1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant


Ndiyo ushahidi Huo umeleta wa kuwa Nyerere alimtaka Salim ?
 

Fanatics ni nyinyi angalia makardinali wenu wanavyowaambia eti Yesu kaleta muungano Na mnaambiwa muulinde


Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Mfano wa Salim ni kuthibitisha kuwa wazanzibari mnatiliana wenyewe fitna. Kama hamkumtaka awe Rais wa JMT kwa sababu ni Hizbu mngemkubali awe Rais wa Zanzibar?
Hakuna ubishi kuhusu hili. Tangu akiwa PM Salim alikubalika sana Bara. Vikao vya uteuzi Wazanzibar wakampa 'label ya Hizbu'. Ni kuanzia wakati huo neno hilo likapata umaarufu ingawa lilikuwepo miaka mingi. Baada ya tuhuma za Hizbu Salim alitoweka katika siasa za nchi hadi Tume ya Warioba na wala katika tume hakusika tena. Hizi ni fitna zao wenyewe wakizificha katika zulia la Tanganyika na Nyerere
Wewe ni fanatic wa dini ambao umeuvisha joho la uzanzibari.
Hata uzanzibar haujui! hajui lolote wala chochote in fact kila tunachomwambia ni news kwake
Mimi hapa ni mwisho wangu wa kujadiliana na wewe kwenye suala hili. Ni kunipotezea muda tu.
Mimi nilishaacha, Fundi kuna mengi ya muhimu ya kujadili , ignore him
 
Pascal,
Ahsante sana.
 
Umebaki kujiandikia mwenyewe na kujipa like 😝😝😝😝😝
 
Nimekuuliza halali Na haramu kwa mujibu wa dini gani hujajibu,

Nimekuuliza halali ni nini Na haramu ni nini

Umekimbia umekuja kujifichia huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una ulizwa swali Mapinduzi ni Halali au Haramu hujibu swali una kuja kuuliza tena ilo swali kwa namna yako huu si ujuha huu
mm najifunza kupitia uzi huu lakini kushindwa kwako kujibu swali hilo nakuona kama ukilaza hivi mzee wangu
 
Halali au haramu kwa mujibu wa sheria ipi ? Au dini ipi ? Mbona mnapata kigugumizi?

Nakusaidia haya ya Zanzibar Si Mapinduzi ni mavamizi ya Laanatullahi Nyerere Na Okello wake Mkatoliki
 
Wapaka ma.vi kama huyu huwaga hawakosekanagi pale mtu anaposifiwa
 
Zawadi yako ya mwaka mpya hii

 
Zawadi yako ya mwaka mpya hii

sina huo muda wa kufungua hiyo link
swali
Mapinduzi ni halali au haramu?

jibu kulingana na ulivo si una leta swali juu ya swali huo unakua uzwazwa /uduanzi
 
sina huo muda wa kufungua hiyo link
swali
Mapinduzi ni halali au haramu?

jibu kulingana na ulivo si una leta swali juu ya swali huo unakua uzwazwa /uduanzi
Mapinduzi yapi?
Jibu swali haramu au halali kwa dini ipi au sheria ipi ?
Pombe kwa Kiislamu ni haramu lakini kwa Ukristo tunaambiwa ni halali

Hata ndoa Za jinsia moja baadhi ya makanisa ni halali Na Mengine ni haramu
 
Watanganyika wanaingilia vipi masuala ya Zanzibar?
Nadhani wa kulalamika ni Watanganyika. Fikiria hivi, mbunge wa Zanzibar mwenye kura sawa na wa Tanganyika anachaguliwa na watu 2,500. Diwani wa Sharif Shamba anachaguliwa na watu zaidi ya 5000, siyo Mbunge ni Diwani

Katika Bunge la JMT Mbunge wa Zanzibar ana kura sawa na Mbunge wa Ilala au Temeke.

Tena kura hiyo inahusu mambo yasiyohusu Zbar yaani yasiyo ya muungano!

Mbunge wa Zbar anapewa kamati ya Bunge la JMT yasiyohusu mambo ya muungano.

Yaani mbunge aliyechaguliwa na watu 2,500 yupo katika kamati ya mambo yasiyomhusu.

Hili ni moja tu, lakini pia watu Milioni 1.5 ambao nusu yao wanaishi Bara wanatengewa nafasi 21% ya ajira za Tanganyika kuliko mkoa wa Dar es Slaam, Mwanza au Arusha
Mliopinduana ni nyie. Mliomuua Karume ni nyie. Mliomkataa Salim Ahmed Salim ni nyie. Mliowakamata mashehe wa uamsho ni nyie.
Masheikh walikamatwa na Dr Shein miaka zaidi ya 10 baada ya Nyerere kufariki
Yote hayo bado mnataka tuamini kuwa mnatupenda bali sisi ndio hatuwapendi?
Upendo kwa Wazanzibar ni one way! kwani husikii wakidai kugawana Misaada na Mikpo?
Lini umesikia wanachangia muungano, wanalipa madeni ya nchi!
Hayo mahusiano unayoyazungumzia yataendelea kuwepo kama tutatengana kwa kuheshimiana sio kwa kujashifiana kila kukicha. Huku mnakotaka kutupeleka sio kuzuri.

Amandla...
Tanganyika inahitajika, vinginevyo hawa watu milioni 1 wataendelea kutusumbua
Mchango wao katika Taifa hili sijui kama unaonekana au upo, sina uhakika

Tunataka Tanganyika nao wakae na Zbar yao halafu tuwe na mambo 7 ya Warioba wakitaka

Muungano umekuwa zigo kwa Mtanganyika, ni wakati waliokatika mbeleko wateremke
 
Una ulizwa swali Mapinduzi ni Halali au Haramu hujibu swali una kuja kuuliza tena ilo swali kwa namna yako huu si ujuha huu
mm najifunza kupitia uzi huu lakini kushindwa kwako kujibu swali hilo nakuona kama ukilaza hivi mzee wangu
Huyo bwana mdogo ni kumsamehe tu , hajui historia ya Zbar maswali ya mapinduzi ni kumuonea

Moyes , swali hilo nimewauliza akina Mohamed Said, Ghassani , Jusa , Ahmed Rajabu n.k. hakuna jibu. Ahmed Rajabu alizunguka zunguka kupitia gazeti la Raia Mwema lakini hakutoa jibu

Mtu aliyewahi kusimama na kusema bila kumung'unya maneno ni Mansour Himid. Huyu bwana namheshimu kwa misimamo yake. Alipokuwa CCM alikosana nao kwa misimamo yake thabiti.
Alipohamia CUF alibaki na misimamo yake lakini aliwaambia wazi ' Mapinduzi Daima'

Inaweza kuwa ni kutokana na historia ya mzazi wake hata hivyo misimamo yake ni thabiti kwa kile anachoona ni sahihi kwake na hili la mpainduzi yeye analisema bila kumeza maneno

Watu kama VP O. Masoud wana wakati mgumu sana wa kuamua iwapo mapinduzi ni Halali au ni Haramu.
 

Mapinduzi ni halali au haramu kwa sheria ipi ?
Unajijibu mwenyewe???? 😝😝😝
 

waTanganyika mngalidai kiti chenu UN kama sisi Wazanzibari Kama kweli tunawanyonya


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…