Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Ndio maana nimesema unaleta ubishi wa Jaws. Nilikueleza kwa nini wagombea wote wa uongozi kwa tiketi ya CCM iwe bara au visiwani wanachaguliwa katika vikao vya chama chao vinavyofanyika Dodoma. Katika vikao hivyo wajumbe kutoka pande zote mbili wanapitia na kuchagia majina ya wagombea Zanzibar na Tanzania Bara. Labda uniambie kuna wakati wajumbe kutoka Zanzibar wanatolewa katika vikao na uamuzi unafanywa na machogo peke yao.
Mfano wa Salim ni kuthibitisha kuwa wazanzibari mnatiliana wenyewe fitna. Kama hamkumtaka awe Rais wa JMT kwa sababu ni Hizbu mngemkubali awe Rais wa Zanzibar?
Wewe ni fanatic wa dini ambao umeuvisha joho la uzanzibari.
Mimi hapa ni mwisho wangu wa kujadiliana na wewe kwenye suala hili. Ni kunipotezea muda tu.
Amandla...
Ndiyo ushahidi Huo umeleta wa kuwa Nyerere alimtaka Salim ?