1963: Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Julius Nyerere akiweka pini katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. U Thant

na waNi kitu gani mnachosema kuwa Mzee Mohammed ni mdini kwani Nyerere hakuwa mdini ?
Jagina,
Kuna watu wameniomba niwaite hawa jamaa zetu katika mjadala wa wazi watagharamia ukumbi matangazo na urushwe mubashara kwenye TV na FM Station.

Sikuamini masikio yangu.
Ilichukua muda.

Jibu langu kwao ni kuwa haitawezekana kwa sababu mosi hawa wanazungumza wamejificha hawataki wajulikane.

Pili tujaalie kuwa wamekubali mjadala na wameamua kujitokeza wazi sura zao zionekane sidhani kama wanaweza mjadala wa staha.

Wao wanaweza zaidi staili ya ushindani wa kuzomea kejeli na kebehi.
Swali moja linarejewa kwa kejeli hata mara kumi nk. nk. kutafuta ushindi.

Mjadala wenye mwenyekiti na kufuata taratibu za kuulizwa maswali sidhani kama wataweza.

Tumezungumza mengi.

Nimecheka sana.
Kuna watu wananiomba niwe na kipindi cha TV.

Nimebaki napata tabu kuamini.
Sikutambua kuwa kuna watu wanaguswa.
 
Kuna kitu wamebaini ndio maana hawakusema uende peke yako. Wangeweza kukuambia nenda katika TV na FM, lakini wamekushauri '' uwaite jamaa zetu'' ili watu wasikilize hoja.
Mohamed 'read between the lines'' . Kwanini 'uwaite jamaa zetu'' ?

Kule Ngamiani twasema wengi wakicheka ni ngumu kujua kama wanashangilia au wanazomea
Jibu langu kwao ni kuwa haitawezekana kwa sababu mosi hawa wanazungumza wamejificha hawataki wajulikane.
Hujaleta ombi rasmi unafanyia kazi ''assumptions'' . Una hiarihiyo na uhuru wa maoni.
Pili tujaalie kuwa wamekubali mjadala na wameamua kujitokeza wazi sura zao zionekane sidhani kama wanaweza mjadala wa staha.
OK, 'hudhani kama wanaweza kwa staha'' haya ni maoni yako tunayeheshimu. Je, wewe unastaha!
Wao wanaweza zaidi staili ya ushindani wa kuzomea kejeli na kebehi.
Hoja ikipingwa si kuzomea au kejeli. Hii inferiority complex si nzuri, kuna wakati ukubali kuwa wapo watu wenye vichwa, macho na masikio kama wewe. Kuna nyakati ujifunze audience tofauti na ulizozoea. Si kila audience itakuwa hewala, ikipiga makofi na kusomewa vitabu
Swali moja linarejewa kwa kejeli hata mara kumi nk. nk. kutafuta ushindi.
Tunarudia swali moja ili kuonyesha wapi pasipo na ukweli, wapi unachapia na wapi unapotosha.
Mfano, umeleta habari za vyama vya Wafanyakazi, Fundi Mchundo kakutembeza uzuri na kwa utulivu mwisho ukatua kwa Babu yetu Salum Abdallah kama kama kiongozi wa mgomo wa Wafanyakazi. Hapa ndipo swali linazuka, alikuwa na Wadhifa gani TRAU? Hakuna kitu kigumu hapo kueleza kwasababu, mosi, wewe ni mwanahistoria, pili , Salum ni Babu yako na tatu, una nyaraka zote za Abdul Sykes!

Tunakuuliza wapi Abdul Syskes alifanya mkutano Tanganyika nje ya Gerezani. Hii ni hoja muhimu kutokana na 'ukubwa na umuhimu' wa Abdul. Ukiwa mmoja wa wachache walioona nyaraka tufahamishe, je, aliwahi kufanya au la na ni wapi. Kama hakufanya si kosa lakini ijulikane hivyo
Mjadala wenye mwenyekiti na kufuata taratibu za kuulizwa maswali sidhani kama wataweza.
Haya ni maoni yako na una haki ya maoni , kule Sandringham wanasema ' You're entitled to your opinion...
 
Jagina,
Kuna watu wameniomba niwaite hawa jamaa zetu katika mjadala wa wazi watagharamia ukumbi matangazo na urushwe mubashara kwenye TV na FM Station.

Sikuamini masikio yangu.
Ilichukua muda.

Jibu langu kwao ni kuwa haitawezekana kwa sababu mosi hawa wanazungumza wamejificha hawataki wajulikane.

Pili tujaalie kuwa wamekubali mjadala na wameamua kujitokeza wazi sura zao zionekane sidhani kama wanaweza mjadala wa staha.

Wao wanaweza zaidi staili ya ushindani wa kuzomea kejeli na kebehi.
Swali moja linarejewa kwa kejeli hata mara kumi nk. nk. kutafuta ushindi.

Mjadala wenye mwenyekiti na kufuata taratibu za kuulizwa maswali sidhani kama wataweza.

Tumezungumza mengi.

Nimecheka sana.
Kuna watu wananiomba niwe na kipindi cha TV.

Nimebaki napata tabu kuamini.
Sikutambua kuwa kuna watu wanaguswa.
Swali la Msingi ni hili:-

Baba yako yaani Mzee Salum Abdallah alikuwa na Cheo gani TRAU?

Tunaomba uweke picha zake au angalau moja akiwa kazini kama unavyopost hizo za wengine

Mengine yaache.
 
Mumepatikana Na Nyerere wenu , vitabu vyenu vya kanisa vikimsifu Tu baada ya kumtumia Kama kibaraka wao. Mzee kawatolea ukweli mnakwenda mbio . Si mtunge vyengine vya kumsuta Mzee Mohammed mnalia Lia nini
Hivi una uelewa kweli?

Nyerere hakujulikana kwenye kitabu cha dini ya Kikristo wala dhehebu la katoliki. Amejulikana kwenye vitabu vya siasa na Historia, kabla na baada ya vyama vingi kuanzishwa.

Nioneshe kitabu chochote cha kanisa kilichomsifu Nyerere, otherwise nawewe ni MWONGO na MZUSHI kama Mzee wako hapa

Mzee wako Mohamed Said ameulizwa maswali ya msingi hapo hataki kuyajibu, tumempa ombi dogo tu atuwekee picha ya Baba yake huyu Mzee Salum Abdallah aliyekuwa TRAU, mpaka sasahivi amepotezea hilo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jagina,
Kuna watu wameniomba niwaite hawa jamaa zetu katika mjadala wa wazi watagharamia ukumbi matangazo na urushwe mubashara kwenye TV na FM Station.

Sikuamini masikio yangu.
Ilichukua muda.

Jibu langu kwao ni kuwa haitawezekana kwa sababu mosi hawa wanazungumza wamejificha hawataki wajulikane.

Pili tujaalie kuwa wamekubali mjadala na wameamua kujitokeza wazi sura zao zionekane sidhani kama wanaweza mjadala wa staha.

Wao wanaweza zaidi staili ya ushindani wa kuzomea kejeli na kebehi.
Swali moja linarejewa kwa kejeli hata mara kumi nk. nk. kutafuta ushindi.

Mjadala wenye mwenyekiti na kufuata taratibu za kuulizwa maswali sidhani kama wataweza.

Tumezungumza mengi.

Nimecheka sana.
Kuna watu wananiomba niwe na kipindi cha TV.

Nimebaki napata tabu kuamini.
Sikutambua kuwa kuna watu wanaguswa.
Mimi binafsi nitaendelea kukubana humu humu. Kwa staili hiyo hiyo unayoita ya kejeli na kebehi. Wanaosoma wataamua ukweli uko wapi. Wanaoamini kuwa kupiga picha nje Buckingham Palace ndio ushahidi wa ukweli wataamini hivyo. Watakaoamini kuwa huijui historia ya nchi yetu kama unavyotaka tuamini, wataamini hivyo.
Siko hapa kutafuta umaarufu. Sihitaji pongezi za mtu. Nitaendelea kusahihisha simulizi zako pale nikapoona umekosea.
Aidha, Fundi Mchundo atasimamaje na msomi aliyewahi kunywa chai Paris wakati yeye kupanda uber ni mtihani.

Amandla.......

Bwana Mdogo Fundi Mchundo

Cc. Nguruvi3

Amandla....
 
Kuhusu Mzee Salum Abdallah, Mohammed alisema alianzisha TRAU mwaka 1955 akiwa yeye Rais na Christopher Kasanga Tumbo kama Katibu Mkuu. Tatizo ni kuwa mwaka huo ndio shirikisho la vyama vya wafanyakazi liliundwa na wafanyakazi wa reli walikuwa tayari na chama chao cha wafanyakazi ambacho kiliunda pamoja na vyama vingine TFL. Christopher Kasanga Tumbo alihudhuria kikao cha kuanzisha TFL lakini hakuwa Katibu Mkuu. Christopher Kasanga aliupata u Katibu Mkuu wa TRAU mwaka 1959. Mzee Salum Abdallah hajatajwa popote kuwa alikuwa ni kiongozi mkuu wa migomo ya 1960. Akibanwa unatuwekea picha za Mzee Salum Abdallah akiwa na Kasanga Tumbo bila kuweka context.

Amesema kuwa Abdul Sykes ndie aliyeandika Katiba ya TANU baada ya kushauriwa na Earle Seaton kuwa aifananishe ya Nkrumah ili Twinings asilete ubishi. Alipoambiwa kuwa Seaton aliisha ondoka nchini wakati Katiba ya TANU inaandikwa na kuwa Seaton aliletwa nchini na Thomas Marealle anasema kuwa David Marealle alimwambia kuwa Sykes ndie aliyempokea mjini na kuwa David Marealle alikuwa jirani yake. Na Sykes alikuwa na Benz. Aidha akasema Katiba ya TANU ilikuwa based kwenye Katiba ya chama cha labour na sio ya chama cha Convention People's Party akisahau chama cha Convention People's Party ni chama kilichoanzishwa na Kwame Nkrumah.

Mtu wa namna hii mtajadiliana nini kwenye television? Si ataishia kuonyesha picha na kusema tunamchukia kwa sababu ya dini yake? Mimi huko sitaenda.

Amandla...

Hakuna mahala umembana, hebu taja hata sehemu tano ambazo umembana na kama unavyojiaminisha zinaashiria haijui historia, wewe bwana mdogo shida yako nyingine nadhani ni "ulipyoto" kwasababu nukta zako zinajificha sana kisha zinakuwa na Uongo ama kukosa umakini, lakini pia hebu jikiteni katika hoja moja moja na ikitamatika ndio iende nyingine, huu mtindo wa kuzungumza kwa ujumla kwamba tumembana, hajui historia, hawataji wasukuma n. k kisha akiwabainisha mnarukia hoja nyingine si mzuri nadhani hata nafsi zenu zawasuta
 
Google.

Amandla...

Bwana Mdogo Fundi mchundo
Dah kazi kweli kweli, nadhani jawabu unalo nafsini mwako, mimi si wa kima hicho, hiyo ni kazi yako kugoogle vitabu kisha ukivileta hapa kwa mbwembwe "kuna mtanzania mwingine ameandika historia ya Tanganyika" kisha ukasifiwa na baada ya kubinywa ukakikacha tena kwa hadaa sasa sijajua mantiki ya zile mbwembwe za kukileta zilikuwa za nini? Eti? Kwamba ni rejea? Sasa mbona tukikupitisha unakikana tena? Hebu acheni kuviza akili zenu si vyema
Lakini nimegundua wewe na mwenzio mmedurusi vyema kazi ya utafiti ya kaka Moh Mohamed Said shida imebaki ni ukosefu wa fadhila jambo ambalo ni khiyari kwenu Moh hatalaumiwa tena kafanya kazi ya viwango
 
Kwa hivyo kuondoka kwa Seaton nchini kama usemavyo kuna athari gani ya ushauri wake kupokelewa? Huu ubabaishaji wako unashangaza kwakweli hata marehemu ushauri wake unachukuliwa ikiwa ni mzuri sembuse mtu ambae yuko hai? , hiyo nafasi ya mjadala kwa television ni muhari kwako si yeye, yeye kaisha andika Kitabu miaka ishirini na zaidi na sasa yuko awamu ya tano

Je ni kweli una hakika hajatajwa popote mzee popo? Au wajaribu kuidhihirisha hasadi yako na choyo?
 
Ahsante sana. Maelezo hapo juu yanayoonyesha hakuna uhusiano wa kikazi kati ya Babu Salum Abdallah na C.K. Tumbo. Bwana Tumbo alikuwa kiongozi wa TRAU mwaka 1959.

Mohamed anadai C.K. Tumbo walikuwa Rais na Salum Abdallah katibu mwaka 1955.
Fundi anaweka ushahidi kuwa wakati wa kuanzisha TFL ambayo TRAU ilikuwepo C.K. hakuwa katibu mkuu. Mgomo wa 1960 Babu Salum Abdallah hakutajwa.

Hapa kunazuka swali jingine muhimu sana kwa Mohamed.
Ile picha ya Mzee Salum Abdallah na C.K. Tumbo ilichukuliwa mwaka gani na Wapi?

Katika mijadala ya siku za nyuma , Mohamed alidai kuwa Nyerere ali-copy katiba kutoka kwa Seaton iliyokuwa ya Kwame Nkrumah na kwamba hakuandika mwenyewe.

Zaidi ya hayo Mohamed alimchomeka Sykes kwamba ndiye aliye organize na Seaton na mwisho wa siku Nyerere akapewa mzigo ukiwa tayari.

Najaribu kusoma maandishi ya Fundi Mchundo nakuyaelewa zaidi.
Ikiwa Mo hakujua tofauti ya Thomas na David it sina hakika anafahamu kwa undani katiba. Nadhani alikuwa fascinated na Mercedes Benz ya Syskes

Bila picha ambazo kila siku ni hizo hizo ataficha vipi mapungufu.
 
TumekuelewaOTE="Fundi Mchundo, post: 41243878, member: 8318"]
Mimi binafsi nitaendelea kukubana humu humu. Kwa staili hiyo hiyo unayoita ya kejeli na kebehi. Wanaosoma wataamua ukweli uko wapi. Wanaoamini kuwa kupiga picha nje Buckingham Palace ndio ushahidi wa ukweli wataamini hivyo. Watakaoamini kuwa huijui historia ya nchi yetu kama unavyotaka tuamini, wataamini hivyo.
Siko hapa kutafuta umaarufu. Sihitaji pongezi za mtu. Nitaendelea kusahihisha simulizi zako pale nikapoona umekosea.
Aidha, Fundi Mchundo atasimamaje na msomi aliyewahi kunywa chai Paris wakati yeye kupanda uber ni mtihani.

Amandla.......

Bwana Mdogo Fundi Mchundo

Cc. Nguruvi3

Amandla....
[/QUOTE]

Hapa tumekuelewa umevaa ngozi Kama sisi wengine hii ndio level yako Na tuendelee kutafunana
 
Hivi una uelewa kweli?

Nyerere hakujulikana kwenye kitabu cha dini ya Kikristo wala dhehebu la katoliki. Amejulikana kwenye vitabu vya siasa na Historia, kabla na baada ya vyama vingi kuanzishwa.

Nioneshe kitabu chochote cha kanisa kilichomsifu Nyerere, otherwise nawewe ni MWONGO na MZUSHI kama Mzee wako hapa

Mzee wako Mohamed Said ameulizwa maswali ya msingi hapo hataki kuyajibu, tumempa ombi dogo tu atuwekee picha ya Baba yake huyu Mzee Salum Abdallah aliyekuwa TRAU, mpaka sasahivi amepotezea hilo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ulitaka atajwe Saint Kama mlivyopendekeza?

Zawadi yako ya mwaka mpya hii

Ahsante sana. Maelezo hapo juu yanayoonyesha hakuna uhusiano wa kikazi kati ya Babu Salum Abdallah na C.K. Tumbo. Bwana Tumbo alikuwa kiongozi wa TRAU mwaka 1959.

Mohamed anadai C.K. Tumbo walikuwa Rais na Salum Abdallah katibu mwaka 1955.
Fundi anaweka ushahidi kuwa wakati wa kuanzisha TFL ambayo TRAU ilikuwepo C.K. hakuwa katibu mkuu. Mgomo wa 1960 Babu Salum Abdallah hakutajwa.

Hapa kunazuka swali jingine muhimu sana kwa Mohamed.
Ile picha ya Mzee Salum Abdallah na C.K. Tumbo ilichukuliwa mwaka gani na Wapi?

Katika mijadala ya siku za nyuma , Mohamed alidai kuwa Nyerere ali-copy katiba kutoka kwa Seaton iliyokuwa ya Kwame Nkrumah na kwamba hakuandika mwenyewe.

Zaidi ya hayo Mohamed alimchomeka Sykes kwamba ndiye aliye organize na Seaton na mwisho wa siku Nyerere akapewa mzigo ukiwa tayari.

Najaribu kusoma maandishi ya Fundi Mchundo nakuyaelewa zaidi.
Ikiwa Mo hakujua tofauti ya Thomas na David it sina hakika anafahamu kwa undani katiba. Nadhani alikuwa fascinated na Mercedes Benz ya Syskes

Bila picha ambazo kila siku ni hizo hizo ataficha vipi mapungufu.
Sio mijadala hiyo ni kwa mujibu wa vyanzo vyake mbona unakuwa na kichwa kizito baba? Aagh
Huu wasaa wakujadiliana na nguli unakuhadaisha zaidi ya Mercedes benz hahah
 
Lakini nimegundua wewe na mwenzio mmedurusi vyema kazi ya utafiti ya kaka Moh Mohamed Said shida imebaki ni ukosefu wa fadhila jambo ambalo ni khiyari kwenu Moh hatalaumiwa tena kafanya kazi ya viwango
Nadhani mwenzie ni mimi! kama ni hivyo nitakueleza jambo

Yes kazi ya Mohamed nimeisoma miaka 20 kabla ya kutoa kitabu akiandika magazetini.
Nilianza English version halafu Swahili.

Moja ya maarifa ya mtu mwelewa ni kusoma kazi za watu tofauti.

Mwerevu hasubiri kukaa katika jamvi asomeshwe kama anavyosema Mohamed Said

Kwasababu 'sisi' tunasoma kazi nyingi za aina na watu tofauti ndio maana tunauwezo wa kujua Mohamed amekusudia nini, amesema kipi kweli, amepotosha wapi makusudi au kwa bahati mbaya na amelenga nini.
Tunauwezo wa kumtokea angle yoyote na unaona anakuwa 'mesmerized and discombobulated' kwa lugha ya Sandringham House.
 
2965303_JamiiForums_imetoa_tuzo_zawadi_ya_kutambua_Mchango_wa_Uandishi_wa_Mwanachama_wake252C_...jpg
 
Kuhusu Mzee Salum Abdallah, Mohammed alisema alianzisha TRAU mwaka 1955 akiwa yeye Rais na Christopher Kasanga Tumbo kama Katibu Mkuu. Tatizo ni kuwa mwaka huo ndio shirikisho la vyama vya wafanyakazi liliundwa na wafanyakazi wa reli walikuwa tayari na chama chao cha wafanyakazi ambacho kiliunda pamoja na vyama vingine TFL. Christopher Kasanga Tumbo alihudhuria kikao cha kuanzisha TFL lakini hakuwa Katibu Mkuu. Christopher Kasanga aliupata u Katibu Mkuu wa TRAU mwaka 1959. Mzee Salum Abdallah hajatajwa popote kuwa alikuwa ni kiongozi mkuu wa migomo ya 1960. Akibanwa unatuwekea picha za Mzee Salum Abdallah akiwa na Kasanga Tumbo bila kuweka context.

Amesema kuwa Abdul Sykes ndie aliyeandika Katiba ya TANU baada ya kushauriwa na Earle Seaton kuwa aifananishe ya Nkrumah ili Twinings asilete ubishi. Alipoambiwa kuwa Seaton aliisha ondoka nchini wakati Katiba ya TANU inaandikwa na kuwa Seaton aliletwa nchini na Thomas Marealle anasema kuwa David Marealle alimwambia kuwa Sykes ndie aliyempokea mjini na kuwa David Marealle alikuwa jirani yake. Na Sykes alikuwa na Benz. Aidha akasema Katiba ya TANU ilikuwa based kwenye Katiba ya chama cha labour na sio ya chama cha Convention People's Party akisahau chama cha Convention People's Party ni chama kilichoanzishwa na Kwame Nkrumah.

Mtu wa namna hii mtajadiliana nini kwenye television? Si ataishia kuonyesha picha na kusema tunamchukia kwa sababu ya dini yake? Mimi huko sitaenda.

Amandla...

Bwana Mdogo Fundi Mchundo

Cc. Nguruvi3

2965303_JamiiForums_imetoa_tuzo_zawadi_ya_kutambua_Mchango_wa_Uandishi_wa_Mwanachama_wake252C_...jpg
 
Kwa hivyo kuondoka kwa Seaton nchini kama usemavyo kuna athari gani ya ushauri wake kupokelewa? Huu ubabaishaji wako unashangaza kwakweli hata marehemu ushauri wake unachukuliwa ikiwa ni mzuri sembuse mtu ambae yuko hai? , hiyo nafasi ya mjadala kwa television ni muhari kwako si yeye, yeye kaisha andika Kitabu miaka ishirini na zaidi na sasa yuko awamu ya tano

Je ni kweli una hakika hajatajwa popote mzee popo? Au wajaribu kuidhihirisha hasadi yako na choyo?
Mimi sina la kukuambia kama unaamini kuwa Abdul Sykes alishauriwa kubase Katiba ya TANU kwenye Katiba iliyoandikwa na Kwame Nkrumah wa Labour Party.

Hiyo nafasi ya television si mumemuomba yeye? Mimi inanihusu nini? Umenisikia wapi nikitafuta umaarufu? Siko hapa kushindana na Mohammed kuhusu nani ameandika vitabu vingi zaidi, au aliyewahi kupiga picha na watu maarufu au aliyetembelea nchi nyingi zaidi duniani. Mimi nachambua anachokidai katika jukwaa hili wakati huu.

Mimi nimesema hajatajwa. Sasa wewe unaejua ametajwa si utuambie ametajwa wapi? Shida iko wapi? Tofauti yangu na Mohammed ni kuwa ukithibitisha kuwa ametajwa nitakiri kuwa nimekosea maana najua sijasoma vitabu na maandiko yote yanayohusu historia ya vyama vya wafanyakazi Tanganyika. Wewe au Mohammed au mtu mwingine yeyote atutajie kitabu hicho. Kwa bahati mbaya kitabu cha mjukuu wake sitachukua kama ni uthibitisho.

Amandla...

Bwana Mdogo Fundi Mchundo

Cc: Nguruvi3
 
Dah kazi kweli kweli, nadhani jawabu unalo nafsini mwako, mimi si wa kima hicho, hiyo ni kazi yako kugoogle vitabu kisha ukivileta hapa kwa mbwembwe "kuna mtanzania mwingine ameandika historia ya Tanganyika" kisha ukasifiwa na baada ya kubinywa ukakikacha tena kwa hadaa sasa sijajua mantiki ya zile mbwembwe za kukileta zilikuwa za nini? Eti? Kwamba ni rejea? Sasa mbona tukikupitisha unakikana tena? Hebu acheni kuviza akili zenu si vyema
Lakini nimegundua wewe na mwenzio mmedurusi vyema kazi ya utafiti ya kaka Moh Mohamed Said shida imebaki ni ukosefu wa fadhila jambo ambalo ni khiyari kwenu Moh hatalaumiwa tena kafanya kazi ya viwango
Bila Google Mohammed Said angetudanganya sana. Na kwa vile Google iko wazi kwa kila mtu basi na wewe itumie ili uthibitishe kuwa hatumtendei haki.

Amandla....

Bwana Mdogo Fundi Mchundo

Cc Nguruvi3
 
Hakuna mahala umembana, hebu taja hata sehemu tano ambazo umembana na kama unavyojiaminisha zinaashiria haijui historia, wewe bwana mdogo shida yako nyingine nadhani ni "ulipyoto" kwasababu nukta zako zinajificha sana kisha zinakuwa na Uongo ama kukosa umakini, lakini pia hebu jikiteni katika hoja moja moja na ikitamatika ndio iende nyingine, huu mtindo wa kuzungumza kwa ujumla kwamba tumembana, hajui historia, hawataji wasukuma n. k kisha akiwabainisha mnarukia hoja nyingine si mzuri nadhani hata nafsi zenu zawasuta
Makala...
Historia ina kawaida ya kujirudia.

Baada ya Kura Tatu na TANU kuingia LEGCO pakawa na mabadiliko makubwa sana katika siasa za TANU.

Huu mwaka wa 1958 baada ya Kura Tatu ndipo Sheikh Suleiman Takadir alipogombana na Nyerere.

Kisa kizito sana.

Wakati wa utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes hakuna aliyependa tumzungumze Sheikh Suleiman Takadir.

Ilikuwa Sheikh Haidar Mwinyimvu yeye alikubali na akanipa kisa chote.
Kipo kwa ukamilifu wake katika kitabu cha Abdul Sykes.

TANU ilipoanza ilikuwa inaanza mikutano yake kwa dua iwe New Street ofisini au Mnazi Mmoja.

Taratibu miaka ilipokuwa inasonga mbele mambo yakabadilika ikawa mikutano inaanza na kauli mbiu, ''Uhuru na Kazi.''

Uhuru ulipopatikana mwaka wa 1961 pakawa na maneno kuwa Abdul Sykes hakuwa na chama cha siasa na TAA kilikuwa chama cha starehe.

Hii ilikuwa kebehi na kejeli.
Ndiyo hizi zinajirudia hapa.

Leo tunasikia kebehi akikebehiwa Abdul Sykes yuko kaburini.
Wanauliza wapi alihutubia mkutano.

Hawajui kuwa ziko shajara (diary) za Abdul Sykes zina hotuba za Nyerere za mwanzo Mnazi Mmoja.

Abdul Sykes akiyasikia haya maneno kuwa TAA kilikuwa chama cha starehe lakini alibakia kimya hakusema kitu.

Daisy Sykes katika kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake aliandika makala iliyochapwa na Raia Mwema.

Kaeleza haya na msimamo wa baba yake ya kustahamili na kuwa kimya.
Haya maneno yakiwachoma sana rafiki zake.

Yakiwachoma kwa sababu walikuwa wanajua nini Abdul kafanya.

Ahmed Rashad Ali akamwambia Abdul Sykes kuwa ikiwa yeye atafungua kinywa chake kueleza historia ya TANU hakuna atakaethubutu kumkabili kupingananae.

Baraza la Wazee wa TANU chini ya Mwenyekiti Idd Tulio lkavunjwa mwaka wa 1963 na ikawa sasa zile kanzu zilizozoeleka kuonekana ofisi ya TANU Lumumba zikawa zimetoweka.

Na zimetoweka hadi leo.

Abdul Sykes alikataa kusema chochote akawa kimya hadi umauti ulipomfika mwaka wa 1968.

Nimeweka hapa kisa cha ile fadhaa iliyotokea nyumbani kwa Abdul Sykes pale ilipohofiwa kuwa Nyerere kalishwa sumu anataka kuuliwa.

Nimekiweka kisa hiki baada ya kusoma kuwa mikutano ya TANU haikuwa ikifanyika nyumbani kwake wanasema mikutano inawezekana ikifanyika kwa Amir Jamal.

Pamekuwa na ukimya.
Kejeli, kebehi na matusi hayajibiwi bali yananyamaziwa.

Huu ndiyo uungwana tuliofunzwa na walimu wetu.

Sasa hata Abdul Sykes alipofutwa katika historia ya TANU kwa mtu kama Ahmed Rashad Ali haikuwa ajabu, ''He had seen it coming.''

Hizi kebehi ni kwa kuwa wameghadhibika kuwa wao walishamfuta Abdul Sykes na wenzake wote aliokuwanao mimi nimemrudisha.

Kitabu cha maisha yake kipo na sasa yale aliyofanya yanafahamika na nchi imemtunuku Medali ya Mwenge wa Uhuru.

Ngoja nihitimishe kwa kipande hiki.

Siku moja asubuhi nimepokea simu kutoka kwa Bi. Zainab katibu wa Ally Sykes, ''Mohamed mzee anataka kuzungumza na wewe.''

Siku zile Bwana Ally mgonjwa lakini mkaidi lazima aje ofisini.

Baada ya salamu akaniambia, ''Mohamed mimi na Bwana Abdul In Shaa Allah tutapewa nishani Ikulu kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.''

Watu wa Ikulu wamefika hapa ofisini wamenipa taarifa na wameniuliza, ''Kwani Bwana Ally wewe na kaka yako mmefanya nini kustahili hii heshima?''

Sote tukawa tunacheka katika simu.

Bwana Ally alihitimisha mazungumzo yetu kwa kuniambia kuwa aliwapa kitabu cha Abdul Sykes akawaambia, ''Someni hiki kitabu yote yameelezwa humo.''

1641008352056.jpeg

Ally Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwa Nyerere Magomeni 1958
 
Back
Top Bottom