Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Makala...Hiyo ni kwa Tanzania pekee?
Hakusoma taarifa ya Special Branch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makala...Hiyo ni kwa Tanzania pekee?
Hakuna ubishi katika hili midhali kakueleza. Hapa ndipo swali lililpo, je, alichokuwa anafanya ni kupigania uhuru au kupigana dhidi ya Uhuru? Na huyu si mzee wako kwa Maana ya Muislam?Kuwa Kitwana Kondo alikuwa Special Branch yeye mwenyewe akinieleza na watu wote wanajua.
Hakika ni vema ndio maana tunakueleza haya tukiyasoma std 6 enzi hizo '' not every flower is a rose'Mimi siku zote naandika lile ninalolijua na simlazimishi mtu kuniamini.
Hayahusiani na hoja, Mohamed ni mgumu sana katika kujibu hojaNaam Kitwana Kondo alikuwa Special Branch wala hili halina shaka kama unavyoona hapa nalizungumza kwa wote kusoma na kujua.
Hii ndiyo historia ya TANU.
Nimekueleza kuwa mmoja wa wazee wangu alikuwa rafiki mkubwa wa Kimche ningekaa kimya usingejua lakini ningekuwa nimeifanyia khiyana historia ya mapinduzi.
Nimekueleza pia mkutano wa Nansio kati ya Hamza Mwapachu na Abdul Sykes Ali Mwinyi akiwapo kumjadili Nyerere kumtia kwenye uongozi wa TAA 1953.
Nimekueleza Abdul na Dossa kumpeleka Nyerere Zanzibar kumjulisha kwa Karume hii 1954.
Sawa sawa ! halafu unamalumu Nyerere wakati kazi imefanywa na wazee wako. Unamlaumu Nyerere na Wamakonde wakati kazi imefanywa na wazee wako! hakuna siku walijutia hayoKuisaidia ASP aliyeaminiwa kupeleka mifuko ya fedha kwa Karume alikuwa Abbas Sykes.
Hili sikulisema alipokuwa hai.
Hakupenda lakini alishiriki, wamakonde wanasingiziwaNimeishi maisha yangu yote ya ukubwani pembeni ya Bwana Abbas na hakupenda kabisa yale yaliyotokea Zanzibar.
Mimi nimekuita uone jinsi ulivyodumaza vijana kwa kutoweza kufikiri. Katika uzi huu vijana wanakunuu tu ukiwauliza ilikuwaje wanasema 'Mohamed kasema'' hakuna critical thinking wanameza kila kitu, hakuna kutafuna mwisho matumbo yanawavurugika na kutuharibia ukumbiNilistahi sana hisia zake.
Uandishi huu wa ukweli ndiyo kwa hakika uliojenga historia hii ya wazee wangu ipendeze na kuvutia wengi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Vyombo vya habari vinapopishana mlangoni pangu haya ndiyo wanayotafuta kutoka kwangu.
Mimi naijua historia hii kwa kuwa ni historia ya baba zangu.
Ndiyo maana na wewe hubanduki kwangu.
Nimekuteka na elimu yangu.
Hauko peke yako.
Mtaani kwangu wajukuu zangu vitoto vya mtaani kwangu wakimuona Mzungu haraka wanamuonyesha nyumba yangu.
Wanajua watu wa sampuli hii huja kwa babu.
Hawa wanafunzi Ph. D. kutoka kwingi akina Ann Lee Grimstad, James Brennan, James ''Sheikh Ahmed'' Brendon kwa kuwataja wachache.
Niliwajua wakiwa watoto wadogo wamenifata Tanga na ''backpack'' zao nimekwenda Amerika nimewakuta watu wazima maprofesa wanasomesha hii historia ya uhuru wa Tanganyika kama walivyopokea kwangu na kama walivyosoma katika kitabu cha Abdul Sykes.
Huu ndiyo urithi niliopokea kutoka kwa wazee wangu hawa.
Picha zangu kidogo zinakuudhi lakini nakuwekea kwani picha inazunguza maneno 1000 na kuna vijana huniuliza, ''Hivi kweli Mzee Mohamed uliwajua hawa watu waliofanya haya yote?''
View attachment 2060411
Abbas Sykes nikimfanyia mahojiano ya TV nyumbani kwake Sea View 2012.
Nguruvi,Hakuna ubishi katika hili midhali kakueleza. Hapa ndipo swali lililpo, je, alichokuwa anafanya ni kupigania uhuru au kupigana dhidi ya Uhuru? Na huyu si mzee wako kwa Maana ya Muislam?
Je, hakuwa anahujumu watu wake yeye na Mwinyi Tambwe?
Je, Kitwana na A.M. Tambwe hawakuhusika na kuwachomea akina Nyerere na pengine kuwaletea kesi? Katika Uislam hili linaitwajwe? Ushujaa, unafiki au uzandiki?
Hakika ni vema ndio maana tunakueleza haya tukiyasoma std 6 enzi hizo '' not every flower is a rose'
Hayahusiani na hoja, Mohamed ni mgumu sana katika kujibu hoja
Sawa sawa ! halafu unamalumu Nyerere wakati kazi imefanywa na wazee wako. Unamlaumu Nyerere na Wamakonde wakati kazi imefanywa na wazee wako! hakuna siku walijutia hayo
Mapinduzi Daima leo unasema ni haramu ! haramu ya wazee wako!
Hakupenda lakini alishiriki, wamakonde wanasingiziwa
Mimi nimekuita uone jinsi ulivyodumaza vijana kwa kutoweza kufikiri. Katika uzi huu vijana wanakunuu tu ukiwauliza ilikuwaje wanasema 'Mohamed kasema'' hakuna critical thinking wanameza kila kitu, hakuna kutafuna mwisho matumbo yanawavurugika na kutuharibia ukumbi
Nipo hapa siku zote kuweka sawa mambo ya upotoshaji. Hili la Abbas Sykes ni la sita katia yale niliyokueleza yanatokana na mnakasha
Ninatatizika sana pale unapoulizwa kitu na kujibu kingine, hakuna summary wala 'concise'
Hili lifanyie kazi Mo, maana kama ni Mwl wanafunzi wako watafeli sana, samahani ni ukweli
Ni kweli zinaudhi kwasababu hazihusiani na majadala. Nimekuuliza Fitna za Kitwana Kondo na Ali Mwinyi Tambwe wewe unamleta Abbas , inahusu nini ! unaleta wanafunzi wakizungu wakiwa na backpack yahusu nini.
Walaa huntaabishi kabisa, nipo nawe miaka mingi sana tukijadili hizi NganoNguruvi,
Nakupa historia kwa ukweli wake.
Tatizo liko wapi?
Mimi naijua historia ya Tanganyika na Zanzibar na naieleza kwa utafiti niliofanya na kwa kauli za walioshiriki.
Ikiwa nakutaabisha si acha kunisoma?
Kwani unalazimishwa?
Si ndiye aliyepeleka wamakonde Zanziabr ambao huwezi kueleza kwanini wamakonde na si askariNyerere nimlaumu nini mimi?
Tunajua historia imeanza hata Nyerere hajazaliwa, hiyo haiondoi mchango wake katika wakati wowote wa historia uwe mdogo au mkubwa na hasa ukweli kuwa alikuwa Rais wa Tanganyika si AbdulNimemweleza kama alivyokuwa kuwa historia ya Tanganyika dhidi ya Ukoloni haianzi na yeye.
Fundi Mchundo kakueleza wazi kwamba wewe unataka kuchukua umiliki wa historia , si kweli.Mengine ya Zanzibar nimeyaeleza kama yalivyokuwa.
Ningependa kukufahamisha kuwa hakuna wa kunifunza kitu katika historia hii.
Ukinywa chai nao si ushahidi maana Fundi Mchundo kakuonyesha wazi wakati yakitokea hukuwepo na uliyokuwepo ulikuwa mtoto. Kakupa factsNadhani unajua vipi nilivyosuhubiana na hawa wahusika kwa ushahidi wa nyaraka na picha.
Ahaaa! maswali yanayofikirisha na kuonyesha matundu ya historia . Kupitia hayo maswali wanaofikiri (siyo kumeza) wanajiuliza ' wait a minute' halafu wanatafuta ukweli.Wewe mchango wako hapa barzani ni kuniuliza mimi maswali.
YesUnalo la zaidi ya hilo?
Bahati mbaya ni bazazi mkosa Adabu, ndani ya mijadala ya KIELIMU anaingiza majivuno na kutweza wengine, utamuona mara kadhaa akitumia kiingereza kama limbukeni kisha achanganya na kiswahili, sijapato kufahamu ni msomi wa kiwango gani hasa, kushindwa kutambua hilo, hebu ajikite kwenye hoja hasa nini hasa tatizo? Uandishi wako uliojumuisha vyanzo mbalimbali vya taarifa? Wewe kuwa muislam? Au historia kuwa imegubikwa na uislamu na waislamu wengiNguruvi,
Nakupa historia kwa ukweli wake.
Tatizo liko wapi?
Mimi naijua historia ya Tanganyika na Zanzibar na naieleza kwa utafiti niliofanya na kwa kauli za walioshiriki.
Ikiwa nakutaabisha si acha kunisoma?
Kwani unalazimishwa?
Nyerere nimlaumu nini mimi?
Nimemweleza kama alivyokuwa kuwa historia ya Tanganyika dhidi ya Ukoloni haianzi na yeye.
Mengine ya Zanzibar nimeyaeleza kama yalivyokuwa.
Ningependa kukufahamisha kuwa hakuna wa kunifunza kitu katika historia hii.
Nadhani unajua vipi nilivyosuhubiana na hawa wahusika kwa ushahidi wa nyaraka na picha.
Wewe mchango wako hapa barzani ni kuniuliza mimi maswali.
Unalo la zaidi ya hilo?
Nguruvi3,Walaa huntaabishi kabisa, nipo nawe miaka mingi sana tukijadili hizi Ngano
Si ndiye aliyepeleka wamakonde Zanziabr ambao huwezi kueleza kwanini wamakonde na si askari
Leo unaeleza wazee wako akina Sykes walihusika katika mapinduzi unayosema ni haramu
Tunajua historia imeanza hata Nyerere hajazaliwa, hiyo haiondoi mchango wake katika wakati wowote wa historia uwe mdogo au mkubwa na hasa ukweli kuwa alikuwa Rais wa Tanganyika si Abdul
Fundi Mchundo kakueleza wazi kwamba wewe unataka kuchukua umiliki wa historia , si kweli.
Historia ni mkusanyiko wa habari zinazotoka katika sources tofauti. Hadi leo watu wanatafiti historia ya Uingereza seuse wewe na Sykes ya juzi
Ukinywa chai nao si ushahidi maana Fundi Mchundo kakuonyesha wazi wakati yakitokea hukuwepo na uliyokuwepo ulikuwa mtoto. Kakupa facts
Ahaaa! maswali yanayofikirisha na kuonyesha matundu ya historia . Kupitia hayo maswali wanaofikiri (siyo kumeza) wanajiuliza ' wait a minute' halafu wanatafuta ukweli.
Kuna text nazipata ' umetufumbua n.k.'
Yes
1. Familia ya Sykes ilihusika na mapinduzi ya Zanzibar unayoita haramu
watu wakisema Nyerere lanatullah basi wasikomee hapo, waendelee Sykes, Kitwana na Tambwe
2. Kitwana Kondo na AM Tambwe walihujumu harakati wakiwa wazee wako(waislam), fitna
3. Huna majibu kwanini wamakonde wa Kipumbwi na si askari- ngano na tamthilia
4. Hukuhoji wanampainduzi kwa kisingizio cha kusubiri wafariki ili utuletee picha ...
5. Umetafiti kwa bias, hivi unamhoji Jamsheed au waziri wake ukitegemea akwambie nini kuhusu mapinduzi ya Unguja.
6. Abdul Sykes hakuwahi kufanya mkutano wowote na popote Tanganyika nje ya Tandamti na kipata
Kwahiyo kumsema Nyerere vibaya ni fitna !Nguruvi3,
Waze wangu wote walikuwa TANU na ASP hili wala silikatai.
Nakukumbusha tu Sheikh, Abdul hata apakwe rangi na Nyerere apakwe matope historia inaeleza, Nyerere alikuwa Rais wa Tanganyika huru, Abdul Sykes hakuwahiWapi nimesema Abdul alikuwa Rais?Nikisema hivyo si nitachekesha barza?
Mashallah hizo ni neghma za Mwenyezi. Penye matundu tutakuonyesha tu hapa sivyo, hili kweli lile ngano. Hizo ndizo changanoto za kuwa ''academician' wa kweliMimi niko katika Dictionary of African Biography, Nyerere Biography, Cambridge Journal of African History, kitabu cha Abdul Sykes kinasomeshwa vyuo kadhaa Ulaya na Marekani, nimezungumza vyuo kadhaa Afrika na Marekani, nimeandika vitabu 10 nimezunguka ulimwengu si kwa lolote ila kwa kalamu yangu.
Sheikh kwani kutokujua ni kosa au laana. Punguza ghadhabu muungwana.Umesoma mara kadha nikikuambia kuwa sitakuita muongo kwa kuwa najua hujui.
Fanya ''search,'' na rejea kusoma maneno hayo.
kheriHebu niambie wasomaji wangapi wapo katika uzi huu?
Unadhani wanakuja kukusoma wewe na kejeli na kebehi zako?
Hapa umepata ghadhabu weli, pata funda la maji kaa kitako halafu tuongee sheikh.Umepata kuandika kitabu chochote, paper, kualikwa kwenye vyuo?
Unaandika umejificha.
Mohamed Said yuko hapa in ''flesh and blood.''
Atakae kuhojiana na yeye na ajitokeze.
Sijajificha.
Sijifichi kwa kuwa nasema kweli.
Jitokeze hapa nikuone na wasomaji wakuone.
Huwezi.
Muoga.
Ndio na huo ni ukweli. Akina Sykes walikuja kama Babu MwekapopoBabu yangu Salum Abdallah kapigania uhuru wa Tanganyika lau baba yake babu yangu mkuu Samitungo Muyukwa Mwekapopo kaingia Germany Ostafrika akitokea Belgian Congo amebeba bunduki na jeshi la Wajerumani kuja kupigana na Waafrika wenzake - Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim Al Harith.
Hii ni historia ya babu zangu siikatai kwani ndiyo ukweli wenyewe.
Wala siionei aibu kwani hii ni changamoto katika changamoto za Ukoloni.
ndiyo Tandamti na KipataAbdul Sykes na mikutano ya Tandamti.
Nilikuuliza Tanganyika, huko ulikotaja ni Kenya. Tuonyeshe eneo moja nje ya Tandamti, Kipata au new street ambako Abdul aliwahi kufanya mkutano hata mmoja,Sawa.
Mkutano na Jomo Kenyatta, Peter Mbiu Koinange, Kung'u Karumba, Bildad Kaggia, Paul Ngei na viongozi wengine wa KAU hii kwako si lolote.
Kapenguria siyo TanganyikaAu hujui kama hii ndiyo ile timu ya Kapenguria?
Seheikh Mohmed ghadhabu haifai, kaa chini pata funda la maji.Choyo, chuki, hasad na wivu vimekutawaleni mnafikia hata kubadili historia za watu.
Nani mjanja aliyefutia historia ya wazee wake au yule aliyeirejesha.
Basi ikipigwa Nyerere laanatullah, watu wasisahau 'wazee wa Mohamed laatutllah'Wazee wangu wote kama nilivyokueleza walikuwa TANU na ASP na najua ushiriki wao katika mapinduzi ya Zanzibar.
Nguruvi 3,Kwahiyo kumsema Nyerere vibaya ni fitna !
Nakukumbusha tu Sheikh, Abdul hata apakwe rangi na Nyerere apakwe matope historia inaeleza, Nyerere alikuwa Rais wa Tanganyika huru, Abdul Sykes hakuwahi
Mashallah hizo ni neghma za Mwenyezi. Penye matundu tutakuonyesha tu hapa sivyo, hili kweli lile ngano. Hizo ndizo changanoto za kuwa ''academician' wa kweli
Sheikh kwani kutokujua ni kosa au laana. Punguza ghadhabu muungwana.
Sindano zauma lakini ndio dawa ivo!
kheri
Hapa umepata ghadhabu weli, pata funda la maji kaa kitako halafu tuongee sheikh.
Starehe ya mnakasha ni kuridhiana , laa kwasasa nakusihi upumue kidogo funda lititie tumboni
Ndio na huo ni ukweli. Akina Sykes walikuja kama Babu Mwekapopo
ndiyo Tandamti na Kipata
Nilikuuliza Tanganyika, huko ulikotaja ni Kenya. Tuonyeshe eneo moja nje ya Tandamti, Kipata au new street ambako Abdul aliwahi kufanya mkutano hata mmoja,
Kapenguria siyo Tanganyika
Seheikh Mohmed ghadhabu haifai, kaa chini pata funda la maji.
Basi ikipigwa Nyerere laanatullah, watu wasisahau 'wazee wa Mohamed laatutllah'
Wote waliunga mkono Mapinduzi daima chini ya ASP.
Ila Kitwana na Ali waliokuwa special branch walikuwa fitna wakimpinga Nyerere kwa kutumika na wakoloni. Halafu vijana wako wanasema Nyerere alikuwa kibaraka, kumbe kuna watu waliokuwa na Fitna . Hili nalo umetusaidia kujua na hapa ndio nakupa credit kama Makala josee anavyosema. Hatukujua hawa watu walikuwa na Fitna sana
Mohamed, kama ningalikuwa kule Magila Mission au Ngamiani barabara ya II kwetu ningekuambia maneno machache sijui kama hayataudhi ' tupumzike kidogo ili urudishe moyo, nshakusamhe ulipo ghafilika, hakika sisi ni viumbe dhaifu kusameheana ndio uungwana
Review by Brian Eccles (Zanzibar & Tanganyika 1952-61) |
| This book is not about TANU, nor even about the struggle for Uhuru in Tanganyika; it is about the part that Sykes and his Muslim associates played in that struggle. It suggests (incidentally, not deliberately) what might have happened if the TAA (Tanganyika African Association) had not handed over to the TANU (Tanganyika African National Union) and Sykes to Nyerere in 1953. At that moment there was lift-off and Nyerere began nation-building.0B This book divides itself into four parts. The first is concerned with the Kleist family history, their coming from Mozambique to settle in Arab-dominated but German-ruled Dar es Salaam. The second part concerns Kleist's father's role in Dar es Salaam docks and the son's assumption at the age of 24 of the General Secretaryship of the Dockworkers Union. (The family name was Kleist in German Colonial times, it was Sykes in British Colonial times). Five years' later Abdulwahid was manoeuvring to get Nyerere, a Christian, to run the Tanganyika African Association (TAA) which he had built on the foundation of the Dockworkers Union. A National party needed the support of up-country Christians and what the author calls 'Nyerere intellectuals'. This was Abdulwahid's great decision. It is the theme of the third part of the book. The fourth part is concerned with the author's second thoughts; should not Mrima (the coastal area) have remained the effective power base (which colonialism - whether Arab, German or British - had made it) in Tanganyika? Union with Zanzibar was to create additional problems. The book's sub-title is "the untold story of the Muslim struggle against British Colonialism in Tanganyika". Nyerere embarks on more than that. For him, a man from the Lake Victoria area, Tanganyika was more than the Mrima area, indirect rule was an old-fashioned colonial concept. The new Tanganyika needed direct rule (a concept that it was more difficult to impose on Zanzibar and Pemba). How little we British knew of the aspirations of Tanganyika politicians (still less understood or sympathised with them). Nyerere changed this, whereas Abdulwahid went on ploughing his lonely furrow. After the 1958 election the author admits that "the Muslims who had sacrificed a lot in the struggle... began to lose control of policies, and were consequently marginalised, never again to regain their political power". This was the equality of opportunity for which Nyerere had worked but about which Sykes had reservations. This is a fascinating if erratic book for those of us who were participants or even bystanders. |
Ni vizuri kuwa umejibu review ya Eccles na umeweka wazi mapungufu yake. Lakini ukweli bado ni kuwa ulicho andika ni historia ya Abdulwahid Sykes na sio historia ya TANU. Kwa kufanya hivyo umeangalia zaidi mchango wake katika uanzishwaji wa TANU na haukuangalia sana michango ya wengine. Aidha, umeangalia pia kile unachoona ni kusahauliwa kwa mchango wa waislamu katika mapambano dhidi ya ukoloni wa muingereza. Hiki sisi hatuna shida nacho. Ni haki yako na unastahili pongezi kwa kufanya hivo.
This book is not about TANU, nor even about the struggle for Uhuru in Tanganyika; it is about the part that Sykes and his Muslim associates played in that struggle. It suggests (incidentally, not deliberately) what might have happened if the TAA (Tanganyika African Association) had not handed over to the TANU (Tanganyika African National Union) and Sykes to Nyerere in 1953. At that moment there was lift-off and Nyerere began nation-building.0B
This book divides itself into four parts. The first is concerned with the Kleist family history, their coming from Mozambique to settle in Arab-dominated but German-ruled Dar es Salaam. The second part concerns Kleist's father's role in Dar es Salaam docks and the son's assumption at the age of 24 of the General Secretaryship of the Dockworkers Union. (The family name was Kleist in German Colonial times, it was Sykes in British Colonial times).
Five years' later Abdulwahid was manoeuvring to get Nyerere, a Christian, to run the Tanganyika African Association (TAA) which he had built on the foundation of the Dockworkers Union. A National party needed the support of up-country Christians and what the author calls 'Nyerere intellectuals'. This was Abdulwahid's great decision. It is the theme of the third part of the book.
The fourth part is concerned with the author's second thoughts; should not Mrima (the coastal area) have remained the effective power base (which colonialism - whether Arab, German or British - had made it) in Tanganyika? Union with Zanzibar was to create additional problems.
The book's sub-title is "the untold story of the Muslim struggle against British Colonialism in Tanganyika". Nyerere embarks on more than that. For him, a man from the Lake Victoria area, Tanganyika was more than the Mrima area, indirect rule was an old-fashioned colonial concept. The new Tanganyika needed direct rule (a concept that it was more difficult to impose on Zanzibar and Pemba).
How little we British knew of the aspirations of Tanganyika politicians (still less understood or sympathised with them). Nyerere changed this, whereas Abdulwahid went on ploughing his lonely furrow.
After the 1958 election the author admits that "the Muslims who had sacrificed a lot in the struggle... began to lose control of policies, and were consequently marginalised, never again to regain their political power". This was the equality of opportunity for which Nyerere had worked but about which Sykes had reservations.
This is a fascinating if erratic book for those of us who were participants or even bystanders.
Ndugu zanguni huu mjadala kwa upande wangu nilishauhitimisha.
Hapa nazungumza na Bwana Brian Eccles mwandishi wa review ya kitabu cha Abdul Sykes.
Kwa makusudi kabisa nimeweka review yake yote ili usihadaike na kipande kifupi kilichowekwa.
Kipande hicho kimenikumbusha mzee wangu Aboud Jumbe alipokuwa ananihadithia yale yaliyotokea Dodoma na kusabisha yeye kujiuzulu.
Anasema Mwalimu alikuwa anasoma kutoka barua yake zile sehemu ambazo yeye Mwalimu alikuwa anazipenda.
Jumbe akimwambia asome na hizo sehemu nyingine Mwalimu alikuwa anakataa kusoma anashikilia hapo hapo kama mtoto aliyepewa pipi na sasa anataka kunyang’anywa.
Brian Eccles anasema kitabu kina sehemu nne.
Si kweli kitabu cha Abdul Sykes kina sehemu tatu.
Lakini sitamuita muongo nataka niwe na dhana nzuri na yeye.
Namchukulia kuwa labda hakukisoma kitabu au si mtu makini kahemkwa na kuona kitabu kimetaja, ‘’…the untold story of the Muslim Struggle Against British Colonialism…’’
Hili la Uislam kama kawaida limemuudhi ndipo akafungua andiko lake kwa kusema kuwa kitabu hiki hakihusu TANU wala harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika na akaendelea na maneno mengine.
Naamini wasomaji wangu sihitaji hapa mimi kusherehesha chochote kwani kitabu hiki ni maarufu na waliokisoma wanajua nini kilichopo ndani yake.
Lakini sitamwita muongo.
Namchukulia kama ninavyowachukulia wengine kuwa hajui kitu anahangaishwa na mhemko.
Anaendelea kusema kipi kingetokea iwapo harakati zisingepewa Nyerere nk. nk.
Sasa haya si maneno yake haya maneno kayachukua kutoka kwangu.
Nimeeleza katika kitabu kuwa baada ya serikali kutoa Government Circular No. 1 August 1, 1953 kuwakumbusha wafanyakazi wa serikali kutojihusisha na siasa mambo ndiyo yakapamba moto.
Kuna mengii hapa siwezi kuyaeleza yote itoshe tu kusema kuwa kipindi hiki President wa TAA alikuwa Julius Kambarage Nyerere na Makamu wa Rais Abdulwahid Kleist Sykes wanaelekea kwenye kuunda TANU.
Bwana Eccles anazungumza kuhusu, ‘’Nyerere intellectuals.’’
Hakuna neno hilo katika kitabu changu.
Nimetumia neno, ‘’Makerere Intellectuals,’’ na hilo neno nimelipata kutoka kwa Judith Listowel katika kitabu chake, ‘’The Making of Tanganyika,’’ (1965).
Kutoka hapa ndipo Eccles anazungumza sehemu ya nne ya kitabu cha Abdul Sykes ambayo haipo.
Sina la kusema kwa uchovu.
Hapa nafunga mdomo wangu na kalamu yangu naiweka chini kwa kuwa siwezi kuandika kuhusu kitu kisichokuwapo.
Wala sioni sababu ya kugusa makosa yake katika uandishi.
Hajui wapi kwa kuweka herufi kubwa wapi herufi ndogo.
Haya ndiyo ya Bwana Brian Eccles yaliyowekwa hapa niliyoletewa.
Haya mambo yanataka sana subra.
Kazi kwenu wasomaji wangu.
Lakini Mzungu ni Mzungu hata akiwa wa karata.
View attachment 2061307
Kaka Mohamed wewe ni wa kipekee sana, narejea ushauri wa Paschal Mayalla hebu uwe na kipindi katika stesheni zetu za ndani kiwe na muendelezo, kuna shule kubwa sana hapa, hata hawa wanaokunakasha usiwapuuze ni watu muhimu sana hasa huyu fundimchundo na bwana Nguruvi3 mwenye mizaha mingi na kuiviza akili yake kwa upumbavu bali wamekuwa wakiibua maswala ya muhimu ambayo kiasi yanatupa wigo wakuwafahamu wa mlengo wa kushotoNguruvi3,
Mimi nimeandika kitabu cha maisha ya Abdul Sykes unaita ngano.
Sawa ni ngano lakini bado unataka kujadili ngano na mwandishi wa ngano.
Ngano zinapuuzwa hazijadiliwi.
Hakuna cha kujadili kwenye porojo.
Waze wangu wote walikuwa TANU na ASP hili wala silikatai.
Nimekueleza hapa kuwa baba yangu marafiki zake wakubwa walikuwa Jaha Ubwa na Abdulaziz Twala.
Hawa ni ASP kindakindaki na wana mapinduzi na kulikuwa na picha sebuleni kwetu ya hawa pamoja na baba yangu.
Picha hii ilitunguliwa walipouawa.
Baba yangu kwa uchungu wa kuuliwa rafiki zake hakuwa na moyo wa kuitazama hii picha.
Kuna mambo mengine mimi nakunyamazia sijibu kwa kuwa sipendi ubishi nakuachia useme upendavyo.
Wapi nimesema Abdul alikuwa Rais?
Nikisema hivyo si nitachekesha barza?
Unapenda hii ''chai,'' unairudia mara nyngi tu.
Kejeli na kebehi.
Sawa.
Ndicho ulichonacho.
Wewe unapata ''text,'' ziweke hapa tuzisome.
Mimi niko katika Dictionary of African Biography, Nyerere Biography, Cambridge Journal of African History, Library of Congress, kitabu cha Abdul Sykes kinasomeshwa vyuo kadhaa Ulaya na Marekani, nimezungumza vyuo kadhaa Afrika na Marekani, nimeandika vitabu 10 nimezunguka ulimwengu si kwa lolote ila kwa kalamu yangu.
Nadhani unajua kuwa nimetunukiwa ''cerificate,'' hapa JF.
Wewe unatamba na ''text.''
Sawa ndicho ulichojaaliwa.
Lakini hata mimi napata ''text.''
Umesoma mara kadha nikikuambia kuwa sitakuita muongo kwa kuwa najua hujui.
Fanya ''search,'' na rejea kusoma maneno hayo.
Hebu niambie wasomaji wangapi wapo katika uzi huu?
Unadhani wanakuja kukusoma wewe na kejeli na kebehi zako?
Umepata kuandika kitabu chochote, paper, kualikwa kwenye vyuo?
Unaandika umejificha.
Mohamed Said yuko hapa in ''flesh and blood.''
Atakae kuhojiana na yeye na ajitokeze.
Sijajificha.
Sijifichi kwa kuwa nasema kweli.
Jitokeze hapa nikuone na wasomaji wakuone.
Huwezi.
Muoga.
Babu yangu Salum Abdallah kapigania uhuru wa Tanganyika lau baba yake babu yangu mkuu Samitungo Muyukwa Mwekapopo kaingia Germany Ostafrika akitokea Belgian Congo amebeba bunduki na jeshi la Wajerumani kuja kupigana na Waafrika wenzake - Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim Al Harith.
Hii ni historia ya babu zangu siikatai kwani ndiyo ukweli wenyewe.
Wala siionei aibu kwani hii ni changamoto katika changamoto za ukoloni.
Nacheka.
Abdul Sykes na mikutano ya Tandamti.
Kejeli na kebehi kwa wazee wangu.
Sawa.
Mkutano na Jomo Kenyatta, Peter Mbiu Koinange, Kung'u Karumba, Bildad Kaggia, Paul Ngei na viongozi wengine wa KAU hii kwako si lolote.
Au hujui kama hii ndiyo ile timu ya Kapenguria?
Wasomaji wangu wa maana historia hii huwashangaza.
Choyo, chuki, hasad na wivu vimekutawaleni mnafikia hata kubadili historia za watu na kupenyeza uongo.
Nani mjanja aliyefutiwa historia ya wazee wake au yule aliyeirejesha?
Naam historia hii ilifutwa na mimi nimeiandika na sasa tunaijadili.
Lakini Prof. Haroub aliposoma kitabu cha Abdul Sykes na cha Sheikh Ali Muhsin Barwani, ''Conflict and Harmony in Zanzibar,'' alimkabili Nyerere uso kwa macho na kumwambia kuwa Mwalimu na wewe lazima uandike ueleze upande wako kwani Mohamed Said kasema mengi ambayo yamepindua historia yako yote na ''legacy,'' yako.
Hakuishia hapo alikwenda kwa Ahmed Rashad kuuliza historia ya Abdul Sykes.
Wazee wangu wote kama nilivyokueleza walikuwa TANU na ASP na najua ushiriki wao katika mapinduzi ya Zanzibar.
Leo Abdul Sykes hakuna asiyejua historia yake katika uhuru wa Tanganyika na yeye na mdogo wake Ally wametunukiwa Medali ya Mwenge wa Uhuru ingawa baada ya miaka 50.
Picha kidogo:
View attachment 2060838
Kulia Sheikh Ahmed Islam, Ahmed Rashad na Prof. Haroub Othman Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere safari ya Jeddah 1997.
Nilikuwa na hawa wazee safari moja Jeddah, Makka na Madina na ilikuwa nafasi kubwa kwetu sote kuulizana mengi.
Makala...Kaka Mohamed wewe ni wa kipekee sana, narejea ushauri wa Paschal Mayalla hebu uwe na kipindi katika stesheni zetu za ndani kiwe na muendelezo, kuna shule kubwa sana hapa, hata hawa wanaokunakasha usiwapuuze ni watu muhimu sana hasa huyu fundimchundo na bwana Nguruvi3 mwenye mizaha mingi na kuiviza akili yake kwa upumbavu bali wamekuwa wakiibua maswala ya muhimu ambayo kiasi yanatupa wigo wakuwafahamu wa mlengo wa kushoto
Na hapa ndipo hasa tofauti ya wengi na Mohamed nikiwemo inapokuja. Hatuna shida kwa yeye kumuadhimisha Abdul Sykes au Wazee wake wengine. Wapo walioandika historia za koo , makabila au mikoa yao. Tatizo ni pale anapomfanya Abdul Sykes kama TANU na kiongozi wa Uhuru wa Tanganyika peke yake. Historia haionyeshi hivyoNi vizuri kuwa umejibu review ya Eccles na umeweka wazi mapungufu yake. Lakini ukweli bado ni kuwa ulicho andika ni historia ya Abdulwahid Sykes na sio historia ya TANU.
Hili sina shida nalo kabisa kwasababu ni haki pia tukiangalia mchango wa Wahindi au Wazungu au Wenyeji wa miji kama Dar kama sehemu ya Historia. Kuandika Historia ya mchango wa Waislam sioni kama tatizo lakini kuufanya mchango huo kama ndio pekee na ndio Uhuru, kuna shida hapoKwa kufanya hivyo umeangalia zaidi mchango wake katika uanzishwaji wa TANU na haukuangalia sana michango ya wengine. Aidha, umeangalia pia kile unachoona ni kusahauliwa kwa mchango wa waislamu katika mapambano dhidi ya ukoloni wa muingereza. Hiki sisi hatuna shida nacho. Ni haki yako na unastahili pongezi kwa kufanya hivo.
Kuanzia AA na Fundi umetuonyesha chanzo chake kingine cha 'civil servants' utaona kuna watu wa dini zote na rangi zote. Mfano Kleist alifanya kazi na Cecil Matola, akina Abdulwahid walikuwa na V. Kyaruzi hadi Nyerere. Ukiangalia hawa wazee walijali sana mchango wa mtu kuliko imani yake. Wazee walipomkaribisha Nyerere walijua ni Mkatoliki na anafundisha shule ya Wakatoliki.Tunachopinga ( kama alivyosema Eccles) ni kutaka kuifanya historia ya Abdulwahid Sykes ndio historia ya TANU na kutaka kutuaminisha kuwa waislamu ( hususan wale wa Gerezani) hawakutendewa haki kwa maksudi ingawa wao ndio walioongoza mpambano. Sisi tunaona huu ni uongo kwa sababu vita dhidi ya ukoloni haikupiganwa kwa msingi wa udini au ukabila. Na kuna waislamu waliwapinga wale waliotaka kuingiza udini katika vita ile. Hili mara nyingi linakuwa wazi kwenye mabandiko yako na kwenye mafundisho yako kwa waislamu wenzako. Huu ni udini na unalenga katika kulets mpasuko katika jamii.
KuntuVita ya Maumau iliyowahusisha wakina Kenyatta ilikuwa inapigania haki za wakikuyu zaidi ya haki ya wakenya kwa ujumla. Hii imechangia sana ukabila uliopo Kenya hadi leo. Lakini wakina Sykes ( Btw Sykes alikutana na wakina Kenyatta mwaka 1950 kwa sababu wakati ule ndoto ilikuwa ni panafricanism na aliona ni wajibu wa watanganyika na waganda kusaidia Kenya African Union katika mpambano yao na waingereza) walitambua kuwa ni lazima washirikiane na watu kutoka sehemu za Tanganyika na wa dini nyingine ili uhuru wa nchi yao uweze kupatikana. Ndio maana toka mwanzo walishirikiana na wakina Martin Kayamba msomi wa Oxford kutoka Tanga ambae mwaka 1922 aliyeanzisha the Tanganyika Territorial African Civil Servants Association na kwa kiasi kikubwa kiliwezesha kuanzishwa kwa Tanganyika African Association na wakina Kleist Sykes, Cecil Matola na wengine mwaka 1929 baada ya kushauriwa kufanya hivyo na Dr. James Aggrey kutoka Ghana.
Ni ukweli kuwa ingawa makao makuu yalikuwa Dar, ni matawi ya Dodoma na Bukoba ndio yalikuwa radical. Dar es Salaam walijikita zaidi katika mambo social na kutafuta uwakilishi katika serikali ya kikoloni. Wakina Erica Fiah walipingwa walipotaka kukifanya chama kuwa radical zaidi. Ni wazi kuwa wakina Sykes, Vedasto Kyaruzi na vijana wengine walileta mapinduzi katika TAA kwa kuwaondoa wazee wao wakina Kleist na Cecil katika sehemu za uongozi.
Hili tumejadiliana na Mohamed miaka mingi sana hapa JF tukimweleza wazi kuwa Nyerere hakuanza siasa na Abdul Sykes na wala akina Abdul hawaku 'introduce him' katika siasa.Kila siku unazungumzia wakina Sykes kumpokea Nyerere alipokuja Dar kama vile wao ndio walimuingiza katika siasa za TAA. Hiki si kweli kwa sababu Nyerere alijiunga na TAA mwaka 1945 na alianzisha tawi Makerere alipokuwa anasoma na wakina Andrew Tibandebage na Hamza Kibwana Mwapachu baada ya kuanzisha nao the Tanganyika African Welfare Association.
Marhumu Alnour Kassam aliyetutoka majuzi tu. Kwa faida ya vijana, huyu Derek Bryceson alikuwa Mbunge na wakati Sinza inaanza kupanuka na kujengwa kuna aina ya mjengo wa nyumba ulipewa jina lake. kuna wazungu wengine kama Dr L.D.Stirling aliyeanzisha Hospitali ya Lulindi na baadaye kuwa waziri wa Afya.Madai ya uhuru hayakuwa ya watu weusi peke yao, kuna wazungu kama Tom Tyrrell ( Tanganyika European Council, Capricorn Africa Association, United Tanganyika Party), wakulima Derek Bryceson na Lady Chesham ambao waliungwa mkono na TANU katika uchaguzi wa 1958-59. Lady Chesham alianzisha the Community Development Trust of Tanganyika mwaka 1962 na Bryceson alikuwa mbunge na waziri katika serikali baada ya uhuru. Kuna wahindi kama Amir Jamal na Abdulkarim Karimäen ambao waliunga mkono TANU. Kilichokuwa wazi ni kuwa wazee wetu walifanya juhudi za ziada kuvuka mipaka ya udini, ukabila na urangi katika jitihada zao za kupigania uhuru wa Tanganyika. Haikuwa one man show ya Abdul Sykes na Nyerere. Haikuwa ya wakina Dossa Aziz wa Gerezani peke yao. Haikuwa ya wagalatia wakina Oscar, Dennis, Andrew peke yao. Ilikuwa ya watanganyika, period. Wakina Sykes na Nyerere walikuwa viongozi lakini bila ridhaa ya watanganyika kutoka bara na mrima, wa makabila yote, wa dini zote wasingeambulia kitu.
Huu ni udhaifu wa Mohamed hataki kukoselewa kwasababu ana hati miliki ya Historia ya TanganyikaNaona katika kum beza Eccles umewakandia wazungu wote ukisahau kuwa kwa kiasi kikubwa maandiko yako yametokana na maandiko ya wakina John Iliffe na shule unazotambia kuwa zimekupa heshima ni za wazungu.
Ahsante FundiNimekushangaa pia kukusikia kuwa hamna mtu wa kukufundisha kuhusu historia ya Tanganyika kana vile wewe ndio Alfa na Omega katika suala hilo wakati ni wakina Ilife, Kimambo na wengine nao wamechangia sana katika uelewa wetu wa historia yetu. Unakuwa kama yule kipofu aliyegusa mkia wa tembo na akajiaminisha kuwa mkia ndio tembo na hakutaka kusikia habari za mkonga na mengine. Unachofanya kwa selective reading ya historia yetu ni hatari sana kwa afya ya nchi yetu. Kwa sababu hiyo, unastahili kupingwa kwa nguvu zote.
Amandla...
We bwana nguruvi ipi hasa hoja yako? Nikweli huwezi kuanisha 1,23.. Huyu kijana Fundi Mchundo anakuacha mbali sanaFundi Mchundo hii kitu haihitaji editing hata mstari mmoja.
Kwa ridhaa yako naomba 'nichafue chafue ' baadhi ya maeneo.
Na hapa ndipo hasa tofauti ya wengi na Mohamed nikiwemo inapokuja. Hatuna shida kwa yeye kumuadhimisha Abdul Sykes au Wazee wake wengine. Wapo walioandika historia za koo , makabila au mikoa yao. Tatizo ni pale anapomfanya Abdul Sykes kama TANU na kiongozi wa Uhuru wa Tanganyika peke yake. Historia haionyeshi hivyo
Hili sina shida nalo kabisa kwasababu ni haki pia tukiangalia mchango wa Wahindi au Wazungu au Wenyeji wa miji kama Dar kama sehemu ya Historia. Kuandika Historia ya mchango wa Waislam sioni kama tatizo lakini kuufanya mchango huo kama ndio pekee na ndio Uhuru, kuna shida hapo
Kuanzia AA na Fundi umetuonyesha chanzo chake kingine cha 'civil servants' utaona kuna watu wa dini zote na rangi zote. Mfano Kleist alifanya kazi na Cecil Matola, akina Abdulwahid walikuwa na V. Kyaruzi hadi Nyerere. Ukiangalia hawa wazee walijali sana mchango wa mtu kuliko imani yake. Wazee walipomkaribisha Nyerere walijua ni Mkatoliki na anafundisha shule ya Wakatoliki.
Kwao ukatoliki halikuwa tatizo walihitaji knowledge ya Mwalimu na kupanua wigo
Kuntu
Hili tumejadiliana na Mohamed miaka mingi sana hapa JF tukimweleza wazi kuwa Nyerere hakuanza siasa na Abdul Sykes na wala akina Abdul hawaku 'introduce him' katika siasa.
Mwaka 1948 Nyerere alihudhuria mkutano wa TAA Dar akiwa katibu wa tawi la Tabora.
Ukisoma mabandiko ya Mohamed, lazima atakueleza Nyerere alikuwa anapata wapi lunch na Dinner, hili ni makusudi ili kujenga dhana kwamba alikuja kuingizwa katika siasa na familia ya Sykes. Si kweli, Nyerere alianza siasa miaka mingi kabla ya kkukutana na akina Sykes
Marhumu Alnour Kassam aliyetutoka majuzi tu. Kwa faida ya vijana, huyu Derek Bryceson alikuwa Mbunge na wakati Sinza inaanza kupanuka na kujengwa kuna aina ya mjengo wa nyumba ulipewa jina lake. kuna wazungu wengine kama Dr L.D.Stirling aliyeanzisha Hospitali ya Lulindi na baadaye kuwa waziri wa Afya.
Huu ni udhaifu wa Mohamed hataki kukoselewa kwasababu ana hati miliki ya Historia ya Tanganyika
Ahsante Fundi