ya kusini.

..pia uamuzi wa serikali kutaifisha mashamba ya mkonge kusababisha sekta hiyo kuporomoka.

..Na mpaka hivi tunavyozungumza uzalishaji wa mazao hayo haujakaa sawa kutokana na athari za maamuzi yetu huko nyuma.

..ukitaka kujua mitikisiko ya kiuchumi tuliyopitia ktk awamu ya kwanza tafuta vitabu vya Edwin Mtei, na Sir Andy Chande.
 
Kuzungumza ukweli ndani ya jamii iliyozea kuishi kwa wongo na ulaghai ni sawa na kutupa lulu kwa nguruwe.
Suala siyo tu kuzungumza, bali kufanya mjadala ambao unaweza kujenga na kulibadilisha vema taifa letu.
Kama watanzania tungekuwa ni watu wa kupenda ukweli basi tungekuwa tumeshabadilika zamani sana.

Tatizo Hao walimu walioliongoza taifa Tokea mwanzo walikuwa wakifundisha uongo
 
Sky Eclat ,

..Operation vijiji vya Ujamaa ilisababisha kilimo cha zao la korosho kuanguka ktk mikoa ya kusini.

..pia uamuzi wa serikali kutaifisha mashamba ya mkonge kusababisha sekta hiyo kuporomoka.

..Na mpaka hivi tunavyozungumza uzalishaji wa mazao hayo haujakaa sawa kutokana na athari za maamuzi yetu huko nyuma.

..ukitaka kujua mitikisiko ya kiuchumi tuliyopitia ktk awamu ya kwanza tafuta vitabu vya Edwin Mtei, na Sir Andy Chande.

Kwanini Nyerere alingo'a reli ya kusini?

Kwanini aliunga mkono waasi wa Nigeria against OAU?
 
Sky Eclat ,

..Operation vijiji vya Ujamaa ilisababisha kilimo cha zao la korosho kuanguka ktk mikoa ya kusini.

..pia uamuzi wa serikali kutaifisha mashamba ya mkonge kusababisha sekta hiyo kuporomoka.

..Na mpaka hivi tunavyozungumza uzalishaji wa mazao hayo haujakaa sawa kutokana na athari za maamuzi yetu huko nyuma.

..ukitaka kujua mitikisiko ya kiuchumi tuliyopitia ktk awamu ya kwanza tafuta vitabu vya Edwin Mtei, na Sir Andy Chande.
Nilisoma jarida moja nikaona jinsi mkonge ulivyo watajirisha wakulima kama Karimjee Jevanjee. Wakati wa vita ya Vietnam mkonge uliuzika sana kwani ulihitajika kwa kufungua gati za meli pia kufungashia silaha kwakua mkonge hauna athari na silaha hasa zenye kemikali kama ilivyo plastic. Wakati huo tano moja ya mkonge ilifika kuuzia £300.

Uwekezaji katika kilimo unahitaji pesa nyingi kama walivyowekeza wakina Karimjee, hakuna mwekezaji atakae toa pesa nyingi kama hakuna sera rafiki kwa wawekezaji na uhakika wa siasa. Tanzania kila Rais anaekuja anakuja na team mpya. Unaona yaliyompata Dangote.
 
..serikali ya awamu ya kwanza ilitaifisha mashamba ya mkonge toka kwa watu binafsi na kuyafanya mali ya umma.

..Baada ya hapo mashamba hayo yakawa yanaendeshwa na watumishi wa umma / serikali ambao walikuwa hawana uelewa kuhusu sekta ya mkonge.

..matokeo yake uzalishaji mashambani ukapungua, na mashine ktk viwanda vya mkonge zikaharibika.
 
Back
Top Bottom