1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

Hamna anaepinga kuwa kuna wengi waliochangia historia ya TANU lakini hawatajwi katika historia. Shida yangu na wewe ni pale unapojenga conspiracy theory kwenye kutengwa huko. Kwa mfano, kwenye picha hiyo kuna wanawake watano, wanne wamevaa baibui na mmoja hajavaa lakini wewe umewaona waliovaa baibui peke yake. Na kuweko picha yao pamoja na Nyerere hakuna maana kuwa wao walikuwa wanawake pekee waliomsindikiza Nyerere airport. Hauwezi kutumia picha kama hii kujenga hoja kuwa ni wanawake wakiislamu peke yao ndio waliomuunga mkono Nyerere. Na kutokuwepo picha hii Lumumba hakumaanishi kuwa ni ushahidi wa nia mbaya dhidi yao. Nyerere alipiga picha nyingi na watu tofauti na itakuwa vigumu kuwatendea wote haki sawa. Unapofanya kuwa absence ya picha kama hizi ni ushahidi wa hujma za Nyerere na TANU dhidi ya uislamu ni distortion ya makusudi ya historia.

Amandla...
Fundi ...
Sikulaumu kwa kuwa hujui historia za hao akina mama.

Huyo wa kwanza kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa mke wa Shariff Abdallah Omar Attas.

Shariff Attas alikuwa Collector wa nafaka Soko la Kariakoo Market Master akiwa Abdul Sykes.

Nyerere alipoacha kazi ya ualimu mwaka wa 1955 alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu si mbali na sokoni.

Ikawa Nyerere anapomaliza kunywa chai anakwenda pale sokoni ofisini kwa Abdul Sykes kusoma magazeti nk.

Mchana wakati wa chakula cha mchana Shariff Attas anakuja na Nyerere nyumbani kwa Abdul Sykes kula chakula.

Wanapumzika kidogo kisha pamoja wanarudi sokoni.

Hapa ndipo katika kipindi hiki Nyerere alijuana na watu wengi sana maarufu wa Dar es Salaam mmoja wapo akiwa Mshume Kiyate ambae yeye alikuwa dalali wa samaki hapo sokoni.

Hapa ndipo Mwalimu alipofahamiana na Shariff Attas mmoja wa watu maarufu Dar es Salaam ile ya miaka 1950s.

Mkewe Shariff Attas Bi Chiku akajuana na Mama Maria Nyerere pamoja na wanae Mwalimu Sakina na Mwalimu Fatna wakisomesha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Muslim School na Mama Maria alikuwa na duka dogo karibu na nyumba ya hawa akina mama Mtaa wa Mchikichi na Livingstone akiuza mafuta ya taa.

Sasa mikutano ya hadhara ya TANU ilipoanza ikawa jioni kama kesho kuna mkutano wa TANU Mnazi Mmoja hawa akina mama akina Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, Bi. Hawa bint Maftah na wanawake wengine wanakutana na viongozi wa TANU nyumbani kwa Abdul Sykes na Nyerere akiwemo kupanga jinsi ya kuwaleta wanawake mkutanoni kujaza uwanja na kutia shamrashamra kwa nyimbo zao za lelemama.

Hawa akina mama ndiyo katika wanawake wa mwanzo wanachama wa TANU.

Si kama hawa akina mama katika picha hiyo walifika hapo kwa bahati mbaya.

Dhifa ya kumuaga Nyerere safari ya kwanza kwenda UNO ilifanyika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika New Street na Livingstone na hili jengo lipo hadi leo.

Hili jengo lilijengwa na uongozi wa Kleist Sykes na Mzee bin Sudi wakati wakiwa na nafasi hizo hizo katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na katika African Association.

Hii kwangu mimi ni historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika sasa ikiwa kuna wengine na wao wanazo historia kama hizi na picha hakuna aliyewakataza kuandika.

Nakuwekea picha nyingine ya Uwanja wa Ndege siku ya kumsindikiza Mwalimu:

1640612999734.png

Huyo alie mkono wa kulia wa Nyerere anaitwa Iddi Faiz Mafungo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya na TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere UNO. Pembeni yake ni Zuberi Mtemvu, Robert Makange na aliyeshika kikapu cha ukili ni Rashid Sisso kushoto kwa Mwalimu ni John Rupia na Bi. Titi Mohamed.
 
Si kama hawa akina mama katika picha hiyo aifika hapo kwa bahati mbaya.

View attachment 2059507

Wewe mzee udini umekuharibu akili..hutaki kuamini kua umepigwa kitu kizito..unapenda kulazimisha visivyo wezekana..kaa utulie ulee wajukuu..hao unao hangaika nao wamesha kufa na kuoza.

Mzee kilizi unatusumbua bure.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kuna mtu kawakataza kuandika historia zenu?
Kwani hao waungu watu wenu Nyerere Na Magufuli wake wanatembea Na suti zao?
 
Fundi ...
Sikulaumu kw kuwa hujui historia za hao akina mama.
Huyo wa kwanza kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa mke wa Shariff Abdallah mar Attas.

Shariff Attas alikuwa Collector wa nafaka Soko la Kariakoo Market Master akiwa Abdul Sykes.

Nyerere aipoacha kazi ya ualimu mwaka wa 1955 alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu si mbali na sokoni.

Ikawa Nyerere anapomaliza kunywa chai anakwenda pale sokoni ofisini kwa Abdul Sykes kusoma magazeti nk.

Hapa ndipo Mwalimu alipofahamiana na Shariff Attas mmoja wa watu maarufu Dar es Salaam ile ya miaka 1950s.

Mkewe Shariff Attas Bi Chiku akajuana na Mama Maria Nyerere pamoja na wanae Mwalimu Sakina na Mwalimu Fatna wakisomesha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Muslim School na Mama Maria alikuwa na duka dogo karibu na nyumba ya hawa akina mama Mtaa wa Mchikichi na Livingstone akiuza mafuta ya taa.

Sasa mikutano ya hadhara ya TANU ilipoanza ikawa jioni kama kesho kuna mkutano wa TANU Mnazi Mmoja hawa akina mama akina Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, Bi. Hawa bint Maftah na wanawake wengine wanakutana na viongozi wa TANU nyumbani kwa Abdu Sykes na Nyerere akiwemo kupanga jinsi ya kuwaleta wanawake mkutanoni kujaza uwanja na kutia shamrashamra kwa nyimbo zao za lelemama.

Hawa akina mama ndiyo katika wanawake wa mwanzo wanachama wa TANU.
Si kama hawa akina mama katika picha hiyo aifika hapo kwa bahati mbaya.

Dhifa ya kumuaga Nyerere safari ya kwanza kwenda UNO ilifanyika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika New Street na Livingstone na hili jengo lipo hadi leo.

Hili jengo lilijengwa na uongozi wa Kleist Sykes na Mzee bin Sudi wakati wakiwa na nafasi hizo hizo katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na katika African Association.

Hii kwangu mimi ni historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika sasa ikiwa kuna wengine na wao wanazo historia kama hizi na picha hakuna aliyewakataza kuandika.

Nakuwekea picha nyingine ya Uwanja wa Ndege siku ya kumsindikiza Mwalimu.

View attachment 2059507
Huyo alie mkono wa kulia wa Nyerere anaitwa Iddi Faiz Mafungo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya na TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere UNO. Pembeni yake ni Zuberi Mtemvu, Robert Makange na aliyeshika kikapu cha ukili ni Rashid Sisso kushoto kwa Mwalimu ni John Rupia na Bi. Titi Mohamed.
Hamna anayepinga kuwa unajua sana historia ya ndugu zako. Ni huko kufanya kuwa hao ndio watu pekee wanaostahili heshima.
Fundi ...
Sikulaumu kwa kuwa hujui historia za hao akina mama.
Huyo wa kwanza kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa mke wa Shariff Abdallah Omar Attas.

Shariff Attas alikuwa Collector wa nafaka Soko la Kariakoo Market Master akiwa Abdul Sykes.

Nyerere alipoacha kazi ya ualimu mwaka wa 1955 alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu si mbali na sokoni.

Ikawa Nyerere anapomaliza kunywa chai anakwenda pale sokoni ofisini kwa Abdul Sykes kusoma magazeti nk.

Mchana wakati wa chakula cha mchana Shariff Attas anakuja na Nyerere nyumbani kwa Abdul Sykes kula chakula.

Wanapumzika kidogo kisha pamoja wanarudi sokoni.

Hapa ndipo katika kipindi hiki Nyerere alijuana na watu wengi sana maarufu wa Dar es Salaam mmoja wapo akiwa Mshume Kiyate ambae yeye alikuwa dalali wa samaki hapo sokoni.

Hapa ndipo Mwalimu alipofahamiana na Shariff Attas mmoja wa watu maarufu Dar es Salaam ile ya miaka 1950s.

Mkewe Shariff Attas Bi Chiku akajuana na Mama Maria Nyerere pamoja na wanae Mwalimu Sakina na Mwalimu Fatna wakisomesha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika Muslim School na Mama Maria alikuwa na duka dogo karibu na nyumba ya hawa akina mama Mtaa wa Mchikichi na Livingstone akiuza mafuta ya taa.

Sasa mikutano ya hadhara ya TANU ilipoanza ikawa jioni kama kesho kuna mkutano wa TANU Mnazi Mmoja hawa akina mama akina Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, Bi. Hawa bint Maftah na wanawake wengine wanakutana na viongozi wa TANU nyumbani kwa Abdul Sykes na Nyerere akiwemo kupanga jinsi ya kuwaleta wanawake mkutanoni kujaza uwanja na kutia shamrashamra kwa nyimbo zao za lelemama.

Hawa akina mama ndiyo katika wanawake wa mwanzo wanachama wa TANU.
Si kama hawa akina mama katika picha hiyo aifika hapo kwa bahati mbaya.

Dhifa ya kumuaga Nyerere safari ya kwanza kwenda UNO ilifanyika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika New Street na Livingstone na hili jengo lipo hadi leo.

Hili jengo lilijengwa na uongozi wa Kleist Sykes na Mzee bin Sudi wakati wakiwa na nafasi hizo hizo katika Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na katika African Association.

Hii kwangu mimi ni historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika sasa ikiwa kuna wengine na wao wanazo historia kama hizi na picha hakuna aliyewakataza kuandika.

Nakuwekea picha nyingine ya Uwanja wa Ndege siku ya kumsindikiza Mwalimu:

View attachment 2059507
Huyo alie mkono wa kulia wa Nyerere anaitwa Iddi Faiz Mafungo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya na TANU na ndiye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere UNO. Pembeni yake ni Zuberi Mtemvu, Robert Makange na aliyeshika kikapu cha ukili ni Rashid Sisso kushoto kwa Mwalimu ni John Rupia na Bi. Titi Mohamed.

Kuna mtu kama John Rupia humzungumzii kama unavyowazungumzia ndugu zako wa Gerezani. John Rupia ndiye alikuwa mmoja wa wafadhili wakubwa ( wengine wanadai kuwa kwa kiasi kikubwa ndie aliyeibeba kipesa) wa TANU katika miaka yake ya mwanzo. Safari ya Nyerere kwenda UNO ya 1955 ililipiwa kwa kiasi kikubwa na John Rupia. Na hata Nyerere alipohukumiwa kulipa faini ya £150 katika kesi namba 2207 ya mwaka 1958 ni wakina Rupia ndio waliomlipia. Katika hii kesi Nyerere alitetewa na mzungu D.N. Pritt na waasia M.N. Rattansey na K.L. Jhaveri (hawa umewasikiawapi?). Nyerere alipoenda UNO mara ya pili mwaka 1956, waliomlipia sehemu kubwa ni mapadri wa Maryknolls ( William Collins, Al Nevius, John Considine n.k.). Hawa watawa wa Maryknoll ndio walikuwa wanampa vibarua alipoacha kazi na kurudi Butiama ili kumuwezesha kuhudumia familia yake. Hawa wote tumewasahau na picha zao haziko kokote.

Wangapi humu wanamjua msukuma John Rupia? Mmoja wa matajiri wakubwa wa kwanza waafrika ambae alikuwa na majumba na mashamba makubwa ya minazi. Huyu picha yake iko Lumumba? Wapi umesikia ndugu zake wakilalamika kuwa mchango wake hauthaminiwi? Wewe unawaona tu waliomwandalia shughuli ya kumuaga hapo Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika? Kingine usichokisema ni kuwa watumishi wengi wa serikali wa wakati ule hawakupenda kupiga picha na Nyerere kwa kuhofia kupata matatizo kazini kwao. Kwa maana hiyo, hao waliopigwa picha hawakuwa peke yao.

Kuna wakina Andrew Tibandebage ambao walisoma pamoja na Nyerere na Hamza Mwapachu Makerere. Hawa ndio walioanzisha chama cha Tanganyika Welfare Association Makerere ambayo ilimuingiza kwa kiasi kikubwa Nyerere kwenye siasa za Afrika Mashariki.
Ulipozungumzia uanzishwaji wa TANU uliwataja watu saba tu ( labda ulifanya hivyo kwa kukosa tu nafasi). katika uanzishwaji wa TANU. Pwani iliwakilishwa na Abdul Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Patrick Kunambi, Kasella Bantu, John Rupia, Julius Nyerere na C.O. Milinga. Kaskazini walitoka Joseph Kimalando na Japhet Kirilo na kanda ya ziwa Abubakar Kilanga na L.M. Karanga. Bibi Titi Mohammed (kadi namba 16) na Dennis Phombeah nao walikuwepo. Kuna wakina Lady Marion Chesham ambao walimsaidia sana Nyerere lakini nao hamna kumbukumbu zao Lumumba.

Ni Nyerere na wakina Zuberi Mtemvu, Dennis Phombeah( Mnyasa ambae alikuwa anamfuata Nyerere kila ijumaa kwa piki yake), Oscar Kambona, Stephen Mhando, Bibi Titi Mohammed na wengine ndio waliozunguka Tanganyika nzima kuwaelezea watanganyika kuhusu umuhimu wa uhuru. Hao wa mwanzo walikuwa ni makatibu waenezi wa TANU. Safari hizo ndio zilifanya TANU kiwe chama cha kitaifa na sio cha watu wa Gerezani peke yao. Kuna wakina Frank Humplick na dada zake (Mary na Regina) aambao nyimbo zao zilitumika kuhamasisha mikutano ya TANU. Nyimbo iliyopigwa marufuku na waingereza na ilikuwa ina maneno "Uganda nayo iende, Tanganyika ikichangaruka, Kenya na Nyasa zitaumana.... Kizungu sikijui, Wanyika msishandane na watanganyika".Kuna wakina Abdulkareem Karimjee. Kuna wakina Julius Mwasanyagi. Nani anawajua wote hawa?

Mimi siwezi kukatalia kuandika historia ya ndugu zako na mchango wao katika ukombozi wa Tanganyika. Binafsi, naamini unastahili pongezi kubwa kwa kuwakumbuka wakina Bi. Chiku bint Said Kisusa. Ni kitu chema ulichofanya. Shida yangu ni pale unapochomekea kuwa Nyerere aliishi kwa Ally Sykes bila kusema alikaa kwa muda gani ( mtu akisoma atadhani alikaa miaka) ni upotoshaji mwingine wa historia maana kinachojulikana ni kuwa mara baada ya kujiuzuru ualimu alirudi Butiama. Kama alikaa kwa Sykes hakukaa kwa muda mrefu.

Nilichojaribu kuonyesha hapo juu ni kuwa ni watu wa dini zote, kabila zote, rangi zote waliochangia uhuru wa Tanganyika. Sio wakina Sykes, Dossa Aziz, Julius Nyerere peke yao. Kutofautiana kwao na Nyerere mara nyingi kulitokana na mitizamo yao ya kisiasa na sio udini.
Ukweli huu hautabdilishwa hata uweke picha ngapi za watu waliovaa baibui na kanzu maana wengi wao waliongozwa na uzalendo kuliko udini. Na hawakuchelea kumshughulikia yeyote aliyeingiza masuala ya udini katika siasa.

Amandla...
 
Cc Nguruvi3.
Mimi hua najiuliza ingekuwaje kama Nyerere angefunga mipaka na Zanzibar wakati wa Mapinduzi ( kama alivyofanya muingereza Kenya) na baada ya Mapinduzi. Wazanzibari wahindi, wangazija na wapemba wangekimbilia wapi kama wangekuwa taifa lingine (kama wanavyodai) na Nyerere angewafungia milango ya kukimbilia bara. Badala ya kum vilify, wanatakiwa wamshukuru sana.

Amandla...
Wakata mkonge wa tanga,walienda kushiriki mapinduzi
 
Wagalatia kuna mahala mnakwama, iweje vikitajwa vichwa kama Askofu Tutu hamshangazwi waislam wakivipa tick ila zinapokuja sifa za Shaykh Hassan bin Ameir mnachachawa eti "ni udini", hivi kweli hamjui kilochomfikisha katika utetezi Askofu Tutu kwamba ni Imani yake ya ukristo?

Hii dhambi ya wivu, choyo, Husda na ubaguzi itakutafuneni hadi mwisho wa pumzi zenu' ukweli huwa haupingiki badala yake hupokewa
Hapa ndipo tunamlaumu Mohamed Said , yaani amefanya vijana hawawezi kufikiri kabisa
Hakuna mahali tumejadiliana kuhusu Sheikh Amir

Mjadala ni kuhusu Mapinduzi. Sasa hayo usemayo yanatoka wapi?
 
Hamna anayepinga kuwa unajua sana historia ya ndugu zako. Ni huko kufanya kuwa hao ndio watu pekee wanaostahili heshima.

Kuna mtu kama John Rupia humzungumzii kama unavyowazungumzia ndugu zako wa Gerezani. John Rupia ndiye alikuwa mmoja wa wafadhili wakubwa ( wengine wanadai kuwa kwa kiasi kikubwa ndie aliyeibeba kipesa) wa TANU katika miaka yake ya mwanzo. Safari ya Nyerere kwenda UNO ya 1955 ililipiwa kwa kiasi kikubwa na John Rupia. Na hata Nyerere alipohukumiwa kulipa faini ya £150 katika kesi namba 2207 ya mwaka 1958 ni wakina Rupia ndio waliomlipia. Katika hii kesi Nyerere alitetewa na mzungu D.N. Pritt na waasia M.N. Rattansey na K.L. Jhaveri (hawa umewasikiawapi?). Nyerere alipoenda UNO mara ya pili mwaka 1956, waliomlipia sehemu kubwa ni mapadri wa Maryknolls ( William Collins, Al Nevius, John Considine n.k.). Hawa watawa wa Maryknoll ndio walikuwa wanampa vibarua alipoacha kazi na kurudi Butiama ili kumuwezesha kuhudumia familia yake. Hawa wote tumewasahau na picha zao haziko kokote.

Wangapi humu wanamjua msukuma John Rupia? Mmoja wa matajiri wakubwa wa kwanza waafrika ambae alikuwa na majumba na mashamba makubwa ya minazi. Huyu picha yake iko Lumumba? Wapi umesikia ndugu zake wakilalamika kuwa mchango wake hauthaminiwi? Wewe unawaona tu waliomwandalia shughuli ya kumuaga hapo Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika? Kingine usichokisema ni kuwa watumishi wengi wa serikali wa wakati ule hawakupenda kupiga picha na Nyerere kwa kuhofia kupata matatizo kazini kwao. Kwa maana hiyo, hao waliopigwa picha hawakuwa peke yao.

Kuna wakina Andrew Tibandebage ambao walisoma pamoja na Nyerere na Hamza Mwapachu Makerere. Hawa ndio walioanzisha chama cha Tanganyika Welfare Association Makerere ambayo ilimuingiza kwa kiasi kikubwa Nyerere kwenye siasa za Afrika Mashariki.
Ulipozungumzia uanzishwaji wa TANU uliwataja watu saba tu ( labda ulifanya hivyo kwa kukosa tu nafasi). katika uanzishwaji wa TANU. Pwani iliwakilishwa na Abdul Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Patrick Kunambi, Kasella Bantu, John Rupia, Julius Nyerere na C.O. Milinga. Kaskazini walitoka Joseph Kimalando na Japhet Kirilo na kanda ya ziwa Abubakar Kilanga na L.M. Karanga. Bibi Titi Mohammed (kadi namba 16) na Dennis Phombeah nao walikuwepo. Kuna wakina Lady Marion Chesham ambao walimsaidia sana Nyerere lakini nao hamna kumbukumbu zao Lumumba.

Ni Nyerere na wakina Zuberi Mtemvu, Dennis Phombeah( Mnyasa ambae alikuwa anamfuata Nyerere kila ijumaa kwa piki yake), Oscar Kambona, Stephen Mhando, Bibi Titi Mohammed na wengine ndio waliozunguka Tanganyika nzima kuwaelezea watanganyika kuhusu umuhimu wa uhuru. Hao wa mwanzo walikuwa ni makatibu waenezi wa TANU. Safari hizo ndio zilifanya TANU kiwe chama cha kitaifa na sio cha watu wa Gerezani peke yao. Kuna wakina Frank Humplick na dada zake (Mary na Regina) aambao nyimbo zao zilitumika kuhamasisha mikutano ya TANU. Nyimbo iliyopigwa marufuku na waingereza na ilikuwa ina maneno "Uganda nayo iende, Tanganyika ikichangaruka, Kenya na Nyasa zitaumana.... Kizungu sikijui, Wanyika msishandane na watanganyika".Kuna wakina Abdulkareem Karimjee. Kuna wakina Julius Mwasanyagi. Nani anawajua wote hawa?

Mimi siwezi kukatalia kuandika historia ya ndugu zako na mchango wao katika ukombozi wa Tanganyika. Binafsi, naamini unastahili pongezi kubwa kwa kuwakumbuka wakina Bi. Chiku bint Said Kisusa. Ni kitu chema ulichofanya. Shida yangu ni pale unapochomekea kuwa Nyerere aliishi kwa Ally Sykes bila kusema alikaa kwa muda gani ( mtu akisoma atadhani alikaa miaka) ni upotoshaji mwingine wa historia maana kinachojulikana ni kuwa mara baada ya kujiuzuru ualimu alirudi Butiama. Kama alikaa kwa Sykes hakukaa kwa muda mrefu.

Nilichojaribu kuonyesha hapo juu ni kuwa ni watu wa dini zote, kabila zote, rangi zote waliochangia uhuru wa Tanganyika. Sio wakina Sykes, Dossa Aziz, Julius Nyerere peke yao. Kutofautiana kwao na Nyerere mara nyingi kulitokana na mitizamo yao ya kisiasa na sio udini.
Ukweli huu hautabdilishwa hata uweke picha ngapi za watu waliovaa baibui na kanzu maana wengi wao waliongozwa na uzalendo kuliko udini. Na hawakuchelea kumshughulikia yeyote aliyeingiza masuala ya udini katika siasa.

Amandla...

Hamna anayepinga kuwa unajua sana historia ya ndugu zako. Ni huko kufanya kuwa hao ndio watu pekee wanaostahili heshima.

Kuna mtu kama John Rupia humzungumzii kama unavyowazungumzia ndugu zako wa Gerezani. John Rupia ndiye alikuwa mmoja wa wafadhili wakubwa ( wengine wanadai kuwa kwa kiasi kikubwa ndie aliyeibeba kipesa) wa TANU katika miaka yake ya mwanzo. Safari ya Nyerere kwenda UNO ya 1955 ililipiwa kwa kiasi kikubwa na John Rupia. Na hata Nyerere alipohukumiwa kulipa faini ya £150 katika kesi namba 2207 ya mwaka 1958 ni wakina Rupia ndio waliomlipia. Katika hii kesi Nyerere alitetewa na mzungu D.N. Pritt na waasia M.N. Rattansey na K.L. Jhaveri (hawa umewasikiawapi?). Nyerere alipoenda UNO mara ya pili mwaka 1956, waliomlipia sehemu kubwa ni mapadri wa Maryknolls ( William Collins, Al Nevius, John Considine n.k.). Hawa watawa wa Maryknoll ndio walikuwa wanampa vibarua alipoacha kazi na kurudi Butiama ili kumuwezesha kuhudumia familia yake. Hawa wote tumewasahau na picha zao haziko kokote.

Wangapi humu wanamjua msukuma John Rupia? Mmoja wa matajiri wakubwa wa kwanza waafrika ambae alikuwa na majumba na mashamba makubwa ya minazi. Huyu picha yake iko Lumumba? Wapi umesikia ndugu zake wakilalamika kuwa mchango wake hauthaminiwi? Wewe unawaona tu waliomwandalia shughuli ya kumuaga hapo Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika? Kingine usichokisema ni kuwa watumishi wengi wa serikali wa wakati ule hawakupenda kupiga picha na Nyerere kwa kuhofia kupata matatizo kazini kwao. Kwa maana hiyo, hao waliopigwa picha hawakuwa peke yao.

Kuna wakina Andrew Tibandebage ambao walisoma pamoja na Nyerere na Hamza Mwapachu Makerere. Hawa ndio walioanzisha chama cha Tanganyika Welfare Association Makerere ambayo ilimuingiza kwa kiasi kikubwa Nyerere kwenye siasa za Afrika Mashariki.
Ulipozungumzia uanzishwaji wa TANU uliwataja watu saba tu ( labda ulifanya hivyo kwa kukosa tu nafasi). katika uanzishwaji wa TANU. Pwani iliwakilishwa na Abdul Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Patrick Kunambi, Kasella Bantu, John Rupia, Julius Nyerere na C.O. Milinga. Kaskazini walitoka Joseph Kimalando na Japhet Kirilo na kanda ya ziwa Abubakar Kilanga na L.M. Karanga. Bibi Titi Mohammed (kadi namba 16) na Dennis Phombeah nao walikuwepo. Kuna wakina Lady Marion Chesham ambao walimsaidia sana Nyerere lakini nao hamna kumbukumbu zao Lumumba.

Ni Nyerere na wakina Zuberi Mtemvu, Dennis Phombeah( Mnyasa ambae alikuwa anamfuata Nyerere kila ijumaa kwa piki yake), Oscar Kambona, Stephen Mhando, Bibi Titi Mohammed na wengine ndio waliozunguka Tanganyika nzima kuwaelezea watanganyika kuhusu umuhimu wa uhuru. Hao wa mwanzo walikuwa ni makatibu waenezi wa TANU. Safari hizo ndio zilifanya TANU kiwe chama cha kitaifa na sio cha watu wa Gerezani peke yao. Kuna wakina Frank Humplick na dada zake (Mary na Regina) aambao nyimbo zao zilitumika kuhamasisha mikutano ya TANU. Nyimbo iliyopigwa marufuku na waingereza na ilikuwa ina maneno "Uganda nayo iende, Tanganyika ikichangaruka, Kenya na Nyasa zitaumana.... Kizungu sikijui, Wanyika msishandane na watanganyika".Kuna wakina Abdulkareem Karimjee. Kuna wakina Julius Mwasanyagi. Nani anawajua wote hawa?

Mimi siwezi kukatalia kuandika historia ya ndugu zako na mchango wao katika ukombozi wa Tanganyika. Binafsi, naamini unastahili pongezi kubwa kwa kuwakumbuka wakina Bi. Chiku bint Said Kisusa. Ni kitu chema ulichofanya. Shida yangu ni pale unapochomekea kuwa Nyerere aliishi kwa Ally Sykes bila kusema alikaa kwa muda gani ( mtu akisoma atadhani alikaa miaka) ni upotoshaji mwingine wa historia maana kinachojulikana ni kuwa mara baada ya kujiuzuru ualimu alirudi Butiama. Kama alikaa kwa Sykes hakukaa kwa muda mrefu.

Nilichojaribu kuonyesha hapo juu ni kuwa ni watu wa dini zote, kabila zote, rangi zote waliochangia uhuru wa Tanganyika. Sio wakina Sykes, Dossa Aziz, Julius Nyerere peke yao. Kutofautiana kwao na Nyerere mara nyingi kulitokana na mitizamo yao ya kisiasa na sio udini.
Ukweli huu hautabdilishwa hata uweke picha ngapi za watu waliovaa baibui na kanzu maana wengi wao waliongozwa na uzalendo kuliko udini. Na hawakuchelea kumshughulikia yeyote aliyeingiza masuala ya udini katika siasa.

Amandla...
Fundi...
Ungekuwa unafanya angalau utafiti kidogo kuna mengi ungekuwa huyasemi.
Unasema sijamtaja John Rupia.

Angalia hapo chini faharasha ya kitabu cha Abdul Sykes ukimaliza kitafute kitabu cha Kivukoni angalia kama wamemtaja.

Wala mimi sitakuita wewe muongo.
Najua hujui tu.

Sasa nimekuwekea Mzee John Rupia ili ujue kuwa nimemtaja kwingi sana na mimi ndiye mwandishi pekee niliyafanya utafiti wa maisha ya Mzee Rupia na kumwandika katika kitabu cha Abdul Sykes kama anavyostahili.

Umeandika mambo mengi sana siwezi nikakujibu yote na mengine ya mbele sana unayapa umuhimu usiostahili mfano wa Tanganyika Welfare Association unaacha African Association ya 1929.

Safari ya pili ya Nyerere UNO ilikuwa 1957 na mengine ya yeye kukaa unasema kwa Ally Sykes hapana ni kwa Abdul Sykes.

Kama yanakutaabisha yaachilie mbali.
Frank Humplink mimi ndiye niliyemleta katika historia ya TANU.

Hakuwemo angalia chanzo chako ulikompata Frank na dada zake Maria na Regina utanikuta.

Frank Humplink alikuwa rafika na baba yangu na yeye ndiye aliyenieleza historia yake hii na TANU.

Angalia taazia niliyomwandikia hapo chini.

1640628152352.png

John Rupia

20211227_210433.jpg
 
Wakata mkonge wa tanga,walienda kushiriki mapinduzi
Again, Mohamed Said alaumiwe kwa kulisha watu habari zinazoviza akili zao.

Tumemuuliza Mohamed Said kwanini wachukuliwe Wamakonde wa Kipumbwi Tanga na siyo askari waliofunzwa! Mapinduzi hayakuwa jambo rahisi hivyo palihitajika wataalamu.
Mohamed Said hajajibu, katupia picha na maelezo mareeefu.

Madhara ya kauli zake ndiyo haya, mtu anasema 'Wakata mkonge' kwasababu amemsoam Mohamed, nikikuuliza kwanini wakata mkonge na si askari utajibu nini?

Mohamed angali madhara ya kauli zako yanavyo hypnotize society.
 
Fundi...

Fundi...
Ungekuwa unafanya angalau utafiti kidogo kuna mengi ungekuwa huyasemi.
Unasema sijamtaja John Rupia.

Angalia hapo chini faharasha ya kitabu cha Abdul Sykes ukimaliza kitafute kitabu cha Kivukoni angalia kama wamemtaja.

Wala mimi sitakuita wewe muongo.
Najua hujui tu.

Sasa nimekuwekea Mzee John Rupia ili ujue kuwa nimemtaja kwingi sana na mimi ndiye mwandishi pekee niliyafanya utafiti wa maisha ya Mzee Rupia na kumwandika katika kitabu cha Abdul Sykes kama anavyostahili.

Umeandika mambo mengi sana siwezi nikakujibu yote na mengine ya mbele sana unayapa umuhimu usiostahili mfano wa Tanganyika Welfare Association unaacha African Association ya 1929.

Frank Humplink mimi ndiye niliyemleta katika historia ya TANU.
Hakuwemo angalia chanzo chako ulikompata Frank na dada zak Mutanikuta.

View attachment 2059811
John Rupia

View attachment 2059819
Sijasema kuwa haujamtaja Rupia. Soma vizuri nilichoandika. Wewe unawataja hawa wagalatia kama by the way na hauwapi umuhimu wanaostahili.
Mimi sina tatizo na wewe kuniita muongo kwa sababu utakuwa ndio ukweli wako. Kama vile mimi nakuita mdini kwa sababu ndio ukweli wangu.
Nimewasikia wakina Frank na dada zake kama nilivyo wasikia wakina Daudi Kabaka na wengine. Sihitaji kusoma historia ya TANU kumjua. Shida yako ni kuwa unaamini kuwa wengine hatukuweko wakati huo unaouzungumzia. Tulikuweko ( kama sio sisi, ndugu zetu ambao nao walitusimulia kama wewe ulivyosimuliwa na ndugu zako) na ndio maana tunakushangaa sana.

Amandla...
 
Again, Mohamed Said alaumiwe kwa kulisha watu habari zinazoviza akili zao.

Tumemuuliza Mohamed Said kwanini wachukuliwe Wamakonde wa Kipumbwi Tanga na siyo askari waliofunzwa! Mapinduzi hayakuwa jambo rahisi hivyo palihitajika wataalamu.
Mohamed Said hajajibu, katupia picha na maelezo mareeefu.

Madhara ya kauli zake ndiyo haya, mtu anasema 'Wakata mkonge' kwasababu amemsoam Mohamed, nikikuuliza kwanini wakata mkonge na si askari utajibu nini?

Mohamed angali madhara ya kauli zako yanavyo hypnotize society.
Nguruvi3,
Inaelekea Maktaba yangu ya picha inakuudhi.
Hupendi pia maelezo yangu marefu.

Halikadhalika kuna watu wanapenda nisiache kuandika.
Vilevile kuna watu wengi sana wanazipenda hizi picha.

Kwa nini Kipumbwi walipelekwa Wamakonde sina jibu.
 
Sijasema kuwa haujamtaja Rupia. Soma vizuri nilichoandika. Wewe unawataja hawa wagalatia kama by the way na hauwapi umuhimu wanaostahili.
Mimi sina tatizo na wewe kuniita muongo kwa sababu utakuwa ndio ukweli wako. Kama vile mimi nakuita mdini kwa sababu ndio ukweli wangu.
Nimewasikia wakina Frank na dada zake kama nilivyo wasikia wakina Daudi Kabaka na wengine. Sihitaji kusoma historia ya TANU kumjua. Shida yako ni kuwa unaamini kuwa wengine hatukuweko wakati huo unaouzungumzia. Tulikuweko ( kama sio sisi, ndugu zetu ambao nao walitusimulia kama wewe ulivyosimuliwa na ndugu zako) na ndio maana tunakushangaa sana.

Amandla...
Fundi...
Ikiwa hukusema si kitu lakini naamini niliyoweka yamewanufaisha wasomaji wengine.

Hatuna haja ya kuvutana.

Muhimu ni kuwa nimeandika historia ya wazee wangu na leo inafahamika na historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika inasomwa upya.

1640631959084.png

Frank Humplink na mimi nyumbani kwake Lushoto 2007.
 
View attachment 2059870
Frank Humplink na mimi nyumbani kwake Lushoto 2007.
Kwenye hilo la kuandika historia ya wazee wako unastahili pongezi. Ni pale unapoingiza vile vivitu vingine ndio tunatofautiana.

Amandla...
 
Kwenye hilo la kuandika historia ya wazee wako unastahili pongezi. Ni pale unapoingiza vile vivitu vingine ndio tunatofautiana.

Amandla...
Fundi...
Ikhtilafu ni katika silka ya ubinadamu wala hili lisikupe shida yeyote una uhuru wa kuamini chochote upendacho.

Linalonistaajabisha mimi ni pale ninapoona natukanwa, nakejeliwa na watu wanapandisha ghadhabu.

Hujiuliza mbona mimi sikuhamaki wala kutafuta mjadala na mtu.
Nimeisoma historia ya uhuru wa Tanganyika nikaona katajwa Nyerere peke yake miaka yote.

Nikanyanyua kalamu kuandika historia ya wazee wangu waliounda African Association na kuhitimisha na TANU.

Baadhi ya watu hawakupenda kusoma historia ya wazee wangu na Mwalimu na mashambulizi dhidi yangu yakaanza.

Hawapendi kusoma maneno wala kuona picha.

Sikuhamaki wala kumtukana mtu yeyote najibu kila wanalouliza na historia ndiyo hii tunayo toka 1998.

Historia ni ya wazee wangu mtu anakuja anahoji historia yangu.
Inanishangaza na mara nyingi huwaambia kama na nyinyi mna historia basi andikeni.

Hakuna haja ya kunitukana.

1640637751444.png

Nimeshika Medali ya Mwenge wa Uhuru aliyotunikiwa Abdul Sykes baada ya miaka 50 ya kifo chake kwa mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kushoto ni Kleist Abdulwahid Sykes, Miski Abdulwahid Sykes, Mohamed Said, Aisha ''Daisy" Abdulwahid Sykes na Ilyasa Abdulwahid Sykes.
 
Again, Mohamed Said alaumiwe kwa kulisha watu habari zinazoviza akili zao.

Tumemuuliza Mohamed Said kwanini wachukuliwe Wamakonde wa Kipumbwi Tanga na siyo askari waliofunzwa! Mapinduzi hayakuwa jambo rahisi hivyo palihitajika wataalamu.
Mohamed Said hajajibu, katupia picha na maelezo mareeefu.

Madhara ya kauli zake ndiyo haya, mtu anasema 'Wakata mkonge' kwasababu amemsoam Mohamed, nikikuuliza kwanini wakata mkonge na si askari utajibu nini?

Mohamed angali madhara ya kauli zako yanavyo hypnotize society.
Uwe unasoma,aliyemhoji mmoja wa wakata mkonge hakuwa Mohd said,na mkata mkonge alikiri,akadhani anapelekwa kuhukumiwa icc,okello alifanya nini zenji!!?..kufyatua tofari!!!?
 
Fundi...
Ikhtilafu ni katika silka ya ubinadamu wala hili lisikupe shida yeyote una uhuru wa kuamini chochote upendacho.

Linalonistaajabisha mimi ni pale ninapoona natukanwa, nakejeliwa na watu wanapandisha ghadhabu.

Hujiuliza mbona mimi sikuhamaki wala kutafuta mjadala na mtu.
Nimeisoma historia ya uhuru wa Tanganyika nikaona katajwa Nyerere peke yake miaka yote.

Nikanyanyua kalamu kuandika historia ya wazee wangu waliounda African Association na kuhitimisha na TANU.

Baadhi ya watu hawakupenda kusoma historia ya wazee wangu na Mwalimu na mashambulizi dhidi yangu yakaanza.

Hawapendi kusoma maneno wala kuona picha.

Sikuhamaki wala kumtukana mtu yeyote najibu kila wanalouliza na historia ndiyo hii tunayo toka 1998.

Historia ni ya wazee wangu mtu anakuja anahoji historia yangu.
Inanishangaza na mara nyingi huwaambia kama na nyinyi mna historia basi andikeni.

Hakuna haja ya kunitukana.

View attachment 2059973
Nimeshika Medali ya Mwenge wa Uhuru aliyotunikiwa Abdul Sykes baada ya miaka 50 ya kifo chake kwa mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kushoto ni Kleist Abdulwahid Sykes, Miski Abdulwahid Sykes, Mohamed Said, Aisha ''Daisy" Abdulwahid Sykes na Ilyasa Abdulwahid Sykes.
Mimi sidhani kama kuna watu wanakukasirikia kwa sababu umeandika historia ya ndugu zako na uhusiano wao na TANU. Ni pale unapoigeuza kuwa ni historia ya jinsi waislamu hawakutendewa haki na wakristu kwa sababu ya uislamu wao ndio tunakushambulia. Historia yako inahojiwa kwa sababu mara nyingi unatumia ukaribu wako na ndugu zako kuwanyamazisha wote wasiokubaliana na wewe. Historia mara nyingi inaandikwa na wengi na hakuna mwenye hati miliki juu yake. Ni katika kuunganisha hizo historia tofauti ndio historia yenye uhalisia itakapopatikana. Kutegemea kuwa kila mtu atakubali kila unachoandika kwa sababu tu hao ni wazee wako na umepiga picha nao ni kujidanganya. Mara nyingi wanaoandika historia za watu waliokuwa karibu nao wanakuwa na upofu fulani kuhusu historia wanazoandika.

Amandla...
 
Wazanzibari vipi wataacha kusheherekea mapinduzi wakati wamefanya chaguzi sita zote kura za wananchi haziheshimiwi?

Vipi wanataaishwa na sanduku la kura ilhali wao wamepeindua na wanadai wananchi wanawapenda?

Hao wanaochukua madaraka kwa nguvu si ndiyo waliopindua?
Vipi wataacha kuadhimisha mapinduzi?
Hapa Mohamed Said anasema, hao viongozi wa SMZ au nasaba zao ndio waliofanya mapinduzi hivyo hawataacha kusherehekea. Well wenye mapinduzi wapo nao pia wana nafasi ya kueleza yao
Kwetu hapa msimamo wa Mohamed Said ni ''Mapinduzi ni Haramu''
Tusubiri kwanza siku sanduku la kura litakapoheshimiwa tuone itakuwaje.
Sherehe za mapinduzi zitakuwapo au hazitakuwapo?
Hapa ana maana watakapochukua ACT ambao ni defunct CUF hakutakuwa na sherehe za Mapinduzi. Kuna tuhuma za siku nyingi kuwa kuanzia enzi za Maalim CUF haikutambua mapinduzi. Hili nalo linahusishwa sana na rangi.
Unaniuliza kama nimepata kukutana na viongozi wa mapinduzi.
Kuna viongozi wa mapinduzi waliokuwa Zanzibar Kamati ya Watu 14 na wako waliokuwa Tanganyika ndani ya serkali na wengine nje ya serikali waliokuwa wanakwenda kuvua samaki Bahari ya Hindi na Myahudi mkubwa wa makachero Kimche wakati wanatayarisha mapinduzi.

Hawa marafiki wa Kimche siwezi kuwataja kwa kuwa ni wazee wangu na bado wako hai.
Habari yote inakuwa uzushi na urongo! kwanini usubiri kusema watakapokuwa wamefariki?
Sababu kubwa ni kuogopa ''kusutwa'.
Halafu unasema umefanya research, ni ipi hiyo unayoficha majibu ya upande mmoja na kutoa ya upande wa pili. Hii habari ya kusubiri watu wafariki halafu utuletee habari zao ukiwa na picha zao si uungwana hata kidogo.
Ndipo siku zote nisemapo haya mambo kwangu mimi yalikuwa nyumbani kwetu.
Halafu hujui kwanini Wamakonde na si askari!!
 
Mimi sidhani kama kuna watu wanakukasirikia kwa sababu umeandika historia ya ndugu zako na uhusiano wao na TANU.
Hakuna, na ana haki ya kuandika 'memoir' na Mohamed hatakuwa wa kwanza
Ni pale unapoigeuza kuwa ni historia ya jinsi waislamu hawakutendewa haki na wakristu kwa sababu ya uislamu wao ndio tunakushambulia.
Na pia kuifanya historia ya ukoo wa Sykes kuwa historia ya Tanganyika.
Hakuna ushahidi wowote wa Sykes kufanya siasa nje ya Gerezani na kama upo Mohamed atueleze mkutano mmoja tu. Lakini pia hautuwezi kusahau kuwa ukoo wa Sykes ni mamluki waliokuja kuwapinga Wazalendo. Hivyo, walikuwa Wahalifu kabla ya kukumbatia Uzalendo
Historia yako inahojiwa kwa sababu mara nyingi unatumia ukaribu wako na ndugu zako kuwanyamazisha wote wasiokubaliana na wewe.
Ndio maana akiulizwa kwanini Wapelekwe Wamakonde wa Kipumbwi hana jibu
Ni kwasababu katika kutengeneza 'narrative' kuna gap na kama ujuavyo historia hujidhihiri haiandikwi kwa utashi.

Ni historia inayoandikwa kwa prejudice, kwamba, Wanamapinduzi habari zao haziandikwi kwasababu wapo hai. Mawaziri wa Sultan ambao ni beneficiaries wa utawala wa kiarabu ndio wanafanyiwa quotations kana kwamba tulitegemea Muhsin aseme mapinduzi ni halali
Historia mara nyingi inaandikwa na wengi na hakuna mwenye hati miliki juu yake.
Mohamed kachukua hati miliki pale anaposema ''Historia ya Kweli ya Tanganyika'' badala ya historia ya kweli ya wazee wake wa kidongo chekundu.
Ni katika kuunganisha hizo historia tofauti ndio historia yenye uhalisia itakapopatikana.
Ndio maana tunasoma vitabu na machapisho mbali mbali. Hili la kujimilikisha historia Mohamed kafaulu sana. Kawa hypnotize watu kiasi cha kwamba wanalipuka tu kwasababu Mohamed kaandika. Hili ni jambo la hatari sana, yaani hajengi watu kuwa na critical thinking, yeye ana pump incendiary remarks na hawa vijana wanabeba tu. Ukiwauliza maswali wanakwama kwasababu ya kujazwa hasira badala ya fikra
Kutegemea kuwa kila mtu atakubali kila unachoandika kwa sababu tu hao ni wazee wako na umepiga picha nao ni kujidanganya.
Hili analitumia sana kukwepa hoja. Ukimuuliza kitu kidogo utapata kurasa 4 kati ya hizo 3 ni picha na moja haielezi majibu ya hoja.
Mara nyingi wanaoandika historia za watu waliokuwa karibu nao wanakuwa na upofu fulani kuhusu historia wanazoandika.
Yes, Mohamed Said yupo biased. Hivi tunategemea Mohamed aeleze kwa uyakinifu kisa cha Nyerere kukosana na Abdul Sykes! Mohamed hawezi kwasababu kufanya hivyo ataiudhi familia ya Sykes na wale waliokaribu. Ni obvious kulikuwa na tiff kati ya Abdul na Nyerere kitu ambacho Mohamed hataki kukisogelea. Anajua wazi nini Abdul alikuwa nyuma yake kiasi Mwl alimweka pembeni.
 
Tuandikie historia yako tulinganishe
Janina,
Ukweli ni kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika ni moja na inaanza na African Association 1929.

Bahati nzuri historia hii imeandikwa na Kleist Sykes kabla hajafa 1949 na ikaja kuchapwa kama sura ya kitabu mwaka wa 1973.

Historia hii ikawa ipo.

Haya nimeeleza mara kadhaa.

Tawi lililokuwa na nguvu ni tawi la Dodoma wakati wa uongozi wa Ali Ponda na Hassan Suleiman katika miaka ya 1940.

Tatizo la historia iliyokuja kuandikwa ni kule kukwepa mchango wa Kleist Sykes ingawa tayari ilikuwapo na ikaendelezwa na watoto wake.

Hakuna ambaye ana historia ya TANU nje ya historia hii ya akina Sykes na Nyerere.

Ilipokuja kuandikwa historia ya TANU mwaka wa 1981 na Sykes wakafutwa mimi binafsi ikanishangaza kwa kuwa historia yenyewe ni historia ya babu na baba zangu naijua vizuri sana.

Siku zote tukihadithiwa vipi Abdul alivyompokea Nyerere nk. nk.

Kama kuna mtu atakuja na historia haitakuwa hii ya New Street 1929 au ya TAA 1954 wakati wa kuunda TANU.

Itakuwa historia baada ya kuundwa kwa TANU New Street na hii itakuwa historia vipi matawi ya TANU yalifunguliwa majimboni.

Historia hii nimeaiandika pia na huko majimboni ndiko nilipokuta historia za akina Sheikh Rashid Sembe, Hamisi Heri, Ali Migeyo, Salum Mpunga, Paul Bomani, Aikael Mbowe kwa kuwataja wachache.

Yapo mengi ya kueleza.
 
Hapa Mohamed Said anasema, hao viongozi wa SMZ au nasaba zao ndio waliofanya mapinduzi hivyo hawataacha kusherehekea. Well wenye mapinduzi wapo nao pia wana nafasi ya kueleza yao
Kwetu hapa msimamo wa Mohamed Said ni ''Mapinduzi ni Haramu''

Hapa ana maana watakapochukua ACT ambao ni defunct CUF hakutakuwa na sherehe za Mapinduzi. Kuna tuhuma za siku nyingi kuwa kuanzia enzi za Maalim CUF haikutambua mapinduzi. Hili nalo linahusishwa sana na rangi.

Habari yote inakuwa uzushi na urongo! kwanini usubiri kusema watakapokuwa wamefariki?
Sababu kubwa ni kuogopa ''kusutwa'.
Halafu unasema umefanya research, ni ipi hiyo unayoficha majibu ya upande mmoja na kutoa ya upande wa pili. Hii habari ya kusubiri watu wafariki halafu utuletee habari zao ukiwa na picha zao si uungwana hata kidogo.

Halafu hujui kwanini Wamakonde na si askari!!
Nguruvi3,
Kuna swali huwa naulizwa mara nyingi sana.
Kwa nini mimi sihamaki katika hii mijadala.

Jibu langu ni kuwa mimi sina tatizo na yale mwenzangu anayoamini mimi nitaeleza yale ninayoyajua na simlazimishi yeye kuniamini.

Wenzangu wao wanakasirika kwa kuwa hawataki kuyasikia yale ambayo mimi nayafahamu na nayaeleza.

Hiki ndicho kinachowafanya wao wapandwe na ghadhabu.

Nilihangaika sana na Mzee Kitwana Kondo anifungulie yale aliyokuwanayo katika harakati za kudai uhuru yeye akiwa Special Branch.

Jibu lake lilikuwa wengi bado wa hai siwezi kueleza mambo yao.

Baba yangu Mzee Kitwana Selemani Kondo kaingia kaburini na hazina yake kubwa ya historia.

Lakini siku moja wala bila ya kumuuliza akaniambia kuwa Ali Mwinyi Tambwe alikuwa ''mole'' wao ndani ya TANU lakini akanionya kuwa nisitoe habari ile hadi yeye amefariki.

Wakati huu Ali Mwinyi alikuwa marehemu.
Sijui kwa nini Wamakonde waliwekwa Kipumbwi na kama ningejua ningekueleza.

Habari ya Kipumbwi mimi kwa mara ya kwanza kanieleza Mzee Mohamed Omari Mkwawa na hakunificha kanifahamisha kuwa ''alikuwa kijana wa kazi,'' chini ya Ali Mwinyi Tambwe.

Nadhani nimekujibu sawa kuhusu mimi, ''kusutwa.''
Nakuwekea picha hapo chini ingawa zinakuudhi.

Nakuwekea ili ujue ni kwa kiasi gani nilikuwa karibu na baba zangu.
Picha inazungumza maneno 1000:

1640665756739.png

Nikimhoji Mzee Kitwana Kondo kipindi cha TV 2012 haya yalikuwa mahojiano yake ya mwisho.
 
Back
Top Bottom